Mkuu wa majeshi wa Nigeria Lt Gen Tukur Yusuf Buratai amesema magaidi nchini humo wataendelea kuwepo hata baada ya miaka 20 ijayo.
Maelezo hayo ameyatoa kwenye ukurasa wake wa twitter baada ya kutokwa kwa mauwaji ya watu 43 yanayosemekana yalitekelezwa na Bokoharam. Maoni yake hayo yamekuja...
Wiki chache zilizopita Nigeria ilikumbwa na maandamano ya kupinga ukatili wa jeshi la polisi maarufu kama #EndSARS ambapo Jeshi la Nigeria lilituhumiwa kuua watu.
Bunge la UK Liliazimia kuwawekea vikwazo maafisa kadhaa wa Nigeria, jeshi la polisi na jeshi la ulinzi kwa uvunjifu wa haki za...
Nyota wa Nigeria kwenye mtandao aliyehuduria harusi pamoja na wapenzi wake sita wenye ujauzito akosolewa na umma Gazeti la Daily Mail la Uingereza limesema, nyota wa Nigeria kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram anayejulikana kama " Pretty Mike " amehudhuria sherehe moja ya harusi akiambatana...
Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS.
Simba Fc watapita Nairobi na baadae wata-unga...
Mahakama mjini Lagos Nigeria inatarajia kusikiliza kesi iliyofunguliwa na mwanasheria dhidi ya Benki Kuu ya Nigeria akitaka kuondolewa kwa maandishi ya kiarabu kwenye fedha za nchi hiyo.
Malcolm Omirhobo pia anataka jeshi la Nigeria kuondoa maandishi kutoka kwenye nembo ya jeshi yanayoashiria...
Nakudodoshea hii
Simba Sc wamepewa Plateua United ya Nigeria. Club hii ambayo sio bingwa wa Nigeria; iliteuliwa kuwakilisha nchi kwa sababu ilikuwa inaongoza ligi kabla ya lockdown ya Corona.
Anayeijua zaidi atudondoshee
Mwanasheria Mkuu nchini Nigeria amesema kwamba watu waliowapiga risasi na kuua waandamanaji nchini humo hawajulikani na kwamba huenda watu waliofunika nyuso zao na kuvalia sare za kijeshi ndio waliohusika.
Abubakar Malami amesema kwamba ni mapema sana kusema iwapo polisi walihusika katika tendo...
Raia wa Marekani aliyekuwa ametekwa nyara nchini Niger ameokolewa katika operesheni ya kijeshi iliyotekelezwa na Kkosi Maalum cha Jeshi la Marekani (US Special Force) karibu na mpaka wa Nigeria, vyombo vya usalama nchini Marekani vimethibitisha.
Raia huyo, Philipe Nathan Walton, alitekwa nyara...
Baada ya idadi ya viongozi wa dini wanaounga mkono maandamano Nigeria kuongezeka, Rais wa nchi hiyo ameomba maridhiano.
========
President Muhammadu Buhari has spoken up for the first time since the Lekki toll shooting of the #EndSARS protesters by security operatives on Tuesday.
The...
Mwendesha Mashtaka mkuu wa ICC, Fatou Bensouda anasema wanafuatilia yanayoendelea Nigeria, kwamba kila damu ya raia itahesabiwa
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter Fatou Bensounda amesema "Ofisi yangu imekuwa ikifuatilia kwa karibu matukio mbalimbali yanayoendelea nchini Nigeria pamoja...
Imeandaliwa na Hash Power kwa msaada wa mitandao
Nigeria is bleeding! Nigeria inavuja damu, maelfu ya wananchi wa nchi hiyo wanaandamana kuanzia kwenye mitaa ya Lagos, Port Harcourt, mpaka Abuja na kwingineko!
Jeshi katili la nchi hiyo, linaendelea kuwadhibiti waandamanaji kwa mtutu wa...
Wakuu naomba kujua hivi hili suala la kuomba Nigeria iwekewe vikwazo na nchi za magharibi, linaweza kuleta positive effects zozote kwa wanaijeria au zaidi zitakuwa negative effects tu?
Nimeona Burnaboy anasainisha petition kuhusu hili suala na watu wa uingereza zaidi ya laki moja wameshasaini...
Msanii anayetamba katika soko la Afrika Mashariki anayefahamikwa kwa jina la Harmonize, amehimiza wananchi wafanye maombi kwa Nigeria kutokana na machafuko yanayoendelea hivi sasa. Harmonize ametumia ukurasa wake wa instagram kuwaomba watu wote kuiombea Nigeria.
===
Hatua hiyo imeonekana...
Waandamanaji mjini Lagos waliweka vizuwizi na kufunga barabara katika mji huo mkubwa wa kibiashara
Watu kadhaa walioandamana dhidi ya polisi wakatili wameripotiwa kupigwa risasi na kufa na huku wengine wakiwa wamejeruhiwamjini Lagos, Nigeria.
Walioshuhudia tukio hilo wameiambia BBC kuwa wameona...
Chanzo cha maandamano nchini Nigeria ni kuisukuma serikali ifute kitengo cha usalama cha SARS.
Serikali ya Nigeria iliwasikiliza waandamanaji na ikatangaza kufuta hiyo agency.
Ila naona Wanaijeria bado wanaandamana wanafanya vurugu na jana jeshi limeingilia na kuua baadhi ya waandamanaji...
Baada ya siku kadhaa za maandamano ya kutaka kuvunjwa kwa kilichokuwa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Wizi (Special Anti-Robbery Squad maarufu kama SARS) nchini Nigeria, IGP wa Polisi jana Jumapili ametangaza rasmi kuvunjwa kwa kikosi hiko.
SARS, ambacho kilikuwa kitengo maalumu chini ya jeshi la...
The Nigeria Police Force has dissolved an anti-robbery unit following days of protests against alleged human-rights abuses by some of its officers.
“All officers serving in the unit will be redeployed to other police commands and formations with immediate effect,” the inspector general of...
Nyota wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke (Davido) akiongoza sehemu ya maandamano ya vijana nchini humo kutaka kufutwa kwa Kikosi Maalumu cha Polisi cha Kupambana na Uhalifu (SARS), kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu hasa dhidi ya vijana katika utendaji wake.
Miaka ya 1960 [1960s] na 1970 [1970s], nchi ya Nigeria ilikuwa imeghubikwa na mapinduzi ya kijeshi kwa serikali zilizokuwepo madarakani kwa nyakati hizo.
Moja ya njia zao za kukabiliana na uhalifu kwenye jamii, hususan uhalifu wa mauaji, kulikuwepo na sheria za kunyonga watu waliopatikana na...
Nigeria bans Lufthansa, KLM, Air France, others, as international flights resumes - NewsWireNGR
Nigerian Government has placed ban on Lufthansa, KLM , Air France, amongst other notable international airlines, as the country commences international flights from the 5th of September, after about...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.