Baada ya USA kuelewana na China na NAFTA (Canada, Mexico, USA), katika negotiation za bilateral trade, Next itakuwa ni EU halafu baada ya hapo ndo wengineo kama South America alafu Africa.
Ndani ya North Africa, Marekani imeshaanza kufanya bilateral trade agreements mpya na Morocco, halafu...
Wapiganaji wa Boko Haram ambao ni watiifu kwa Abubakar Shekau walivamia kambi moja ya kundi hasimu ya kundi linalojiita Dola la Kiislamu la Afrika Magharibi (ISWAP) na kusababisha makabiliano makali ya risasi ambayo yalisababisha vifo vingi
Mapigano makali ya kufyatuliana risasi kati ya makundi...
Serikali ya Marekani chini ya Rais Mtata, Donald Trump imetangaza kuwa iko mbioni kuziongeza nchi nyingine 7 kwenye orodha ya nchi ambazo Wananchi wake watawekewa vikwazo vya kuingia nchini humo (Marekani)
Tanzania imetajwa pamoja na nchi za Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria na...
Kituo cha usalama kilichoko karibu na nyumba ya rais wa zamani wa Nigeria Bw. Goodluck Jonathan katika jimbo la Bayelsa, nchini Nigeria kimeshambuliwa na watu wenye silaha wasiojulikana na askari mmoja ameuawa.
Msaidizi wa Bw. Jonathan anayeshughulikia mambo ya habari amesema watu hao wenye...
Wana bodi, kwenye kufanya utafiti wangu mkubwa nimegundua na kuona kwamba taifa la Nigeria limedominate Karibu mambo mengi sana mfano kwenye muziki Muziki na Wana muziki wa Nigeria ni maarufu sana Africa na duniani kwa ujumla mfano Wizkid, Patoranking, Chidinma, Yemi Alade, Femi Kuti, Davido, Mr...
Mahakama kuu jijini Abuja imetangaza kwamba ukahaba sio uhalifu nchini Nigeria.
Uamuzi huo umejiri katika kesi iliyokuwa inashirikisha wanawake 16 waliokamatwa kwa kufanya ukahaba.
Ni mara ya kwanza kwa mahakama ya Nigeria kuamuru kuhusu uhalali wa biashara hiyo ambayo inazidi kuonekana kuwa...
MY NAME IS BILL GATE, I AM THE RICHEST MAN IN THE WORLD
Tell me one thing you need from me, and i will do it for you
1. M0NEY - 5OOK
2. CAR
3. PHONE
4. VISA
5. SCHOLARSHIP TO STUDY ABROAD
6. PROMOTE YOUR BUSINESS
7. OTHERS SIGNIFY
Use the (SEND MESSAGE) button below and send me a...
The untamed technological ambitions of the young creatives and inventors all across Africa is an attestation of a generation that is hungry to deliver cutting-edge technology to the continent. They brave heavy odds stacked against them to come up with products that are game-changing.
What...
Katika kipindi cha karibuni kumekuwa na trend ya masista du wengi hapa mjini kujipendekeza kwa wanaume wa ki Afrika Wenye asili ya Nigeria. Wengi waki hadaiwa na pesa ndogo ndogo na safari za uarabuni.
swali langu kwa kina Dada WaNigeria mnawafahamu au mnawasikia tu ??.
Binafsi nimekuwa na...
Hebu tafakari hili, unatembea mjini halafu upite karibu na nyumba inayolindwa na simba wala sio mbwa.
Hiyo ndio hali waliokumbana nayo wakazi mjini Lagos, Nigeria baada ya mmiliki wa nyumba moja kuamua kutumia simba kama mlinzi.
Simba huyo wa miaka miwili aliripotiwa kuonekana katika nyumba...
Afrika ni nchi kubwa ambayo kwa uhalisia wake inawatu wanaotumiana sana kwa sababu ya housing "Afrika" lakini ni wagumu kuingiza siasa ya kuboresha maisha kwa sababu ya AIBU (hapa ndipo Pana Go and return ticket"
Hebu check wimbo huu unaweza sema alikuwa namwimbia mwanamke lakini kiuhalisia...
Imeripotiwa kuwepo mvutano wa kimadaraka kati ya Rais Muhammadu Buhari na Makamu wa Rais, ambapo licha ya Rais kwenda Uingereza kwa ziara binafsi ya siku 15, hajakabidhi madaraka kwa msaidizi wake, hivyo kulazimu nyaraka zinazohitaji saini yake kupelekwa Uingereza.
Chanzo: Swahili times
Watu 13 wamefariki dunia kufuatia vurugu za mapigano zilizotokea katika chuo kikuu cha Kogi katika eneo la Ayingba nchini Nigeria.
Kwa mujibu wa habari kutoka katika vyanzo vya nchi hio, mapigano hayo yalitokea baina ya makundi mawili ya wanafunzi, kutokana na vurugu hizo za mapigano zaidi ya...
Polisi nchini Nigeria imewaokoa watu 259 kutoka katika kituo kisichokubalika kisheria kilichopo ndani ya msikiti katika mji wa Ibadan, uliopo katika jimbo la kusini magharibi mwa nchi hiyo la Oyo, vimeripoti vyombo vya habari nchini humo.
Wengi miongoni mwa waliookolewa katika uvamizi wa polisi...
Wanajeshi watatu na mwananchi mmoja wamekamatwa wakishukiwa na tuhuma za utekaji na ujambazi wa kutumia silaha.
Maafisa hao wamekuwa wakitafutwa na polisi kwa muda mrefu kutokana na matukio ya utekaji yaliyokuwa yanatokea Agenebode, Fugar na maeneo mengine nchini humo.
Majina ya watuhumiwa...
🏾
*PRAY FOR AFRICA*
Bill Gates Dirty Tricks in Burkina Faso and Nigeria, by Sussy Vozniak, reporter for Intelicor Press, Vienna.
Paris: Secret documents leaked on the fiasco in Burkina Faso expose troubling information on the undercover activities of the American Multi-Billionaire Bill...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.