nifanye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Nifanye Nini Ili nizae watoto wazuri ?

    Ni 23 yrs natarajia kuanza kutafuta mtoto lkn nimekuwa Kuna hisia zinanifanya nipate wasiwasi juu ya kiumbe nitakaemleta duniani..swali je can the ugly parents have beautiful babies?..sikuamini Kwa muonekano wangu nimekuwa nikikutania na bulling sana juu ya sura yangu sitamani na atakaezaliwa...
  2. Twinawe

    Nifanye nini ili kurudisha fingerprints za mikono yangu

    Wazee habari za majukumu nina shida ya ngozi ambayo inapelekea fingerprint za mikono yangu kadiri siku zinavyozidi kwenda . Binafsi mi likija suala linalohusisha fingerprint kwangu uwa ni kimbembe psychological uwa inaniumiza sababu ni case inayojirudia mara kwa mara kutokana na life style...
  3. Poppy Hatonn

    Maisha magumu Tanzania. Nimefilisika. Mnashauri nifanye nini?

    Hapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo. Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu. Lakini tokea alipoingia madarakani Mwendazake mpaka leo nasota waya. Naona maisha yanazidi kuwa magumu siku baada...
  4. 6 Pack

    Shemeji yangu naona amevuka mstari mwekundu. Nifanye kweli kutunza heshima ya homie au nimuache ajiendee tu

    Habari zenu wanaJF wenzangu Nina rafiki yangu ambae tumekuwa nae, tumesoma nae na kucheza nae toka utotoni. Homie huyu tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi ya kimaisha, mpaka kupelekea baadhi ya watu wasiotufahamu kuhisi kuwa sisi ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja. Miaka miwili...
  5. B

    Msaada nifanye biashara gani?

    Habari mimi ni muajiriwa wa sekta binafsi na natamani nipate msaada wa wazo la kibiashara litakalonikwamua na kunitoa kwenye kuajiriwa.. Wazo langu nilitamani nifanye house floor plan na kuziuza hizo ramani kwa watu tafadhari mwenyew idea na uelewa wa hii biashara naomba ushauri nitatoka? Na...
  6. L

    Niwekeze kwenye kufuga nguruwe au nifanye biashara ya duka?

    Habari wana JF husika na mada tajwa hapo juu' Mimi ni kijana wa miaka 23 baada ya kupambana na vibarua nimejikusanya mpaka nimepata milioni 7 ambapo nilitoa milioni tatu nikanunua kiwanja milioni moja nikaweka dharura ya kiafya pamoja na kodi za nyumba wakati mapambano yanaendelea hivyo...
  7. Down To Earth

    Nifanye nini ili maombi yangu yajibiwe haraka?

    Hello Jf. Je, kuna watu humu waliwahi kufunga na kuomba kwa siku kadhaa? (3,7 ama mwezi) Je, lengo lenu la kufunga lilitimia? Nataka kufunga kwa siku tano tu kuombea jambo langu flani, nipeni ABC's nini cha kufanya katika kipundi hicho cha kufunga maombi yafanyike ya aina gani
  8. slow_learner

    Mawazo na ushauri wako vitanisaidia.

    Habari zenu wana jamvi! Leo niko hapa ndugu zangu kwa ajili ya kuomba wenu ushauri ya kipi nifanye ili kuweza kukaa vyema kiuchumi. Kisa changu kinaanzia hapa; Tangu nilipoacha masomo yangu ya elimu ya chuo kikuu mambo yalikuwa ni magumu kwa upande wangu. Sikuweza kujua nianzie wapi ili...
  9. N

    Canon IR 2204 inatoa Copy mbaya. Nini kifanyike?

    Mashine yangu aina ya CANON IR 2204 inatoa copy za namna hyo. Nimejaribu kubadili drum, roller na hata blade lakini hali bado ndo hyo mnaiona hapo chini. Nifanye nini wadau? Nakufa njaa mwenzenu. Msaada tafadhali
  10. aBuwash

    Nina milioni 10, biashara gani mnanishauri nifanye maeneo ya Kahama?

