nida

National Identification Authority (NIDA) /Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ni chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania.
  1. Kwanini NIDA wanauliza maswali wakati nahitaji kutumia NIDA number?

    Nimeenda brela kusajiri biashara yangu tabutubu limited, nimetakiwa kujaza form ambayo inanihitaji niweke nida namba na nimeulizwa maswali kibao utadhani namba ya nida nimeiba.. Nimeulizwa kijiji na mtaa nilio andikisha nida.. mimi nimeandikiswa tegeta hata kijiji sikumbuki, mara shule niliyo...
  2. M

    Taarifa zangu za NIDA zinaweza kufikiwa na Chama cha siasa?

    Chama kimoja cha siasa (sina uhakika kama vingine navyo vinafanya hivi) kinaandikisha wanachama kwa kutumia kitambulisho cha NIDA.Je Chama hiki kitakuwa na uwezo wa kufikia taarifa binafsi za mwanachama?Nini faida na hasara zake?
  3. I

    Nawezaje kujua taarifa nilizojaza kwenye fomu kipindi naitafuta namba yangu ya NIDA?

    Hivi nawezaje kujua taarifa nilizo jaza kwenye form kipindi naitafta namba yangu ya NIDA baada ya kupata namba hiyo?
  4. Msaada, nimeingia Ajira Portal inaniambia number ya NIDA ilishatumika

    Habar Wana JamiiForums nimejaribu kuingia ajira portal ili nianze kujisajiri upya ila nakumbuka zaman Sana nilishawahi kuingia hivo sikumbuki email Wala password niliyotumia kipindi hicho imeniambia nambari ya NIDA ilishatumika hapa nitafanyaje wakuu ili kujinasua katika huu mtihani. Soma Pia...
  5. Daniel Sillo: Uhamiaji ongezeni kasi ili watu wapate Vitambulisho vya NIDA

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo amezitaka Idara mbili zilizopo chini ya Wizara yake ambazo ni Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kagera kushirikiana ili kuboresha utendaji kazi. Kauli hiyo ameitoa Wilayani Muleba Mkoani Kagera...
  6. KERO NIDA kuna matatizo ya rushwa na urasimu

    Ni siku tatu zilizopita nimelalamikia nida Kawe na uhuni nilioona. 1. Siku naenda kujiandikisha nilifika saa nne nkaitwa saa tisa kupigwa picha. Unaweza hisi ni makusudi ama wewe pekeyako lakini lundo la watu mnaitwa saa tisa wengine walikata tamaa wakaondoka. 2. Nililalamika ushenzi...
  7. J

    NIDA badilikeni na toeni huduma kwa weledi

    Habari za asubuhi Wanajamvi leo Nina jambo na mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa inashindwa kufanya kazi kwa ufanisi kwa kuweka mkazo mkubwa kwenye mgawanyo wa majukumu kwamba kama una changamoto kuhusu kitambulisho cha taifa unatakiwa uende kwenye mkoa...
  8. Msaada: Ni namna gani naweza pata taarifa zangu za NIDA zilizotumika wakati wa usaili?

    Wakuu amani iwe nanyi. Twende kwenye mada, ni namna gani naweza pata taarifa zote za namba yangu ya NIDA bila kufika NIDA? Kwanini bila kufika NIDA? Nimeona kabisa jamaa ananijaza i.e anasema taarifa zangu za education hazipo kwa mfumo hivyo natakiwa nimtafute nijaze fomu nifanye maombi upya...
  9. NIDA wapewe uhamiaji kwa muda wapo smart sana sijawahi ona taarifa za passport zimekosewa

    NIDA wanachelewesha watu kupata huduma. Wangepewa muda wakujitathimini. Hiyo nafasi wapewe uhamiaji wapo smart sana kwenye kuandaa passport za kusafiria. Sijawahi ona passport imekosewa
  10. A

    KERO NIDA Nachingwea wana huduma mbovu na wanajenga mazingira ya rushwa

    Ofisi za NIDA katika wilaya ya Nachingwea zina matatizo na usumbufu mwingi sana, kuna watu wamepeleka form toka mwaka jana mwezi wa nane lakini cha kushangaza mpaka leo hawajapata namba zao na ukifuatilia wanakuambia kuwa mtandao unasumbua. Kuna wengine wanaambiwa kuwa watoe elfu 50 kupata...
  11. Wanachama wa NHIF sasa wataweza kupata huduma kwa kutumia namba ya Kitambulisho cha Taifa

    "NHIF wameweka tangazo kupitia ukurusa wao wa Instagram kuwa sasa wanachama wa mfuko wa NHIF sasa wanaweza kutumia namba ya Kitambulisho cha Uraia kupata huduma za NHIF vitioni. "Sasa unaweza kutumia namba yako ya Kitambulisho cha Uraia kupata huduma za NHIF vituoni. Hii ni kwa wananchama na...
  12. App gani ya kutoa mkopo, wanatoa kwa namba ya NIDA?

