Takriban watu 35 hawajulikani walipo baada watekaji kuwachukua wageni waalikwa waliokuwa wakirudi kutoka harusini huko kaskazini magharibi mwa Nigeria, mafisa wameliambia shirika la habari la AFP.
Utekaji huo wa idadi kubwa ya watu katika jimbo la Katsina unasemekana ndio mkubwa katika...
Harmonize ametoa wimbo mkali, lakini bado beat na production za Tanzania hazipo kwenye kiwango sahihi na Wala haziendi na wakati, beat ni ya kizamani na production ni low quality.
Harmonize alishindwa Nini kupanda ndege kwenda Kwa producers wa Nigeria amtengenezee kitu kali kama zilivyongoma za...
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Angola wamepewa simu [ Iphone 15 ] na kampuni ya UNITEL hii ni baada ya kufanikiwa kuingia Robo Fainali.
Aidha Angolan Bank pia imetoa dola 6,000
kwa kila mchezaji kwa kufika hatua hii ya Robo Fainali.
Kama haitoshi Angolan bank, imetoa ahadi ya dola $9,600 sawa...
habari wadau.
baada ya muimbaji wa gospel maarufu nchini Nigeria Moses Bliss kumchumbia Binti wa kighana mwenye uraia wa uingereza ambaye amejuana nae kupitia mtandao wa instagram mwaka jana. Limeibuka kundi kubwa la wanawake wa ki nigeria mtandaoni wakimlalamikia muimbaji huyo kwa...
Nigeria ni nchi ya pili kwa uzalishaji mafuta barani nyuma ya Angola, ilianza rasmi uchimbaji mafuta na kuyauza nje kibiashara mwaka 1956, kufikia mwaka 2000 mapato ya mafuta ghafi yalikuwa 98% ya mapato yote Nigeria iliyopata kwa kuuza bidhaa na huduma nje ya nchi.
Pamoja na mafuta ghafi kuwa...
Serikali ya Nigeria imeharibu Tani 2.5 za Meno ya Tembo zenye thamani ya zaidi ya Dola Milioni 11.2 (Tsh. Bilioni 28) ikiwa ni sehemu ya harakati za kulinda idadi ya Tembo inayopungua dhidi ya Walanguzi wa Wanyamapori waliokithiri.
Ndani ya kipindi cha miongo mitatu iliyopita, idadi ya Tembo...
By AFRICA NEWS
Nigeria has announced an expansion of its suspension of degrees accreditation, encompassing additional countries such as Kenya and Uganda.
This decision follows the recent suspension of accreditation for degrees obtained from institutions in Benin and Togo.
During an interview...
Dini ya haki dini ya haki!
Kule Nigeria kula kukichwa wanaua makumi hadi mamia ya Wakristo. Halafu kuna mtu anazungumzia Qhamas.
Kwenye hii dini kuna roho mbaya sana.
https://twitter.com/visegrad24/status/1740517117882155219?t=NxTjtWOQhE8yVkNi4H5WfQ&s=19
Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu.
Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo zaidi ya 100 katika vijiji kadhaa vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria
Mashambulizi yalifanyika kwenye vijiji 20 vya wakristo usiku wa manane kwa kuzichoma nyumba...
Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu.
Katika msimu huu wa Christmas, Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo takribani 113 na kujeruhi 300 katika vijiji 20 vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria
source >>...
Mabaraza ya Maaskofu wa Katoliki huko Nigeria na Ghana pia wamesema hawatatoa baraka zozote kwa wapenzi wa jinsia moja. Kiuhalisia waraka wa Papa Francis umezua taharuki sana, Papa John Paul II na Benedict XVI hawakuwahi kuyumba wala kutoa matakamko ya kuzua taharuki kiasi hiki
Chonde chonde Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania (TEC)! Jitokezeni mapema kutoa ufafanuzi juu ya kauli ya Papa ya kuwaruhusu Mapadre wetu kubariki watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Hiyo kauli yake pamoja na huo waraka wake alioutoa bila shaka mnafahamu ni kwa namna gani...
Makundi yenye silaha yameripotiwa kuua watu zaidi ya 100 katika mfululizo wa mashambulizi yaliyolenga miji ya katikati mwa Nigeria eneo lenye mivutano ya Kidini na Kikabila.
Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Bokkos, Jimbo la Plateau umeeleza mashambulizi hayo yamejeruhi zaidi ya Watu 300 na kuwa...
Serikali imepunguza 50% ya Nauli za Mabasi pamoja na kufuta Nauli za Usafiri wa Treni za Umma kwa lengo la kuwapunguzia Wananchi gharama za Maisha hasa katika Msimu wa Sikukuu za Mwisho wa Mwaka.
Taarifa ya Serikali, imeeleza kuwa Rais Bola Tinubu ameagiza Mabadiliko hayo yaanze leo Desemba 21...
Gharama za kubwa za baadhi ya dawa nchini Nigeria kiwango ambacho kimepanda takribani mara kumi katika miezi michache iliyopita, kimewalazimisha baadhi ya wagonjwa kupunguza dozi au kugeukia tiba asilia.
Maafisa wa sekta ya dawa wamesema kushuka kwa thamani ya Naira baada ya kuondolewa katika...
Mwanamume mmoja raia wa Uingereza na Nigeria amekiri katika mahakama ya Marekani kudanganya na kuiba zaidi ya $6m (£4.7m) katika kipindi cha miaka saba.
Idris Dayo Mustapha, 33, alikuwa sehemu ya wadukuzi waliopenyeza barua pepe na akaunti za udalali za makampuni ya Marekani kati ya 2011 na...
Majambazi wanaodaiwa kutumia Pikipiki huku wakiwa na silaha za moto wamewateka Watu 100 Upande wa Kaskazini Magharibi mwa #Nigeria katika Vijiji vya Jimbo la Zamfara.
Wenyeji wa Vijiji husika wanadai utekaji huo umefanyika kwa Watu walioshindwa kulipa 'kodi' iliyodaiwa na Watekaji hao, ikiwa ni...
Ni Pastor mkubwa wa kanisa kubwa la kilokole kule Nigeria linaitwa Deeper Life, anasifika kwa kuhuburi injili ya utakatifu na kuishi maisha matakatifu.
Mwanzoni kulingana na baadhi ya shuhuda za watu inasemekana yeye ni mtumishi wa kweli wa Mungu, ila siku hizi mbili tatu nimeona picha zake...
Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.