nia

  1. O

    Nia na madhumuni ya rais Trump ni yapi hasa?

    Heshima kwenu nyote wana jamii forum. Nimekuwa nikifuatilia matakwa na makusudio ya rais Trump toka aingie madarakani, matamanio yake yamekuwa yakiniachia maswali ya kujiuliza pamoja na kwamba hata walengwa wake wamekuwa wakimtolea nje. Mfano alianza na kutaka kuinunua Gaza,ikafuatiwa na kutaka...
  2. M

    Mchome ahofia nia ovu Chadema

    Baada ya kugundua nia yenu ovu mliyokua mmeipanga nikifika makao makuu, sasa kuna jambo mnaniandalia ofisin makao makuu muda huu. Nipo tayari kupokea. Mimi ni kiongozi mwenye address na address yangu inafahamika Ameandika ktk X yake
  3. Mr Ballo

    Natafuta Mwenza wa Maisha — Mwenye nia ya dhati tu

    Habari zenu wanajamii, Natumaini mko salama. Nimeamua tena kuweka tangazo hili kwa lengo la kukutana na mwenza wa maisha mwenye nia thabiti na malengo ya dhati. Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi Dar es Salaam. Natafuta mwanamke Mkristo mwenye umri wa miaka 25 hadi 35, mwenye...
  4. Mzee wa Code

    CCM Kuzuia Watia Nia Mapema: Kuminya Demokrasia au Kuthibiti Nidhamu ya Chama?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka masharti yanayowazuia wanachama wake wanaotaka kugombea nafasi za uongozi kuanza kampeni mapema kwenye majimbo yao. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mustakabali wa demokrasia ndani ya chama na haki ya msingi ya kugombea nafasi za uongozi. Kwa mujibu wa...
  5. Mindyou

    Pre GE2025 Mtia nia nafasi ya Urais CHADEMA: Cha kwanza nikishinda Urais nitabadilisha mfumo wa talaka. Nitahakikisha talaka haimuumizi mwanaume!

    Wanaume mpo? Kuna huyu mgombea wa nafasi ya Urais huko CHADEMA, Romanus Mapunda amesema kuwa kama akishinda kuwa Rais atabadilisha mfumo wa kupeana talaka. Mapunda amesema kuwa atabadilisha mfumo wa talaka kwamba usimuumize mwanaume. Amesema kuwa mfumo wa uliopo wa kugawana 50/50 na mwanamke...
  6. R

    Kwanini watia nia nafasi ya Urais wanaruhusiwa kuonyesha nia zao mapema lakini wagombea ubunge na udiwani wanaonekana kama wanatenda jinai ?

    Kwanini wagombea urais wanapenda sana wafahamike kwa wananchi mapema zaidi hata mwaka kabla ya uchaguzi lakini ni marufuku kwa watia nia ubunge na udiwani kuonyesha nia zao? Hali hii ipo kwenye vyama vyote vya siasa nchini na ukanda wa Afrika. Mfano kwa sasa mgombea Urais au mtia nia ACT...
  7. Z

    Lissu ana nia njema, lakini hatoboi uchaguzi m/kiti CHADEMA

    Lissu hawezi kamwe kushinda uchaguzi Mwenye kiti CHADEMA hapo januari 2025, licha ya uchaguzi kuwa wa wazi. Sababu ni zifuatazo: 1) Sasa hivi, hii imekuwa ni vita kati ya CHADEMA kanda moja tu (asilia- Mbowe) na CHADEMA Tanzania iliyobaki (Lissu). Haitatokea kwa mazingira Lissu...
  8. chiembe

    Kwa madhila ya awamu ya 5 yanayosemwa na Erick Kabendera, anayebeza maridhiano ya awamu ya 6 alaaniwe na kila mtu mwenye nia njema

    Kwa niliyosikia akisema Erick Kabendera, halafu unasikia mtu anabeza maridhiano na kuyaita upuuzi. Taifa lote tusimame na kumpuuza kwa nguvu zote. Kama nchi, tumepiga hatua kubwa kutoka katika hali ile. Tuwapongeze Mama Samia na Mbowe.
  9. M

    Pre GE2025 Vita Kawawa achia jimbo, unapinga maendeleo hata kwa ambao hawajatangaza nia ya kugombea. Achia Namtumbo yetu tunateseka sana

    Mheshimiwa Juma Zuberi Homera ambae ni mkuu wa mkoa wa mbeya ameonyesha kuwa kiongozi aliyejitolea kuleta maendeleo na mabadiliko chanya popote anapohudumu tangu yupo TUNDURU na baadae KATAVI. Uongozi wake umekuwa na mchango mkubwa katika kuinua maisha ya jamii, na ameacha alama ya kudumu kila...
  10. Mtu Asiyejulikana

    Yanga tukatae hawa waamuzi wenye nia ya kutuchafua Kuna kitu wanatengeneza

    Lilianza goal la mkono jamaa alipiga ngumi kabisa. Mwamuzi akatupa lile goal. Jana ile haikuwa penalty kabisa. Kabisa haikuwa penalty tuseme tu ukweli bila ushabiki. Mwamuzi akatupa penalty. Lengo ilikuwa jana tushinde bao 5. Tunapambana kuwafikia mikia. Lakini tucheze na kushinda kwa halali.
  11. Decree Holder

    Kwanini Tundu Lissu hakutangaza nia mapema ya kugombea uenyekiti wa Chama taifa?

