nida

National Identification Authority (NIDA) /Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ni chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania.
  1. S

    Kwanini TRC wanasisitiza NIDA kukata tiketi za SGR?

    Wakuu poleni na majukumu ya kujitafutia kipato,mimi swali langu ni kwa wahusika wa TRC (SGR)hivi ni kwa nini mtu akitaka kukata tiketi kwa ajili ya train ya sgr mnamtaka lazima awe na kitambulisho tena cha Nida naomba kufahamishwa,na je ingetokea nini kama tungekuwa tunakatiwa ticket bila hiyo...
  2. Ufanisi wa Utoaji wa Vitambulisho vya NIDA: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa sasa, NIDA...
  3. M

    Ufanisi wa Utoaji wa Vitambulisho vya NIDA: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa sasa, NIDA...
  4. REVIEW YA MOVIE: Kung fu panda 4

    Chameleone: Giving to gain I believe thats how things work
  5. Kitambulisho cha NIDA ni muhimu sana, nenda kachukue kitambulisho chako

    📖Mhadhara (72)✍️ Ni siku nyingi sana sikutembelea ofisi ya NHIF. Lakini jana nilikwenda kwenye ofisi ya NHIF kuchukua kadi ya Bima ya afya ya mtegemezi, nikaambiwa kuwa sasahivi mambo yamebadilika. Kwa sasa mtu mzima hapewi kadi ya Bima ya afya bali atatumia NIDA (NAMBA YA NIDA) kutibiwa...
  6. S

    Nakala ya kitambulisho cha Taifa (NIDA)

    Habari zenu ndugu wana JF, nilikua naomba msaada wa yeyote anaeweza kunisaidia kupata nakala ya kitambulisho cha taifa
  7. K

    Mfumo wa kutengeneza NIDA. Na mfumo wa kutengeneza kitambulisho cha mpiga kura tofauti yake ni kidogo ila mbona NIDA ni Kero?

    Ukiangalia mfumo wa kupata kadi ya mpiga kura na Mfumo wa kupata kitambulusho Cha NIDA ni uleule yaani tofauti zilizipo ni ndogo sana especially kwenye taarifa za Mtu.. Ila NIDA imekuwa Kero kubwa sana mtu kuja kupata Kitambuisho chale.
  8. Rais Samia amteua Wilbert Haji kuwa Mkurugenzi wa NIDA

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bw. James Wilbert Kaji...
  9. T

    Namuomba Bashungwa asome hapa kuhusu kero za vitambulisho vya NIDA!!

    Nimemsikililiza waziri Bashungwa alipokuwa anatoa maelekezo kuhusu vitambulisho vya NIDA. Kwa bahati mbaya hawa mawaziri wetu hawajishughulishi sana kutafuta majibu ya kero halisi za wananchi wa kawaida kabisa. Kuna changamoto nyingi sana kwenye michakato ya vitambulisho vya NIDA 1. Ni...
  10. Bashungwa Atoa Miezi Miwili kwa NIDA, Vitambulisho Milioni 1.2 Vilivyotengenezwa Kuwafikia Wananchi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni moja na laki mbili ambavyo tayari vimeshatengenezwa vinasambazwa na kuwafikia Wananchi walengwa. Waziri Bashungwa amesema hayo leo Disemba 17...
  11. Pengine watu wengi hukosa haki zao kwasababu ya changamoto za majina ya NIDA

    📖Mhadhara (68)✍️ Katika mizunguko yangu ya leo tarehe 27/11/2024, majira ya saa 14:20 nilifika kwenye duka la nguo la dada mmoja mwenye umri kati ya miaka 30 - 40. Wakati nachagua nguo dada huyo akiwa na mwenzake walikuwa wanazungumza jambo. Kwenye mazungumzo yao dada mwenye duka anamshauri...
  12. Mzee Ayo afariki dunia baada ya kutapeliwa pesa mtandaoni. Umuhimu wa NIDA na alama za vidole kwenye usajili wa kadi za simu ni upi?

    Habari wana JF Wakati swala la kusajili kadi za simu kwa kitambulisho cha nida na alama za vidole unaingia nchini tulipewa umuhimu mbalimbali wa jambo ilo ikiwemo swala la usalama na kudhibiti utapeli kwa njia ya mtandao. Nimeleta hoja hii kwani ni miaka sasa tangu swala la kujisajili kwa...
  13. Msaada: Kuna namna nyingine ya kupata namba ya NIDA bila ya kwenda ofisini kwao?

    Eti wakuu, Kuna mtu humu amefanikiwa kupata namba ya NIDA kwa kujiandikisha online tofauti na kwenda kabisa kwenye ofisi zao? NIDA Tanzania
  14. A

    KERO Changamoto kufanya marekebisho ya Namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA)

    Naomba msaada ndugu zangu nimekuwa nikihitaji Kufanya marekebisho ya namba ya NIDA tangu mwaka Jana mwezi Novemba, katika ofisi Moja Bariadi requirements zote nilikamilisha mpaka malipo ya replacement lakini mpaka sasa nimekuwa nikifika ofisini kwao wanadai mtandao unasumbua mara usajili...
  15. Kama unamiliki kitambulisho cha NIDA utakubaliana na mimi kwenye mambo yafuatayo

    Nafikir kama unaimiliki namba ya Nida au kitambulisho Cha NIDA hasa wale walioandikishwa wakati zoezi la utoaji wa NIDA linaanza utakubaliana na mimi mambo yafuatayo: 1.picha zetu sio halisia 2.kadi Zina makosa mengi Kama A .majina yamekosewa Sana B.Tarehe za kuzaliwa zimekosewa pia...
  16. SI KWELI RITA na NIDA wanarekebisha taarifa kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa kwa kutuma taarifa kwenye Whats App

    Nisaidie kupata hii habari kama ni kweli
  17. A

    KERO NIDA kuna changamoto kuangalia namba ya NIN mtandaoni

    Kuna shida ya kuangalia online namba ya NIDA hawaleti namba inasababisha changamoto. Tafadhali IT wa NIDA rekebisheni hili
  18. Hackers wametapakaa mitaani: Makinika na simu zako na kitambulisho chako cha NIDA

    Hali ni mbaya sana mtaani .. ma IT wameshamaliza kozi zao.. Ajira hakuna .. Sasa wamegeukia utapeli na wizi kwa njia ya mitandao Makinika na vitambulisho vyako mbalimbali hasa NIDA Kadi za bank Passwords nk Makinika na wasajili laini mitaani na ikiwezekana TCRA wazifunge hizi freelance za...
  19. KERO Matumizi ya vitambulisho vingi, kwanini kisitumike kitambulisho cha NIDA pekee?

    Husika na mada tajwa hapo juu. Tanzania ni Nchi ya ajabu sana kuwahi kutokea hapa Duniani, Tanzania ni Nchi ambayo bado iko nyuma sana na mambo ya teknolojia. Tanzania tuna Kitambulisho cha Taifa, maarufu kwa jina la NIDA, Kwa mawazo yangu nilifikiri kwamba kitambulisho hiko kitabeba kila aina...
  20. Ukipoteza kitambulisho cha NIDA ukalipia, unakaa muda gani mpaka kupata kingine

    Habari , Kwa aliyepoteza Kitambulisho cha NIDA akifanya malipo ya 20,000 anakaa siku ngapi mpaka akipate , Niko Dodoma MREJESHO Nimefika NIDA , Dodoma nikapewa Form yaani nianze kujaza Upya , mfano naanza kujisajili pia naambiwa nipite Migration , Why all the process ikiwa kwenye mfumo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…