nida

National Identification Authority (NIDA) /Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ni chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania.
  1. benzemah

    Serikali yaondoa ukomo wa Matumizi ya Vitambulisho vya Taifa

    Serikali imesikia kilio cha Wananchi na imetangaza rasmi kuondoa ukomo wa matumizi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA), vilivyomalizika muda wake baada ya kufanya mabadiliko ya kanuni za usajili na utambuzi wa watu. Hayo yamebainishwa leo Jumanne tarehe 21 Februari 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani...
  2. M

    Uhamiaji, NIDA Kinondoni ni shida

    Kuna mtu ameenda NIDA kupata kitambulisho akiwa na cheti cha darasa la saba akaambiwa lazima awe na cheti cha kuzaliwa kwa kuwa yeye amezaliwa miaka ya tisini. Baada ya kupata cheti cha kuzaliwa akawa na viambatanisho vitatu; Cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la saba na leseni ya udereva...
  3. M

    NIDA ni ufahamu mdogo wa baadhi ya watumishi au Rushwa?

    Kuna mtu ameenda NIDA kupata kitambulisho akiwa na cheti cha darasa la saba akaambiwa lazima awe na cheti cha kuzaliwa kwa kuwa yeye amezaliwa miaka ya tisini. Baada ya kupata cheti cha kuzaliwa akawa na viambatanisho vitatu; Cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la saba na leseni ya udereva...
  4. Nyuki Mdogo

    USHAURI: Serikali itoe namba za NIDA kwa watoto

    Habari za majukumu JF? Kulingana na hali ya mabadiliko ya sayansi na teknolojia, naishauri serikali iliangalie hili suala la NIDA lisiwe kwa watu wazima pekee. Naiomba serikali iweke utaratibu maalum wa kutoa Usajili wa NIDA kwa kila mtoto anaeanza elimu ya msingi. Hili litatusaidia mambo...
  5. R

    Rais kuisuka upya NIDA na RITA, wakwama usajili wa watu

    RITA na NIDA wapo mbioni kufumuliwa na kusukwa upya kuendana na Kasi ya awamu ya sita. Maeneo yanayotegemea kuwekewa mkazo nikudhibiti Watanzania na wageni waliozaliwa nje ya nchi kutokupata cheti cha kuzaliwa kama vile wamezaliwa Tanzania. Mwanya huu unatumiwa Sana kusaidia raia wa kigeni...
  6. R

    Kwanini raia wa kigeni wanapewa kadi za NIDA na pasipoti za Tanzania?

    Mnaofahamu tusaidieni utaratibu wa kupata kitambulisho cha NIDA na Pasipoti incase hata wageni wanaruhusiwa kupata. Kuna wageni wanafanya biashara na kuajiriwa hapa nchini awali walikuwa na Pasipoti za Kigeni lakini siku hizi Wana Pasipoti za Tanzania kwenye makampuni Yale Yale na TRA taarifa...
  7. Mparee2

    NIDA waje na mpango wa Vitambulisho Kidato cha nne

    Napendekeza kuwa, NIDA waje na mpango mkakati wa kuwapatia vitambulisho vya NIDA wanafunzi wote wa kidato cha nne wenye sifa. Kama taarifa zao zitachukuliwa mapema, inamaana kabla ya maliza kidato cha nne wote watakuwa wamepata vitambulisho vyao na kuepuka usumbufu usio kuwa wa lazima...
  8. H

    Kuna tatizo gani NIDA?

    Naomba mniulizie kwa mtendaji mkuu wa NIDA Kibaha mkoa wa Pwani. Kwanini inachukua zaidi ya mwezi kupata namba (sio kitambulisho) katika ofisi ya Kibaha? Tunaomba mkuu wa mkoa aingilie kati.
  9. R

    DOKEZO Ni kweli hawa wote ni raia wa Tanzania au wamejipatia pasipoti za Tanzania kimakosa?

    Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana. Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa familia Kula bata kidogo, katika moja ya hafla mwenyeji wangu alinikutanisha na rafiki zake ambao...
  10. MSAGA SUMU

    Mama Samia kuifumua NIDA juu chini, anatafuta bosi ambaye ni chini ya miaka 35

    Kituo kinachofuata ni NIDA. Mama kashindwa kuelewa inakuaje kuaje Kama Magari kawapa, hela katoa, mashine za kisasa zipo, mishahara inaingia kila mwezi lakini miaka 5 mtu hapati kitambulisho. Wakati huohuo mamlaka Kama hizo nchini Kenya na Rwanda zenye bajeti ndogo kuliko NIDA zinatoa...
  11. BARD AI

