nia

  1. Mganguzi

    CCM toeni tamko kwamba dirisha kwa mwanachama yeyote kutia nia kuwania urais kupitia CCM limefunguliwa rasmi

    Nimeona chama changu Cha mapinduzi na Seketarieti ya chama, kamati kuu na mawaziri wote wakiongozwa na waziri mkuu ,wanapita huku na huku kukusanya pesa za fomu ya urais 2025. Ni kama Wana uoga Fulani kwa sababu muda wenyewe Bado sana! Wameanza hata kumpigia kampeni mgombea mmoja kwamba...
  2. Webabu

    Marekani kujenga bandari Gaza ni kuzuga. Hana nia nzuri na Wapalestina

    Watu wanakufa sasa kwa njaa Gaza na kuna malori ya misaada kwa mamia kwenye mipaka ya Gaza ambayo yameshindwa kuingia huko kikwazo ikiwa ni ruhusa ya Israel. Marekani kwa kujionesha kuwahurumia wanaokaribia kufa njaa imekuwa ikidondosha misaada michache ya michache ya chakula na sasa imesema...
  3. MamaSamia2025

    MwanaCHADEMA mwenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo ni vyema akaachana na huo mpango. Tayari yana wenyewe

    Bila kupoteza muda ninawasihi wanachama wa CHADEMA wenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo kuachana na huo mpango kwasababu kuna vigogo washajipitisha kugombea. Kimsingi baadhi yao wameshatamka hadharani kuwa watagombea kupitia hayo majimbo bila kujali mchakato wa katiba ya...
  4. Erythrocyte

    ACT Wazalendo watangaza nia ya kujitoa SUK

    Hii ndio gia mpya waliyoamua kuja nayo baada ya Chaguzi zao kumalizika Zaidi soma hapa -- Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 8 Machi 2024 jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema viongozi wa chama hicho watakutana na Rais wa Jamhuri wa...
  5. R

    Pre GE2025 CCM kukataa mabadiliko ya miswada 3 inayopigiwa kelele na wote ni wazi wana nia ovu. Watanzania tusikubali

    Kama una nia njema huwezi kukataa kitu ambacho watu 99.999% wanakipigania ila wewe tu mmoja unakataa. By necessary implication ni kuwa wewe una nia OVU. Katiak social science kuna WENGI WAPE as opposed to natural science, na hivyo CCM inabidi ikubali matakwa ya wengi. Kuna mambo hayahitaji...
  6. D

    Rais ametoa maelekezo ya kukamilisha ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza. Je, watendaji watatekeleza?

    Akiwa Mwanza tarehe 30.1.2023 Rais na Amiri Jeshi Mkuu katoa maelekezo ya wazi ya kujenga jengo la abiria uwanja wa ndege na majokofu ya kuhifadhia samaki, nyama nk Je, watendaji wakiwemo wakurugenzi, katibu mkuu na waziri wa uchukuzi Mbarawa hawatamwangusha Rais na kumchafua kanda ya ziwa...
  7. MamaSamia2025

    Matokeo ya hii shule ni ya ajabu zaidi kuwahi kuyaona ni private school

    Hii inashangaza. Nimejiuliza maswali mengi. https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/csee/CSEE2023/results/s1475.htm
  8. Mwanamayu

    Je, kama vyama vingine vya siasa Tanzania vina nia nyingine, kwanini haviondolewi kwenye usajili?

    Kwa mujibu wa sayansi ya siasa, chama cha siasa kina nia moja tu, kukamata dola na kuwahudumia wananchi wote. Mhe. Rais amesema kuna vyama vina nia tofauti. Je, ni tofauti na hiyo nadhalia ya sayansi ya siasa? Au tofauti na nia ya CCM? Je, nia ya CCM inarandana na nia iliyopo kwenye sayansi ya...
  9. Webabu

    Nia ya kuwapiga Houth ilikuwepo kitambo. Ziara ya mwisho ya Blinken mashariki ya kati ilikuwa ni kuyakokota mataifa 4 vitani. Yote yalimkatalia

    Kibri cha Marekani na Uiengereza kuyaona mataifa mengine duniani hasa mashariki ya kati yanakaliwa na watu wajinga kinazidi kupata vikwazo katika awamu hizi. Juhudi za kuwashawishi viongozi wa mataifa hayo ya mashariki ya kati kuwapokea wapalestina wa Gaza zilikwama mapema sana.Juhudi hizo...
  10. Influenza

