Heshima Yenu Wakuu,
Hongereni kwa majukumu ya kuijenga mama Tanzania. Nahitaji msaada wa mawazo yenu na pia kwa aliyekutana na hii changamoto anipe usaidizi pia iwafikie wahusika Serikali pamoja na NIDA.
Nipo kwenye mchakato wakupata kitambulisho cha taifa (NIDA). Changamoto yangu iko hapa...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ameeleza kuwa kuwa na kitambulisho cha Utaifa (NIDA), hakuhalalishi mtu kuwa ni Raia wa Tanzania.
Pia soma > Mbunge :Wasiojua vema mashairi ya wimbo wa Taifa na Kiswahili wanaambiwa siyo raia wa Tanzania
Simbachawene ameeleza hayo leo Mei 4...
WARAKA MAALUM KWA MH. SAMIA SULUHU RAIS WA TANZANIA JUU YA UTAPELI NAOFANYIWA NA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA(NIDA
Salaam kwako Mkuu wa Taifa la Tanzania, naitwa DON NALIMISON ni Mwanamuziki na Mjuvi wa Falsafa, malalamiko yangu nayafikisha Mbele ya Kiti chako Cha Ikulu ili niweze...
Kama nilichokisikia ni kweli, naipongeza serikali kwa kubuni njia nzuri ya kupambana na ufisadi kwenye sector ya ardhi. Lukuvi anasema ataunganisha namba ya mmiliki ya NIDA na taarifa za kiwanja/viwanja anavyomiliki. Niliwahi kushauri kwenye thread moja iliyohusu kuondoa na ku-descourage...
nina shida sana na copy ya kitambulisho cha kwaajili ya bank akaunt nilipewa emaili ya meneja wa NIDA wa Iringa lakini maeneo ya kazi wanakwepa kutuma barua ya dharula kwa njia ya email
kuna anayeweza kunitolea copy ya kitambulisho cha nida
humu sipo sana coz simu kubwa sina
ni very serious...
Salaam Wakuu,
Vyombo vya Serikali viache double standard.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM...
Abdul Razaq Badru Mkurugenzi wa Bodi amefafanua kwamba mnufaika ataanza kulipa baada ya miezi 24 [miaka 2 ] kama hana ajira.
Baada ya hapo Deni linakuwa kwa 10% kila mwaka.
Watu ambao hawajaajiriwa kwenye sekta rasmi wanapaswa kurejesha 100,000/= au ASILIMIA KUMI 10% ya pato analolipia kodi...
Wadau, wakati nafanya application SUA. Nimekutana na kipengele kinachohitaji namba ya NIDA..
Sasa kama hauna inakuwaje hapa.!!, kuna mtu yeyote kakutananacho hiki kipengele..?
Wanajamii, nafikiri wafanyakazi wa NIDA wanachukulia watanzania hatuna akili. Binafsi nimejiandikisha tangu mwaka jana mwezi wa 3 lakini kila nikifuatilia kitambulisho naambiwa kwa sasa wanatoa namba tu vitambulisho wamesitisha. Kwa akili ya kawaida huu ni upumbavu uliokithiri kwa sababu;
1...
Wakuu Salaam;
Ofisi ya Rais-Tamisemi imefungua rasmi dirisha la kutuma maombi ya ajira kwa sekta ya elimu.
Kila aliye na sifa anaweza kuomba ajira hiyo kupitia link ifuatayo :https://ajira.tamisemi.go.tz/ .
Kigezo cha kua na kitambulisho au namba ya NIDA kimejumuishwa kama msingi kwa...
Wadau nimekuwa nikifuatilia kitambulisho changu cha uraia tangu mwaka jana, Kila siku umekuwa danadana.
Kilichonifanya nilete Uzi huu no uzembe wa mamlaka pale unapokatika umeme kushindwa kutimiza majukumu yao kwa kisingizio cha kukatika umeme wakati wanayo standby generator. Nilipouliza...
Wakuu, Mamlaka ya NIDA imeorodhesha namba hizi kwaajili ya mawasiliano kwa sisi wateja wao wenye changamoto mbali mbali kutokana URASIMU wao;
0752 000058, 0677 146667, 0777 740008, na 0735 201020.
Jambo la kushangaza na KUUDHI, namba hizo kila ukipiga simu HAZIPOKELEWI wala kujibiwa chochote...
Leo nilikwenda ofisi za NIDA Pwani pale Kibaha. Ili uingie NIDA inabidi kuanzia uhamiaji. Sasa ile nimefika uhamiaji wakaniambia NIDA hawafanyi kazi kisa KORONA. hebu wadau huko mliko NIDA wamefunga ofisi??
Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA), imefunga mitambo miwili yenye uwezo wa kuzalisha vitambulisho 9,000 kwa saa ikiwa na uwezo mkubwa zaidi kulinganisha na mitambo iliyokuwepo awali iliyokuwa inazalisha vitambulisho 200 – 250 kwa saa.
Taarifa hiyo imetolewa na kitengo cha mawasiliano na...
Najuaaa tunapopitia sihaba kuamini akuna kipya mbeleni.
Kwa matokeo haya tukapange tu foleni pale Kawe tugombanie namba za NIDA.
Sioni tunachoshindania mpaka sasa ajabuu unakaa bar kula unaonaa kundi la watu linaingia kuangalia Yanga as if wanagombani kakombe fulani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.