nida

National Identification Authority (NIDA) /Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ni chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania.
  1. Dusabimana

    NIDA Wilaya ya Kasulu mnawasababishia Wananchi usumbufu na kuwaingiza gharama!

    Kama kichwa habari hapo juu kinavyosema. Hivi hamuoni kuwa mnasababisha usumbufu kwa kubandika namba za NIDA za Wilaya nzima eneo moja tu. Watu wasafiri toka Vijijini kuja Mjini kuangalia namba za usajili wao, kwa kulipia nauli! Mfano kutoka Kagerakanda, Asante Nyerere, Makere na huko kwingine...
  2. R

    NIDA vs Immigration vs Makampuni ya Simu: Watalii nao kikaangoni

    Watalii wallopo ndani ya nchi ambao walichukua line za simu nao hali mbaya. Mfumo wa Immigration hausomeki kule NIDA na makampuni ya simu nao wanasema hawaoni kitu. Sisi ambao tuko kwenye sekta ya utalii tunashindwa kuelewa tatizo liko wapi. Watalii walipo ndani ya nchi wakienda kusajili line...
  3. gimmy's

    Nafikiri NIDA wanapaswa kuwajibika kwa uzembe na ndio pekee walipaswa kupewa ukomo wa muda sio wananchi

    Licha ya mazuri mengi yanayofanywa na Serikali yetu ya awamu ya tano lakini yapo mambo lazima Raisi wetu mpendwa anahitaji apate taarifa vizuri kupitia vyanzo vyake vinginevyo hawa wanaoitwa wanyonge watakuwa wananyongwa. Hivi wananchi wakaidi kusajili namba za simu ili iweje? Nani yuko tayari...
  4. BASIASI

    Yanayoendelea hapa Kawe Ofisi za NIDA, Mh. Rais tupe tu mpaka March tupambanie kitambulisho

    Nimewahi kulalamika kuna watu wanatakiwa wajiondoe wenyewe maofisini kama wameshindwakwenda na kasi ya Mh. Rais. Hapa Kawe ofisi za NIDA kumekuwa na udhalimu, rushwa kila aina; watu wanawahi, wengine wanakuja wanapelekwa mbele na walinzi wanaondoka munabaki. Hilo siyo shida; utaratibu wa...
  5. hp4510

    Utaratibu wa kibaguzi kupiga picha za NIDA Dodoma

    Leo nimekaa kwenye foleni ya kupiga picha za NIDA kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa nane kamili Watu ni wengi na utendaji wa hao watu wa NIDA na mashine zao ni slow sana Sasa ubaguzi ni kwamba wenzetu wenye Asili ya kihindi wanafika na hawakai folen wanapita moja kwa moja kwenda kupiga picha...
  6. B

    NIDA pambaneni Watanzania wapate vitambilsho vya taifa ili tusikose kodi

    Nawapongeza NIDA wanavyopambana kuhakikisha kila Mtanzania anafanikiwa kusajili line yake. Kama mnavyojua mzunguko wa pesa sasa upo kwenye simu kitu kinchopelekea serikali na taifa kwa ujumla kupata kodi kutoka makampuni ya simu. Wananchi watakaofungiwa line zao itasababisha serikali kukosa...
  7. Erythrocyte

    Mkurugenzi wa NIDA atakiwa kujieleza kwanini asifutwe kazi

    Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Kangi Lugola amemwagiza Mkurugenzi wa NIDA kukutana naye kwenye ofisi za NIDA Lindi tarehe 11 January, huku akiwa na maelezo ya kutosha kuhusiana na ucheleweshaji wa vitambulisho ili asifutwe kazi. Chanzo: Watetezi TV
  8. Lububi

    Hivi ni kweli hadi leo NIDA hawana ujuzi wowote wa mtu kuijua namba yake kimtandao?

    Nimefikiria kwa kina taaruki ya NIDA kutofanikisha waliojiandikisha kupata namba zao hadi sasa. Nimefikiria kwa kina vyuo vyote vya IT tulivyonavyo. Nimefikiria uwezo wa kiuchumi wa Tanzania. Nimefikiria uwezo wa kiuongozi na kiutawala tulionao. Nimefikiria taaruki ilivyo hadi sasa...
  9. Ta Muganyizi

    NIDA Kagera hasa Wilaya ya Missenyi ni Mateso

    Habari wadau, Heri ya mwaka Mpya 2020. Kuna haja ya kufuatilia kwa karibu kinachoendelea kwenye ofisi za NIDA mkoani Kagera hasa Wilaya ya Missenyi maana taarifa za mtu kupatikana pale ni jambo gumu. Kama rushwa inahitajika basi waseme bei. Si kweli kwamba wakazi wa Wilaya ile wote sio...
  10. state agent

    Mashine za NIDA zote wilaya ya Arusha zaibwa

    Mkuu wa Wilaya ya Arusha Jery Muro ameiambia ITV muda mfupi kuwa mashine za kutengeneza vitambulisho vya utaifa wilayani humo zote imeibiwa usiku wa kuamkia leo. Taarifa hiyo imekuja muda mfupi baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kutoa ratiba ya kuandikisha na kusajili vitamburisho...
  11. Nancyjoa13