    NIDA yaanza usajili wa Vitambulisho kwa njia ya Mtandao

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetambulisha mfumo wa usajili wa watu kwa njia ya mtandao utakaowezesha wananchi wenye sifa za kuomba vitambulisho vya taifa kwa kujaza fomu mtandaoni. Waombaji wa awali watajaza fomu mahali popote walipo bila kulazimika kwenda ofisi za usajili za...
  12. Amina68

    Ukienda katika usaili wa Utumishi hakikisha, una kitambulisho chochote, nakala au namba ya NIDA hazifanyizi kazi

    Kama Unaenda usaili wa utumishi hakikisha,una ID YOYOTE,COPY AU NAMBA YA NIDA HAZIFANYZI KAZI,UTAPOTEZA PESA NA MUDA WAKO BURE
  13. T

    Wale mliofungiwa NIDA zenu (Blacklist) na TCRA kusajili line mpya njooni hapa mtoe shuhuda zenu na jinsi mlivyopata solution

    Mimi ni kiongozi wa timu za usajili wa line mpya. Hivi karibuni kumetokea wimbi la wateja wengi wanaotaka kusajili line mpya na vitambulisho havijajaa lakini wanaambiwa (nin blacklisted). Je wewe ni mmoja wao? Na je ulitumia njia gani kuondoa tatizo hilo? Karibu utuelezee ili na wengine wenye...
  14. Elias K

    Nimekosa kibarua kisa kitambulisho cha Taifa. Ni Mwaka wa nne sijapata kitambulisho cha NIDA

    Wakuu Kama mmesoma threads zangu za nyuma, ni wazi kwamba napitia kipindi kigumu kimaisha. Sasa wiki hii Kuna kibarua nilipata hapa Arusha wakahitaji kadi ya nida na ya chanjo ya Corona, nikawapa ya Corona na namba ya NIDA, wakasema wanahitaji kadi kabisaa siyo namba! Nilijiandikisha tangu...
  15. Replica

    Tanzania yakopa bilioni 310 EXIM kutanua mfumo wa NIDA

    Serikali ya Jamhuri ya Korea imeipatia Tanzania mkopo wa gharama nafuu wa Tsh. Bilioni 310 kwa ajili ya upanuzi wa mfumo wa utambuzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na uendelezaji na utunzaji wa mfumo wa taarifa za ardhi. Hafla ya utiaji saini wa mikataba hiyo baina ya...
  16. TATACHACHA

    NIDA; urasimu wa upatikanaji wa NIN number online, umegeuka fursa(dili) kwenye ofisi za wilaya. Kupata NIN yako bila kutoa chochote, sahau!

    Mamlaka ya vitambulisho vya taifa tanzania ( NIDA) sidhani kama walikuwa na lengo la kukamilisha mradi huu kwa wakati, Nahisi kuna watu ndani ama nje ya idara hii kwa makusudi na kwa malengo yao binafsi wanayoyajua wao wanaosababisha kadhia hii iendelee kwa makusudi kabisa. Urasimu huu unakuja...
  17. Nduna shujaa

    Naomba msaada wenu; nina shida ya namba ya ofisi za NIDA zinazopokelewa kwa wakati

    Naomba msaada wenu; nina shida ya namba ya ofisi za NIDA zinazopokelewa kwa wakati Tafadhali wandugu kama kichwa cha habari kilivyoandikwa.
  18. Amina68

    Ninahitaji ID COPY ya NIDA, nina namba tu. Naomba kujuzwa namna ya kupata

    Urgent: ninahitaji id copy ya NIDA,nina namba tu,mwenye kujua namna ya kupata Najua humu kuna watu wa aina mbalimbali,na wenye uwezo tofauti Naomba msaada Amina, arusha Tanzania
  19. Amina68

    Urgent: Ninahitaji ID COPY ya NIDA ,nina namba tu,mwenye kujua namna ya kupata

    Urgent: ninahitaji ID COPY ya NIDA, nina namba tu, mwenye kujua namna ya kupata. Najua humu kuna watu wa aina mbalimbalina wenye uwezo tofauti Naomba msaada Amina, Arusha tz
  20. B

    Vitambulisho vya NIDA ni usumbufu usio na lazima

    Habari za muda huu wanajamvi...... Matumizi ya VITAMBULISHO vya NIDA dhumuni lake lilikuwa zuri ila Sasa limekuwa ni hangs linalo sumbua watu Kila uchao. Mimi nilifanikiwa kupata kitambulisho hiki tangu 2016, lakini kitambulisho hiki kilikuja kikiwa kimekoseaanilifatilia kwakuwa kitambulisho...
Back
Top Bottom