    DPP: Hakukuwa na nia ya kufungua kesi ya Jinai dhidi ya Pauline Gekul

    Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu amesema hakukuwa na nia kwa Wakili kufungua kesi ya jinai labda kuna sababu nyingine ambayo haijafahamika na alichokifanya kuingilia kesi hii ni kutimiza majukumu yake kisheria kwa sababu leo ni kwa huyu (Mhe. Pauline Gekul) lakini kesho...
  11. Idugunde

    Kituo cha basi Magufuli hakijabadiliswa jina. Wafuasi wa CHADEMA walipotosha mitandaoni kwa nia ovu

  12. Influenza

    India yaonesha nia ya kupata Duma kutoka Kenya, siku chache baada ya kuipa mkopo wa Ksh. Bilioni 38

    Serikali ya India imeonyesha nia ya kupata duma kutoka Kenya wakati wa ziara ya Kiserikali ya Rais William Ruto katika taifa hilo la Asia. Kama ilivyoripotiwa na The Indian Express, Wizara ya Mazingira ya India tayari imewasilisha pendekezo hilo lakini maelezo kuhusu idadi ya duma walioombwa...
  13. Doto12

    UDART kama mna nia ya kutoa huduma toeni hizi nauli ni upokaji

    Unavailable wazungu si ndio badi kuweni na utu. Jambo moja msilolijua nchi za mabepali, wanatufanyia ubepali wageni. Lkn kwa raia wao wanafanya welfare huduma kwa wananchi. Istoshe hata sie wageni tunapoingia mataifa haya tunaona. Tiketi ya mkato mmoja itumike kwa masaa kwann nikate kila mara...
  14. GENTAMYCINE

    Kwanini nikimshauri Mtu Jambo Kiupendo na kwa Nia Njema na Kumtahadharisha nalo pia akinipuuza na Likimharibikia ananiona Mchawi na nimemroga?

    Huenda ikawa ni Zawadi ambayo Mwenyezi Mungu amenipa kwa Kuniumba nayo, ila kwa Wanadamu huwa inanipa wakati mgumu Kwao kwani huniona kama ni Mchawi Kwao kwakuwa nikiwashauri Jambo au kuwatahadharisha nalo Wakinipuuza tu na kufanya Wajuavyo huwaharibikia na kuanza kuniona ni Mchawi na...
  15. Nyankurungu2020

    Miradi mikakati yote aliyoianzisha hayati Magufuli imekwama kutekelezeka. Taifa letu linakwamishwa na genge la watu wachache wasio na nia njema

    SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika. Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa. Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa...
  16. Influenza

    Costco Shoppers yashtakiwa ikidaiwa kuingilia taarifa za wateja wao na kuzituma Meta kwa nia ya matangazo

    Katika nyaraka zilizowasilishwa kwenye Mahakama ya Shirikisho ya Seattle zinadai Costco Shoppers inatumia Meta Pixel kwenye eneo la Huduma za Afya katika tovuti yake bila wateja kujua au kuridhia. Meta Pixel ni nyenzo ya Uchanganuzi inayoruhusu tovuti kufuatilia shughuli za wanaotembelea...
  17. OLS

    Waziri Nape Nnauye, inakuaje unajisifu kuona Watanzania milioni 5 ndio wako online? Je, nia ya kutaka 100% wawe connected ni ya kweli au siasa?

    Waziri wa Mawasiliano, Nape Nnauye akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Hospitali ya Mkoa ya Rufaa, Lindi amejisifu kuwa na digital divide kubwa mbali na kuwa yeye ndiye Waziri wa mawasiliano, tukiamini anafanya kazi kuhakikisha watu...
  18. M

    Mzee Cheyo: Inaonekana Serikali haina nia ya dhati kwenye suala la Katiba Mpya

    Akiongea kwenye kikao cha wadau wa masuala ya siasa nchini. Amesema kuwa hoja za serikali za kutaka watanzania wapewe elimu kwanza ndo tuanze kujadili habari za katiba ni chenga ya kutotaka wananchi wapate katiba mpya 1. Kahoji ni elimu gani ya katiba inayohitajika ambayo haikutolewa na Jaji...
  19. enzo1988

    Russian high school pupils to learn how to operate drones

    Huku mpaka uende chuoni! Angalia watu wanaoangalia kesho ya taifa lao. Russian high school pupils to learn how to operate drones Russian teenagers will learn how to operate and counter military drones in the upcoming school year, according to a curriculum published Monday by the education...
Back
Top Bottom