    Inawezekana kabisa TAL aliamua kugombea uenyekiti wa Chama taifa mapema zaidi lakini hakutangaza kutokana na historia ndani ya chadema. Historia inaonesha viongozi wote ndani ya chadema walioonesha kuutaka uenyekiti mapema waliundiwa zengwe na kupewa kesi za usaliti kuwazuia kugombea uenyekiti...
  12. Wilson Gamba

    Nionavyo juu ya watia nia ndani ya CHADEMA-UENYEKITI

    Mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa ila ni mfatiliaji mzuri wa masuala ya siasa.Mbowe na Lisu ni viongozi wazuri na wote wamepitia mengi sana ila kwa ukomavu na utulivu wa mambo nafasi ya mwenyekiti bado mbowe atabaki kuwa the best.Niishie hapo ni mtizamo wangu tu mawazo bila...
  13. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Chongolo awavuruga vigogo CCM asema sijaja kutangaza nia yoyote

    Wakati joto la Uchaguzi Mkuu katika nafasi za Udiwani na Ubunge unaotarajiwa kufanyika hapo mwakani 2025 likiendelea kupanda, imeelezwa kuwa baadhi ya wanasiasa waliopo madarakani wameanza kupata shida kwenye maeneo yao kutokana na vigogo waliowahi kushika nafasi mbalimbali na wengine ambao bado...
  14. Waufukweni

    John Mnyika ajibu kuhusu Freeman Mbowe kutangaza nia ya Uenyekiti CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amejibu juu ya Mhe. Freeman Mbowe kama atachukua fomu ya Uenyekiti wa Chama hicho, wakati alipokuwa akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiwatangazia wanachama juu ya uchaguzi wa viongozi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa...
  15. N

    NATANGAZA NIA YANGU YA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI IFIKAPO 2025 PANAPO MAJALIWA YA MUNGU.

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,ni haki yangu kikatiba,nina elimu ya kutosha,umri unaruhusu,hivyo kwa mapenzi yangu makubwa na nchi yangu ya Tanzania ,na kwa kiu yangu kubwa ya kutaka kuiona Tanzania inapiga hatua za kimaendeleo katika kila nyanja,nimeona ifikapo mwakani na mm...
  16. Bams

    Lisu Kutia Nia, Kwa Nini Kelele Za Kuchanganyikiwa Zinatoka Zaidi CCM?

    Jana Tundu Lisu, kwa kutekeleza matakwa, uhuru na haki ambayo chama chake kinatoa kwa wanachama wote, alitangaza nia yake ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Chake Ngazi ya Taifa. Wakati jambo hili ni la kawaida kabisa kwa vyama vyenye demokrasia, huko CCM watu wamechanganyikiwa na kutoa...
  17. T

    Ni kwanini magazeti yenye mrengo wa CCM ndiyo yameshadadia sana nia ya Lissu kugombea uenyekiti CHADEMA?

    Nimepitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo karibia yoote hata Uhuru gazeti pendwa la chama na yale yanayojulikana kuwa na chuki na upinzani yameishabikia sana habari ya Lissu kutangaza nia ya kuchuana kuiwania nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA!. Ni kwa nini imekuwa hivyo!?
  18. T

    Baada ya kutangaza kugombea u/kiti CDM, ni kosa TAL kuendelea kuwepo nchini. Wakati sahihi kuwepo ni siku ya uchaguzi wenyewe. Sababu hizi hapa.

    Ana maadui wengi, Kwa hiyo hawezi kujulikana yupi kamudhuru. 1. Adui walioko ndani ya chama chake wakihusika watasema ni watawala. 2. Watawala wakihusika watasema ni maadui ndani ya chama chake. 3. Vyama vingine vya upinzani vikinusika vitasema ni watawala au wenzake ndani ya chama chake...
  19. S

    nia ya lisu ni kwenda ccm ili kujisafisha ana mshambulua mbowe

    kinachokuja kutokea ni lissu kwenda CCM au ACT . ila kwasabau kuna mkasa wa kupigwa risasi atasema alipiga ni wana chadema
  20. sanalii

    Waislam wana nia ila hawana mipango. Kinachoendelea Syria ni ushahidi tosha

    Ni rahisi muislam kushawishika na kua na nia, kuatayari kujitolea au kupigania dini bila ya kua na mpango unaoeleweka. kwa sababu hiyo, watu wenye mipango wanawatumia sana waislam kwa kigezo cha itikadi kutimiza mipango yao. Ukiweza kushika kisha cha kiongozi wa kiislam akawaaminisha waislam...
Back
Top Bottom