Kanuni mpya za usajili wa Laini za Simu za mwaka 2020 zimetangazwa kwenye Gazetti la Serikali la tarehe 7 February, 2020 kama Tangazo la Serikali No. 112 la 2020. Jina fupi (short title) la Kanuni hizo ni the Electronic and Postal Communications (SIM Card Registration) Regulations, 2020...
NIDA WAMETOA MWONGOZO
KUTOKANA NA MALALAMIKO
KWA BAADHI YA NAWAKALA KUTUMUA NAMBA ZA WATU ZA nida kutengeneza line za watu
Serikali kushirikiana na nida inaomba kila mwananchi kuhakiki kama namba zilizopo n za KWAKE ama.LAH
NENDA *106# hapo elekea namba 2 andika namba ZAKO za nida ukionaa...
Huku TCRA wakiendelea kufungia Watu Line zao katika Wilaya ya kasulu NIDA wanawarejeshea Wananchi fomu zao ili wakahojiwe upya!
Mwezi January mwaka huu walianza kutoa namba kwa baadhi ya watu wachache huku Watu wengi wakiwa bado hawajapata ! Ghafla tena J'pili ya February 2 tangazo likasikika...
Serikali kupitia mamlaka yake ya Usajili wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ilitoa muongozo wa kupata namba yako ya NIDA kwa njia ya kielectronic kama tayari MTU kishafika kwenye mamlaka halisi na kujisajili lakini anasubilia namba.
Cha kushangaza ,Unapo andika ombi La kupata namba huambiwa ombi...
Wakubwa mdogo wangu alijiandikisha NIDA mwezi December mwaka jana leo ameenda kuangalia kama namba yake imerudi ila ameambiwa eti aanze process upya kwa kuwa jina lake lilikosewa kwahiyo namba haiwezi kurudi.
Hivi ni kweli mtu ambaye jina lake limekosewa anatakiwa kuanza process upya au jamaa...
Wakuu nimekuwa nikifuatilia jamaa wanasema hakuna foleni kabisa wala msongamano kihivyo.
Najiuliza:
Je, sisi wabongo mambo ya kusafiri nje sio hobby yetu?
Swali lingine la uzushi, hawa Idara ya Uhamiaji kwanini eti ili Mtanzania apate Passport lazima awe na kama sababu au ushahidi wa huko...
So sad tena kwa 5000
Nini kinafanyika mnakaa mstari wale wanaosajili baada ya kuweka dole gumba wanakwambia mtandao uko down ukikaa sana unaondoka inatengenezwa line safi inakaa pemben
Hako kamchezo wanaweza fanyia watu kumi +/pday na n.kibanda kimo1 tu
Mmsishangae vibanda vya kusajili...
Ilitakiwa ukikitazama kitambulishe cha taifa namba ya kitambulisho peke yake tu bila kutumia kifaa chochote ikuambie kuwa kitambulisho hiki ni cha mkazi wa Mkoa fulani, Wilaya fulani, Kata fulani na kijiji fulani. Kila Mkoa ungepewa code number yake ya kuonyesha Mkoa na wilaya zake, tarafa...
Leo nikiwa hapa Russia nimepata kuongea na Afisa uhamiaji ambaye amesema taarifa anazotoa ni nyeti na wala serikali isingependa zijulikane kwa raia wake maana zitaonesha Udhaifu wake.
Tumejadili yafuatayo:
1. Kwanini ukienda Uhamiaji unaombwa Birth Certificate wakati umeshai submit kwenye...
Habari waungwana. Leo ngoja nieleze mchakato wangu wa kitambulisho changu cha taifa mpaka kupata namba na niliyoyashuhudia ofisi za NIDA.
1. Kabla sijaanza kufatilia kitambulisho cha taifa, nilianza kuuluzia nyaraka zipi zinahitajika kaambatanishwa.
Nikaambiwa cheti cha kuzaliwa,(kadi ya mpiga...
Laini kufungiwa kwa kigezo cha kutosajiliwa kwa njia ya vidole ni suala linalo trend kwa sasa kuna changamoto zipo katika suala hili kwangu kuna maswali yanayotaka majibu kwa uelewa wangu
1. Kitambulisho cha nida kinaruhusu kusajili laini ngapi ??
2. Mtu mwenye ulemavu wa...
Tumepiga marufuku mifuko ya rambo kwa yowe na maneno matam na sasa tunapiga marufuku utumiaji wa laini za simu kwa watu wengi kimya kimya na kwa utaalam mbovu, utadhani na hili ni new world oder (Maneno ya walevi tuyapuuze jamani, akili zao zinakimbia wakilewa zinarudi wakiwa wazima).
Turudi...
Idara ya Uhamiaji imetoa maelekezo ya kujaza fomu za maombi kwa njia ya mtandao.
Msemaji wa Uhamiaji, Ally Mtanda amesema leo Februari 9, 2018 kuwa fomu hizo zipo kwa Kiswahili na kusisitiza kuwa mwombaji anapaswa kuwa na kitambulisho cha Taifa ili kukidhi moja ya sharti muhimu.
“Maombi kwa...
Serikali ya Tanzania imesema itatumia hekima kuwasaidia wananchi walioshindwa kusajili laini za simu kwa sababu ya kukosa kitambulisho cha Taifa na namba licha ya kuanza mchakato wa kupata kitambulisho hicho.
Imesema wananchi hao taarifa zao zipo katika Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)...
Hivi kwa nini hizi taasisi zisibadilishane watumishi yaani watumishi wa nida waende tcra na wale wa tcra waende nida ili wajaribu kuona jinsi ilivyo kazi kuwapatia watz wote vitambulisho kabla ya tarehe 20
Huu mchakato wa kusajili laini za simu kwa kutumia kitambulisho cha NIDA pamoja na vidole umekaa kisiasa zaidi na hauna faida kiuchumi.
UK na baadhi ya nchi unaweza nunua laini na kutumia bila kufungiwa.
Kwa kufungia laini zaidi ya Milioni 15 ya Watanzania ambao hawana NIDA serikali inapoteza...
Rais wa Awamu ya 4, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo Januari 18, 2020 amesajili laini yake kwa njia ya kieletroniki, huku akiwahasa Watanzania wengine kujitokeza kushiriki zoezi hilo, kwa kuwa mwisho ni Januari 20, 2020.
Rais wa Awamu ya 4, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo Januari 18, 2020...
Imebaki siku moja watekeleze hiyo adhma yao ya kufungia laini zisizosajiliwa kwa alama za vidole na namba za Nida, lakin maelfu ya wananchi wsliojiandikishia mkoani humo hawajapewa namba zao bila kuambiwa sababu za msingi. Serikali mnaitambua kero hii?
Natoa ushauri wa bure kabisa kwa Wakurugenzi Wakuu wa NIDA na TCRA kutembelea mikoa tajwa hapo juu kabla ya tarehe 20 mwezi huu ambapo line za simu zote zisizo na usajili wa kitambulisho cha NIDA zitasitishiwa huduma.
Kama tukiendelea kuwafanyia Waha, Wahangaza na Wanyambo mambo tunayowafanyia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.