Rais Magufuli amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dkt. Arnold M. Kihaule kufika Mkoani Morogoro leo na ikiwezekana akae Mkoani humo hata siku tatu ili kushughulikia tatizo la Watu wengi kukosa Vitambulisho vya Taifa huku Mkoa mzima ukiwa na ofisi moja pekee ya NIDA.
Rais Magufuli ametoa agizo...
Kuna kudaiwa rushwa kulikovuka mipaka katika hili zoezi la vitambulisho vya taifa, Hali imekuwa mbaya zaidi baada ya vitambulisho hivyo kutumika kusajili simu ambapo mwisho ni Desemba mwaka huu.
Yalinikuta binafsi ila nikaamua niachane na kitambulisho na line nimesajili kwa kitambulisho cha...
Nauliza hivi, toka nipate number yangu na copy ya kitambulisho inachukua muda gani kupata kitambulisho halisi maana nikiwatumia ujumbe katika email yao najibiwa hivi: Ujumbe wako haujatufikia, tafadhali jaribu tena.
Kama kichwa cha Habari ulivyo soma hapo juu.Ni kwamba kuna changamoto katika utoaji wa Vitambulisho vya Taifa,hasa kwa Mikoa inayo pakana na Nchi jirani. Mfano ni Mkoa wa Kigoma, unakuta baadhi ya Watu wana wamiliki Warundi kwa miaka mingi na kuwafanyisha kazi za Majumbani,Mitaani na...
Mi swali langu limenyooka sana. Umihimu wa kuwa na kitambulisho cha NIDA ni nini?
Maana tukienda kutengenezesha Passport mpya tunahitajika ku wasilisha vyeti vya kuzaliwa na vinginevyo.
Mimi kwa akili yangu nilikuwa nafikiria kuwa tukishapata Kitambulisho cha NIDA basi tena kutakuwa hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.