    Wana jamii kwanza habari zenu, Mimi ni kijana naombeni ushauri wenu ni fursa zipi za biashara mnanishauri nifanye kwa hapa Kahama, maana mimi ni mgeni. Naombeni miongozo yenu, naamini hamtaniangusha.
  11. U

    Nifanye nini kupata pesa zangu nilizodhurumiwa na huyu kigogo?..

    Habarini ndugu, kuna mwamba namdai pesa about 100m.. jamaa nilimkopesha na tuliandikishana mkataba. Ni muda mrefu miaka 5 sasa. Nilimpeleka police, lakini haikuzaa matunda kwa kuwa jamaa alikuwa na wadhifa fulani ndani ya chama na kaka yake ni mteule wa raisi hivyo nikagonga mwamba.. nikaenda...
  12. M

    Ni maeneo gani ambayo naweza kufanya biashara ya Printing?

    Naombeni msaada wa mawazo. Ni maeneo gani ambayo naweza kufanya biashara ya PRINTING? Katika maeneo niliotaja BANANA KITUNDA AIRPOT GONGOLAMBOTO GOMZ
  13. amate

    Je, nifanye Kilimo au biashara kwa mtaji chini ya milioni 1?

    Habari ndugu jamaa na marafi kutoka JF. Nimejaribu kuwaza kwa sauti hapa, mtu akiwa na mtaji chini ya million moja na yuko mji midogo (Halmashauri) hana shamba. Je, shughuli gani kati ya (kilimo cha mahindi, maharage, etc) na Biashara (ndogo-ndogo) kinaweza kumusaidia kwa haraka kupata hela ya...
  14. S

    Mahakama Kuchelewa/Kushindwa Kufanya Utekelezaji Wa Hukumu, Natakiwa Nifanye Nini?

    Kwema Wakuu? Nilikua naomba usaidizi wenu wa msaada wa mawazo. Ninamdai mtu kama TZS 18mil hivi na nikamfungulia kesi ya madai kwenye Mahakama moja ya mwanzo hapa Dar es Salaam. Bwana yule alikiri kudaiwa na mimi na akahidi kua atakua analipa kidogo kidogo na pesa atakua anakuja kuzilipia...
  15. SPONSA

    Nimekubali huyu binti bikra anazitesa hisia zangu. Nimekubali nimekamatika. Natamani kutoka lakini nashindwa sijui nifanye nini

    Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Dhumuni la kuandika hii thread nikutaka ushauri kwa ambao watakuwa tayari kunipa ushauri nitaupokea. Huyu binti anaezitesa hisia zangu ni bikra na nimethibisha kwakuwa nilishakuwa nae faragha zaidi ya mara moja na nikalithibisha...
  16. J

    Nimeachwa nifanye nini

    2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
  17. M

    Ukweni hawanitaki, wanasema nimempa dawa kijana wao. Nifanye nini?

    Habari wana jf, Mimi ni binti wa miaka 26 na nipo kwenye mahusiano na Tunatarajia ndoa ila Ukweni wanaweka pingamizi sana na sijawahi fanya chochote kibaya na wala sina mazoe na wakwe zangu ila chakushangaza mama mkwe Anamuuliza Kijana wake "Hivi Bado upo na yule mwanamke tu kwani amekupa...
  18. Pleasepast

    Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

    Habarini za usiku wapendwa Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke...
  19. KENZY

    USSD haileti keyboard ya maneno nifanye nini?

    wakuu habari ningependa kujua au kupata ufafanuzi na utatuzi kama inawezekana. USSD imekuwa haileti keyboard ya maneno ni namba tu so siwezi kuandika hata #. Nifanye nini kutatua?
  20. Mganguzi

    USHAURI: Vipimo vya UKIMWI kupitia mdomo vinaonesha mmoja wetu ameathirika, sasa hataki tena kunipa unyumba

    Nampenda sana mke wangu, inshort ni mrembo sana na amejaaliwa kila kitu ambacho mwanaume anakitaka kwa mwanamke na nimezaa naye mtoto mmoja. Miezi mitatu iliyopita tulikuwa katika hali ya kutaniana, mimi nilikuja na vipimo vya HIV vile vya kuweka mdomoni, kuna jamaa yangu ni daktari alinipa...
Back
Top Bottom