nicodemas maganga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge, Nicodemas Maganga: Akionekana mtu anajenga ghorofa achunguzwe

    Mbunge wa Jimbo la Mbogwe mkoani Geita, Nicodemas Maganga ameishauri Serikali kutumia njia aliyoiita ni rahisi ya kuwabaini watakatishaji fedha, ikiwa ni pamoja na pale anapoonekana mtu anafanya maendeleo lazima Serikali ijue imepata kodi kiasi gani. Nicodemas amesema hayo bungeni Jijini Dodoma...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Nicodemas Maganga: Nitasimamia kikamilifu Fedha za Serikali kwa manufaa ya Wananchi

    Mbunge wa Jimbo la Mbogwe mkoani Geita, Nicodemas Maganga, amesema ataendelea kuwa mkali na kusimamia kwa karibu matumizi ya fedha zinazotolewa na serikali kuu kwa ajili ya kutatua changamoto za wananchi na kuboresha miundombinu ya kijamii. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Nicodemas Maganga ashiriki ibada katika Makanisa ya AIC na AGGCI atoa wito kuendeleza amani na mshikamano

    Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, Nicodemas Maganga, leo ameshiriki ibada katika Makanisa ya AIC na AGGCI, ambako ametoa wito kwa waumini kuendeleza amani na mshikamano katika jamii. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…