nifanye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wazoefu: Nini nifanye ili niweze kupata mkopo benki kwa dhamana ya nyumba/kiwanja?

    Habari. Ni utaratibu upi hufuatwa ili mtu aweze kupata mkopo wa fedha benki kwa kutumia nyumba au kiwanja kama dhamana? Risk zake zipoje. Faida na hasara zake je, na kama kuna watu/kikundi/taasisi/mtu aliyefanikiwa kupata pesa ya mkopo benki kwa njia ya dhamana ya nyumba/kiwanja alifanyaje?
  2. Nifanye nini ili niweze kutimiza ndoto yangu ya kuwa muigizaji?

    Nakuja dar kwa ajili ya kupambania ndoto yangu ya uigizaji, nipeni code na ushauri wenu wadau.
  3. Ni njia zipi hutumika ili mtu agombee ubunge hili nikawatumikie wananchi wangu katika jimbo langu??

    Naomba mwongozo jinsi ya kuingia katika mbio za kuwatumikia wananchi wajimbo langu baada yakuona mbunge aliyekuwepo hana alichokifanya,Je ni njia gani za wazi nitumie ili niweze kuingia katika Kinyang'anyiro hicho?? Kwa sina pesa za kuhonga wajumbe mimi nina nia ya dhati ya kutaka kugombea na...
  4. E

    Nifanye nini ukaguzi ukiharibu mali?

    Habari ndugu naomba kufahamu jibu la hili swali ambalo nimekuwa ninajiuliza siku nyingi sana. Mfano nimesimamishwa barabarani au kutembelewa gafla nyumbani na maafisa ukaguzi na wakatuhumu kwamba labda nimebeba bidhaa haramu,wakaamua kupekua gari/nyumba sasa katika kupekua baadhi ya vitu vikawa...
  5. Nilifanya maombi maalum mara kadhaa, mtumishi hadi kuja kwangu, sadaka za kujimaliza ila bado nateseka mnyororo huu, eeh Mungu nifanye nini sasa?

    Jana nimeleta uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-muda-mrefu-sasa-naota-sana-kurudishwa-kurudi-shule-kama-leo-nimeota-nachapwa-parade.2307099/ Samahani kwa kuanzisha nyuzi nyingine, atleast nyie mtakuwa faraja yangu lakini pia fundisho kwa wengine kama nitapata msaada humu. Kusema...
  6. Nilifanya maombi maalum mara kadhaa, mtumishi hadi kuja kwangu, sadaka za kujimaliza ila bado nateseka mnyororo huu, eeh Mungu nifanye nini sasa?

    Jana nimeleta uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-muda-mrefu-sasa-naota-sana-kurudishwa-kurudi-shule-kama-leo-nimeota-nachapwa-parade.2307099/ Samahani kwa kuanzisha nyuzi nyingine, atleast nyie mtakuwa faraja yangu lakini pia fundisho kwa wengine kama nitapata msaada humu. Kusema...
  7. Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, kipi nifanye kumuepuka?

    Wakuu habari zenu. Baada ya kuwa nje kwa muda kidogo, nilipata bahati yalikizo kurudi nyumbani kwaajili ya sherehe za X-mass na mwaka mpya. Nilirudi nyumbani tarehe 10 mwezi ulioisha nakumbuka. Mambo yalienda poa, nikawa nimepanga nitatembelea jamaa na marafiki baada ya Christmas ili kuwajulia...
  8. Z

    Mambo ambayo sitaki nifanye mwaka huu mpya (baadhi nilihaidi sitafanya ila nikafanya)

    1.punyeto 2.uvivu 3.kutoa bikra 4.mademu chuma ulete 5.stress i will live the way i want 6.pombe 7.kucare watu N.k Sema yako
  9. R

    Nifanye nini!? Namtamani kaka yangu

    NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU! Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si Kaka wa tumbo moja bali ni mtoto wa Mama Mkubwa ila tunaishi kama ndugu. Huyu Kaka ana kampuni yake...
  10. L

    Nifanye je ili ukibali kuwa mpenzi wangu

    Hello jf ladies Nifanye nini ili ukubali kuwa mpenzi wangu
  11. G

    Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani?

    Uzi huu nimeweka jukwaa la biashara nategemea michango yenye tija. Tujue kutofautisha biashara na vituo vya kutoa misaada bure, msikiti, kanisa, n.k, Kuna kaduka nilifungua, kwakuwa utumishi umenibana niliweka msaidizi anisaidie. Biashara imeshuka lakini kibishi naendelea nayo nikitoa gharama...
  12. Nifanye Nini, Niliacha Kazi Nikijua Napendwa Kumbe Mimi Ni Mume Wa Mchongo Tu!

    Nifanye Nini, Niliacha Kazi Nikijua Napendwa Kumbe Mimi Ni Mume Wa Mchongo Tu! Baada ya kumuoa mke wangu, alinishawishi niachane na kazi ili nisaidie kusimamia biashara zake. Nilikuwa nimeajiriwa kwenye kampuni moja ya simu na kipato changu kwa mwezi, mshahara na marupurupu, kilikuwa kama...
  13. Nifanye maamuzi gani kwa huyu mwanamke?

    Habarini wadau. Niende moja kwa moja kwenye mada... Huyu mrembo wangu nimekuwa naye kwa zaidi ya miaka mitatu. Kabla hatujaanza kuishi pamoja alipata kazi mkoa wa mbali kidogo (dar) na hapa ninapoishi mimi (Arusha). Alienda na alifanya kazi hio kwa miezi 9 tu kisha akaachana nayo na kurudi...
  14. T

    Nifanye nini? Ndoa ina miezi 10, mke wangu kabadili dini kaolewa na mwanaume mwingine

    Niliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na mambo yalikuwa mazuri. Sikupanga kuoa kwa kipindi hicho, lakini kama unavyojua familia zetu, ukiwa na...
  15. C

    Nina 65M nifanye biashara gani?

    Wandugu nina 65 M. Naombeni idea ya biashara asante. Ninaishi dar na dodoma muda mwingi.
  16. Nazungushwa mahakamani kuhusu mwenendo kwa kesi yangu ya traffic nifanye nini?

    Habari wadau humu JF,naomba kupata ushauri kutoka kwenu kuhusu mwenendo kwa kesi yangu ya traffic ambapo huu ni mwezi sasa toka niambiwe kesi imeisha na msababisha ajali kukutwa na hatia. Chakushangaza kila nikienda kuchukua documents za hukumu naambiwa mara hazijasainiwa mara hakimu hayupo...
  17. W

    Nifanye biashara gani mbadala na duka?

    Mim ni mfabiashara ya duka la rejareja naomba msaada wenu maduka yamekua mengi miaka miwili naishia kupata pango pekee hivyo naombeni msaada wenu nyinyi wataalam wa bashara mnisaidie nifanye biashara gani tofauti naduka ili initoe nilipo na kupiga hatua zaidi ASANTENI SAANA.
  18. R

    Hapa nitatoboa au nifanye mishe zingine

    😁😁
  19. W

    Nina mtaji wa milioni 10 nifanye biashara gani

    Habari wana jf Nina mtaji wa milioni 10 nifanye biashara gani ambayo inaingiza kipato kizuri kwa siku ambayo haitaniletea hasara?
  20. L

    Nifanye nini ili nizae watoto wazuri?

    Swali can an ugly parents have beautiful babies? Nipeni Siri nimepitia bulling sana kuhusu muonekano wangu so naogopa usije wakuta watoto wangu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…