Habari. Ni utaratibu upi hufuatwa ili mtu aweze kupata mkopo wa fedha benki kwa kutumia nyumba au kiwanja kama dhamana?
Risk zake zipoje.
Faida na hasara zake je, na kama kuna watu/kikundi/taasisi/mtu aliyefanikiwa kupata pesa ya mkopo benki kwa njia ya dhamana ya nyumba/kiwanja alifanyaje?
Naomba mwongozo jinsi ya kuingia katika mbio za kuwatumikia wananchi wajimbo langu baada yakuona mbunge aliyekuwepo hana alichokifanya,Je ni njia gani za wazi nitumie ili niweze kuingia katika Kinyang'anyiro hicho??
Kwa sina pesa za kuhonga wajumbe mimi nina nia ya dhati ya kutaka kugombea na...
Habari ndugu naomba kufahamu jibu la hili swali ambalo nimekuwa ninajiuliza siku nyingi sana.
Mfano nimesimamishwa barabarani au kutembelewa gafla nyumbani na maafisa ukaguzi na wakatuhumu kwamba labda nimebeba bidhaa haramu,wakaamua kupekua gari/nyumba sasa katika kupekua baadhi ya vitu vikawa...
Jana nimeleta uzi huu
https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-muda-mrefu-sasa-naota-sana-kurudishwa-kurudi-shule-kama-leo-nimeota-nachapwa-parade.2307099/
Samahani kwa kuanzisha nyuzi nyingine, atleast nyie mtakuwa faraja yangu lakini pia fundisho kwa wengine kama nitapata msaada humu.
Kusema...
Jana nimeleta uzi huu
https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-muda-mrefu-sasa-naota-sana-kurudishwa-kurudi-shule-kama-leo-nimeota-nachapwa-parade.2307099/
Samahani kwa kuanzisha nyuzi nyingine, atleast nyie mtakuwa faraja yangu lakini pia fundisho kwa wengine kama nitapata msaada humu.
Kusema...
Wakuu habari zenu.
Baada ya kuwa nje kwa muda kidogo, nilipata bahati yalikizo kurudi nyumbani kwaajili ya sherehe za X-mass na mwaka mpya. Nilirudi nyumbani tarehe 10 mwezi ulioisha nakumbuka. Mambo yalienda poa, nikawa nimepanga nitatembelea jamaa na marafiki baada ya Christmas ili kuwajulia...
NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU!
Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si Kaka wa tumbo moja bali ni mtoto wa Mama Mkubwa ila tunaishi kama ndugu.
Huyu Kaka ana kampuni yake...
Uzi huu nimeweka jukwaa la biashara nategemea michango yenye tija. Tujue kutofautisha biashara na vituo vya kutoa misaada bure, msikiti, kanisa, n.k,
Kuna kaduka nilifungua, kwakuwa utumishi umenibana niliweka msaidizi anisaidie.
Biashara imeshuka lakini kibishi naendelea nayo
nikitoa gharama...
Nifanye Nini, Niliacha Kazi Nikijua Napendwa Kumbe Mimi Ni Mume Wa Mchongo Tu!
Baada ya kumuoa mke wangu, alinishawishi niachane na kazi ili nisaidie kusimamia biashara zake. Nilikuwa nimeajiriwa kwenye kampuni moja ya simu na kipato changu kwa mwezi, mshahara na marupurupu, kilikuwa kama...
Habarini wadau.
Niende moja kwa moja kwenye mada...
Huyu mrembo wangu nimekuwa naye kwa zaidi ya miaka mitatu. Kabla hatujaanza kuishi pamoja alipata kazi mkoa wa mbali kidogo (dar) na hapa ninapoishi mimi (Arusha). Alienda na alifanya kazi hio kwa miezi 9 tu kisha akaachana nayo na kurudi...
Niliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na mambo yalikuwa mazuri. Sikupanga kuoa kwa kipindi hicho, lakini kama unavyojua familia zetu, ukiwa na...
Habari wadau humu JF,naomba kupata ushauri kutoka kwenu kuhusu mwenendo kwa kesi yangu ya traffic ambapo huu ni mwezi sasa toka niambiwe kesi imeisha na msababisha ajali kukutwa na hatia.
Chakushangaza kila nikienda kuchukua documents za hukumu naambiwa mara hazijasainiwa mara hakimu hayupo...
Mim ni mfabiashara ya duka la rejareja naomba msaada wenu maduka yamekua mengi miaka miwili naishia kupata pango pekee hivyo naombeni msaada wenu nyinyi wataalam wa bashara mnisaidie nifanye biashara gani tofauti naduka ili initoe nilipo na kupiga hatua zaidi
ASANTENI SAANA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.