Wakuu habari!
Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Humu kuna watu wana experience walishafanya au bado wanafanya itasaidia kwa namna moja au nyingine. Niko na idea mbili tatu sijajua nifanye hipi naomba mnipe msaada wa mawazo kutokana na experience yenu.
Niko na mtaji kidogo wazo langu la...
Kwema Wakuu!
Baada ya kuzifuatilia Siasa za nchi hii Kwa takribani miaka kumi sasa, nachelea kusema mwakani Mungu akipenda nitajiunga na mambo ya Siasa.
Nitafanya Siasa za kuibadilisha nchi hii naam kuikomboa nchi hii pale walipoishia wakombozi wengine.
Nitafanya Siasa za kubadilisha fikra za...
Tafadhali naomba nisaidiwe kwa yoyote mwenye kufahamu,
Kuhusu chakula sio tatizo ninakitabu kinaniongoza namna nzuri ya uchanganyaji chakula cha nguruwe.
Natunguliza shukurani,
Thnx.
Mtu niliyemuamini nikampa nafasi kwenye kazi za kitalii ninayofanya tangu akiwa waiiter mpaka Sasa anataka kunipindua kitengo changu cha u-chief guide ikiwezekana hata kunimaliza kabisa!
Kuniharibia kazi, uchonganishi na mabosi isitoshe Mimi nilimkuta kitaa hana ramani anakunywa banana akaomba...
Hello nifanye biashara gani, lengo langu nipate angalau laki moja kila siku.
Binafsi napenda saloon ya kike lakini sina uhakika kama nitaingiza laki moja kwa siku.
Naomba Ushauri wenu tafadhali.
Maisha ya kila siku Lugalo MATC yakoje? Ni kama sekondari? Maana naona joining instructions kama za sekondari!
Nisaidieni nifaye maamuzi sahihi, sitaki maisha ya kishule shule, ki- sekondari tena.
Mara uniform, mara ufagiio, mara kudeki bweni, mara kengele ya kula, kulala, kuoga etc etc...
Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.
Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya...
Aisee kuna wizi unafanyika kwenye magari. Mafundi wasio waaminifu wanakata exhaust na kuremove unga unga uliopo kwenye exhaust (bomba la moshi). Inasemekana wanauuza huo unga kwa watu wnaorexycle na wanauza kuanzia laki hadi laki tatu kwa kiloSo kuwa makini na mafundi wako.
Catalytic converters...
Habari.
Naombeni ushauri nifanye nini niko nje ya nchi nafanya kazi kiukweli nashindwa kutegemea mshahara kwa sababu unakua na kiwango cha ukomo naona kama unanilimit kufanya mamb yangu na sihitaji kukaa nje muda mrefu nataka kurudi nyumbani within miaka mi2.
Nataka nipate kitu cha kufanya...
Niaje wakuu.. Kuna Hii Biashara ya Vibanda vya Movie naona ina return nzuri asee.. 30K per Day kawaida sana. Nimeipenda kwani ina mtaji mdogo lakini pia ni ngumu kuleta Hasara na pia rahisi kufanya.
Sasa mie nataka niweke Goli hilo liwe la kuuzia Movies, Miziki, vitu kama Flash na accessories...
Habari wakuu,
Naitwa Juma naishi Mwanza umri ni miaka 21, nina taaluma ya ukemia upande wa madini {mineral processing engineer} na elimu yangu ni basic certificate in mineral processing na uwezo wa kukabiliana na udongo wenye changamoto nyingi, pia uwezo wa kusimamia usalama kazini (OSHA...
Habari wakuu
Mimi ni mama wa nyumbani mkazi wa uswahilini huku asilimia kubwa wakazi wa huku wana vipato vya chini.
Sasa mimi nina elfu 50 nataka kufanya huku kwetu naomba mnisaidie ushauri
Ni biashara gani itafaa kutokana na mazingira niliyopo?
Pia soma: Baadhi ya njia unazoweza kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.