    TCRA, NIDA waanika siri kukwama usajili laini

    BENJAMIN MASESE - MWANZA MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) zimeeleza sababu zilizochangia wengi kushindwa kusajili laini za simu zao kwa wakati. Zimesema hadi kufikia Desemba 31, mwaka jana, laini za simu zilizokuwa zimesajiliwa kwa njia ya...
  12. Kilele9

    TRA, NIDA na TCRA zishirikiane

    Viongozi na wataalamu wa TRA, TCRA na NIDA shirikianeni msiwe kama mpo nchi tofauti. Inavyoonekana hamuishauri serikali ipasavyo kwa kutokushirikiana kwenu. Serikali inapata kiasi kikubwa cha fedha kama kodi kupitia miamala inayofanyika kupitia mitandao ya simu. Kufungwa kwa laini za simu hata...
  13. Superbug

    Unachotakiwa kufahamu kuhusu kadi za NIDA

    Yajue haya kuhusu kadi za NIDA. Kwanza zina taarifa nyingi mno ulizijaza wewe mwenyewe bila kuambiwa kwanini. Kiufupi kadi za NIDA zina haya yafuatayo. 1. Mwaka wa kuzaliwa. 2. Tarehe ya kuzaliwa. 3. Namba ya mkoa. 4. Namba ya wilaya. 5. Namba ya kata. 6. Namba mtaa/ Kijiji. 7. Baba na mama...
  14. Bonde la Baraka

    Kwa hili la wananchi kufurika ofisi za NIDA ili kuokoa line zao zisifungwe linaonyesha kuwa ufahamu wa wananchi bado ni duni

    Habari ndugu wananchi! Mafuriko ya wananchi kwenye ofisi za NIDA hasa kipindi hiki kuelekea tarehe za kufungwa line ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole linatupa ukakasi juu ya ufahamu na uelewa wa wananchi. Kitambulisho cha taifa si kwa ajili ya kusajilia line, suala la kitambulisho cha...
  15. Syston

    NIDA mliangalie hili

    Leo uzi wangu naikosoa NIDA hasa katika kipengere hiki cha kuprint ID copy online. Ni jambo zuri na mnastahii kupongezwa kwa hilo ila mtu aliyepitia adha za huduma hii hawezi kuwapongeza, mimi nikiwemo. Tuanze hivi, nilienda statinary kuprint ID nikaambiwa 4000, nikaona siwezi kuvumilia ujinga...
  16. D2050

    Waziri wa mawasiliano kabla ya kufungia line zetu mkawafunge kwanza NIDA

    Leo tarehe23_12_2019 Watanzania wengi wamejiandikisha Nida ili kupata namba za kitambulisho waweze kusajili line zao,wapo watanzania ambao hawajapata hizo namba hadi leo.wakati walishajiandikisha toka mwezi wa kumi. waziri wa mawasiliano unapokuja hadharani kusema utazifungia line za watanzania...
  17. talentbrain

    NIDA: Taasisi iliyofeli kuingiliana na jamii

    Habari zenu watanzania wenzangu. Ni Mara ya pili naanzisha Uzi (makala) hapa inayoihusu taasisi hii nyeti imeyopewa mamlaka makubwa na serikali yetu kutupatia vitambulisho vya Taifa. Kwa umuhimu wa vitambulisho hivi ni wazi taasisi hii ni muhimu sana kwa watanzania wote. Huwezi kupata passport...
  18. Suley2019

    TCRA: Laini zote ambazo hazijasajiliwa kwa namba za NIDA zitafungwa kufikia Desemba 31, 2019

    Mamlaka hiyo imesema kwamba hakuna laini ya simu itakayofungwa kabla ya tarehe hiyo. Aidha, imesema wananchi wanatakiwa kwenda kusajili laini zao kwa kutumia vitambulisho vya uraia, na kuthibitisha usajili huo kabla ya muda uliowekwa kwa kuwa hakutakuwa na mabadiliko ya kuzifunga. Akizungumza...
  19. KENZY

    Tamko la Rais mkoani Morogoro kuhusu NIDA mpaka sasa hivi mrejesho wake ni upi..?

    Mbona kama NIDA bado haieleweki hata baada ya rais kutoa tamko kule morogoro kwa kumtaka mkurugenzi wa NIDA kutatua changamoto hii ya upatikanaji wa huduma ya vitambulisho vya taifa..? Nini mrejesho wa NIDA kuhusu utekelezaji wa kusambaa wilaya zote ili watu wapate vitambulisho kabla ya azimio...
  20. Bonde la Baraka

    Hivi namba za NIDA kwa tuliojaza Ajira Portal tangu zamani tunaziweka sehemu gani?

    Habari waungwana? Kuna nafasi ya kazi nimeiona utumishi, nataka kuiomba but nasikia siku hizi ID au namba za NIDA ni muhimu katika kujaza Ajira Portal. Mimi nilijaza kitambo, je naweza kuomba nafasi mpya bila kuweka number za NIDA? Kama ninataka kuziweka naweka sehemu gani? Asanteni.
Back
Top Bottom