Ni wakati sasa mkurugenzi wa NIDA abadilishwe.
Ni wakati wa NIDA ijitegemee yenyewe isipewe fedha na serikali tena
Kama NIDA ingepata kiongozi mbunifu ingeingiza mapato mengi sana kama wafanyavyo TRA.
Serikali yetu ifanye yafuatayo:
Mkurugenzi abadilishwe.
Mkurugenzi mpya imarisha kitengo...
The National Identification Authority (NIDA) card is a cornerstone of Tanzania's identity management system. National identification allows people to confirm their identity, which is required for accessing social protection services including healthcare, education, and social welfare programs...
Jana nilikwanda kuhuhisha taarifa zangu za kibenki ndipo nikakutana na kadhia hyo kuwa vitambulisho vingi vimekosewa
Kuanzia majina
Maahali uliko zaliwa
Wilaya uliko zaliwa
Kijij uliko zaliwa
Kata
Shule ya msingi niliyo Soma nk...
Majina pia ya mam mzazi yote yalikosewa na Hili nilibaini...
SERIKALI KUANZA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU VITAMBULISHO VYA NIDA VYENYE UKOMO NA VISIVYO NA UKOMO
Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate ameuliza swali lililoelekezwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu...
Kwa muda mrefu sasa ,serikali imekua ikitoa matamko kua inataka watanzania watambulike kwa utambulisho sahihi , kwa nchi yetu Tanzania NIDA wamejitahidi sana tumepata vitambulisho karibu asilimia kubwa ya Watanzania.
Kinachofanyika kwa sasa ,kampuni yeyote ikitaka kufanya name...
Mbona kusajili mnatuma mawakala mpaka maporini huko wanafika na usajili unafanyika bila mlolongo wowote iweje kufuta namba mpaka mtu afike kwenye duka la mtandao husika?
Yaani mnaendekeza faida tu kwa upande wenu bila kujali madhara kwa mteja na jamii yake au taifa kwa ujumla! Kumbukeni baadhi...
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umebainisha kuwa umeanza utaratibu wa utambuzi wa wanachama wake kwa alama za vidole kupitia usajili wao wa kitambulisho cha Taifa (NIDA).
Kauli hiyo imetolewa wakati wa kujibu hoja ya Mdau wa JamiiForums aliyedai baadhi ya Wafanyakazi wa NHIF waliopo...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua zoezi la ugawaji wa Vitambulisho Taifa (NIDA), leo Desemba 5, 2023 ambapo uzinduzi umefanyika katika Kata ya Kyimo, Tarafa ya Ukukwe.
DC Haniu ameeleza kuwa jumla ya vitambulisho 69,638 vitatolewa kwa Wakazi wa Wilaya ya Rungwe huku Kata ya Kyimo...
Muswada uliosomwa kwa mara ya Kwanza kuhusu sheria ya Uchaguzi umeelekeza wananchi kulipia Kadi ya Mpiga Kura endapo atataka kuihuisha tena.
Hili suala halipo mbali na NIDA ambapo jambo la Kulipishwa wakati wa kukihuisha lipo.
Nini maana ya kuwa Mtanzania endapo hadi kutambuliwa uwepo wake...
Habari zenu, nimekwama nahitaji kuangalia namba ya NIDA ya binti yangu, ila nikiingia kwenye wrbsite ya NIDA naingiza taarifa vzur inagoma!
Mwenye uwezo wa kunisaidia wakuu🙏
Watanzania tunaofanya marekebisho ya Taarifa za Kitambulisho cha NIDA kuna mlolongo mrefu na gharama kubwa lakini bado pia taarifa hazirekebishwi kwa zaidi ya miezi mitatu.
Wengi tunafahamu kuwa kuwa na kitambisho cha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ni jambo muhimu na linarahisisha...
Wakuu, nahitaji kufungua account ya forex ambayo nitakuwa na uwezo waku withdraw.
Nina taarifa zote ila sina tu hicho kitambulisho, kwahiyo naomba mnipe njia kama ina wezekana na kwa wazoefu mnisaidie experience zenu katika biashara hii.
Ngara
Octoba 31, 2023
Mbunge wa Jimbo la Ngara,Mhe.Ndaisaba George Ruhoro anapenda kuwatangazia Wananchi wote wenye namba za NIDA kuwa, Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imezalisha na kufikisha Ngara Vitambulisho 35,000 vya Uraia kwa Wananchi wa Jimbo la...
Nchi hii hasa serikali na mamlaka zake Mungu anawaona, naandika nikiwa na hasira sio NIDA wala Uhamiaji, au Polisi kote kumeoza.
Wahamiaji haramu wametapakaa sio kwenye bar, shambani, kwa house girls, vibarua wa kufuga mbuzi, nguruwe, kuku ambao wako nchini kwenye maeneo mbalimbali wasio na...
Mazingira hayako vizri yaani vibarua wanaingia saa 2 ASUBUHI na wanatoka 2 usiku Ili hali wanafnya kazi katika mazingira hatarishi.
Hamna vifaa vya kujikinga na hewa chafu mule NDANI, hamna hata special boots na vifaa vitakvyomuweka salama.
Mfanyakazi (vibarua) wanalipa elf 4 Hadi elf 5 kwa...
Kamati ya Uchaguzi wa Taifa (NEC), inatakiwa ishirikiane na mamlaka ya utambulisho wa utaifa (NIDA) katika mchakato wa upigaji kura.
NIDA wanatumia finger print sambamba, na wanachukua taarifa mbalimbali za watu. Hivyo mtu aruhusiwe kupiga kura kwa NIDA na vitambulisho vya kura vifutwe. Na kwa...
Waziri wa mambo ya ndani, Hamadi Masauni amesema kabla ya kufikia mwezi wa tatu mwaka 2023 wananchi wote watakuwa wamepata kadi zao za NIDA na haitazidi hapo, Masauni kasema inaweza kuwa hata Disemba mwaka huu.
Pia Masauni amesema wananchi ambao hawajapata vitambulisho lakini wana namba za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.