    Habari zenu wakuu, hapa nilipo nina shida na 15k ya haraka. Kuna app nyingi za kutoa mikopo ila kuna sharti naona sijakidhi. Wanataka niwe na kitambulisho cha taifa (NIDA). Bahati mbaya sijakipata mpaka leo. Nina namba pekee. Sasa nimekuja kwenu wakuu, najua wapo wenye issue kama yangu...
  13. Vitu 3 muhimu vya kuwa navyo unapoomba Kitambulisho cha Taifa (NIDA)

    JamiiForums, imezungumza na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Geofrey Tengeneza kufahamu iwapo wameongeza nyaraka za kukabidhi ili kupata Kitambulisho cha Taifa (NIDA) ambaye ameeleza kuwa taarifa hiyo haina ukweli na siyo sahihi. "Hiyo siyo kweli na siyo sahihi...
  14. Anaejua muongozo wa ku renew NIDA iliyo expire msaada tafadhali

    Wale wenzangu wenye zile NIDA zetu za 2014 ambazo mwenda zake alizikataa zimesha anza ku-expire, naomba kujua kama kuna mtu amesha renew, utaratibu upoje? Je naweza kwenda ofisi yoyote ya NIDA au lazima niwe mkoa niliojiandikishia? Na maelezo yoyote ya ziada ni muhimu sana. Asante sana🙏
  15. Tunza kitambulisho chako cha Utaifa (Kitambulisho cha NIDA) hata mtandaoni ili kuepuka usumbufu

    Huduma Nyingi, kupata Tanzania ni Kama Unakwenda Kujikomba. Yaani unaweza kua una Namba ya NIDA, na Kuna Baadhi ya Campuni Binafsi huwa awatambui hizo namba mpaka uwapeleke Copy ya Kitambulisho, Ulienda NIDA Kuomba Copy ya Kitambulisho utapewa Sounds au Wanakwambia haiwezekani. Kitambulisho...
  16. K

    Ni wakati sasa Serikali kutoa huduma za VIP

    Kwa mlolongo wa kutoa huduma kwenye taasisi muhimu za serikali mfano ukienda NIDA kupata kitambulisho unachukua muda mrefu sana mpaka kupata namba ya NIDA na kitambulisho chenyewe unaweza usipate usipojiongeza vizuri. Pia ukienda RITA kupata huduma tabu ipo palepale utazungushwa kwelikweli ila...
  17. H

    Kwanini mtu akibadili majina vyeti vyake na NIDA bado vinabaki na majina ya zamani?

    Mfano unakuta wakati nazaliwa , wazazi Kwa uono wao wakaamua kunipa jina "MATATIZO" MATESO nk , au nilikua mkristu nikasilimu nikataka kwenda na jina la dini husika, au nilikua muislam nikabatizwa nikataka kwenda na jina la biblia Swali langu ni nini shida inayofanya kusiwe na system ya...
  18. CCM waanza kuchukua namba za NIDA za wananchi, Msajiri wa vyama vya siasa ameruhusu hili?

    Kuna mjumbe wa mtaa wangu leo aliniambia CCM inaandikisha kadi za chama na pia inachukua namba za NIDA! Nani ameruhusu zoezi hili?
  19. SoC04 Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)

    Mimi nashauri MAMLAKA YA VITAMBULISHO (NIDA) kuangaliwa upya kwa maslahi mapana ya taifa letu kwa sababu zifuatazo; 1. Endapo kuna makosa yamefanyika wakati wa usajili wa mwananchi hasa makosa ya alama za vidole mfumo wa usajili Una reject application halafu inaonekama hakuna namna ya...
  20. S

    SoC04 Ushauri kwa Serikali juu ya kuongeza na kuboresha huduma za Ofisi za NIDA

    chanzo ni; yotube Hata sasa kwa Nchi ya Tanzania , Huduma ya upatikanaji wa namba za nida au vitambulisho vya nida bado imekuwa changamoto na mfumo huo kusumbua. Ofisi inayohusika na namba za nida utaikuta ipo wilayani tu au mkoani tu , yaani ofisi hizi za nida zinapatikana katika halmashauri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…