Ratiba ya hatua ya awali Car champions League ni Kama ifuatavyo.
Kama Yanga atafanikiwa kusonga mbele basi atakutana na mshindi Kati ya Fasil Kenema ya Ethiopia na Al Hilal ya Sudan katka round ya pili ya mtoano .
Mmoja wa makamanda wa juu kabisa wa kikundi cha ugaidi cha Boko Haram aitwae Amir Adamu Rugu Rugu amejisalimisha siku ya Alhamisi jioni kwa majeshi ya Nigeria.
Rugu Rugu alijisalimisha akiwa na wake zake watatu na watoto katika mji wa Gwoza ndani ya jimbo la Bono ambako ndipo vikosi vya jeshi...
Watu 24 wa familia moja wamefariki dunia baada ya kula chakula kinachohisiwa kuwa na sumu Kaskazini Magharibi mwa Nigeria katika jimbo la Sokoto.
Kamishna wa Afya wa jimbo hilo, Ali Inname amewaambia waandishi wa habari kwamba familia hiyo ilitumia kimakosa kemikali ya mbolea ambayo ilionekana...
August 3, 2021
Abuja, Nigeria
The U.S Mission to Nigeria has stated that the 4,000, 080 Moderna vaccines doses donated to Nigeria was part of President Joe Biden’s commitment to combat the global COVID-19 pandemic.
Ms Kathleen FitzGibbon, Deputy Chief of Mission, US Embassy, said this at the...
Raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu kwa jina la Hashpuppi amekiri makosa ya utakatishaji fedha katika mahakama nchini Marekani.
Hashpuppi, aliyejipatia umaarufu kwa maisha yake ya anasa mitandaoni, ambapo ana wafuazi zaidi ya milioni 2.5 katika mtandao wa Instagram, amekiri makosa ya utapeli...
Kiongozi wa anayepigania kujitenga kwa kabila la Yoruba Sunday Adeyemo, al maarufu kama Sunday Igboho, amekamatwa katika nchi jirani yaBenin, wiki kadhaa baada ya kutangazwa kuwa anasakwa kwa madai ya kukusanya silaha.
Bw Igboho alikamatwa na vikosi vya uslama katika uwanja wa ndege wa mji mkuu...
Serikali za Nigeria na Ujerumani zimekubaliana muda wa mwisho wa kurejesha vinyago vya kuchingwa vilivyoibiwa kutoka nchini Nigeria.
Waziri wa habari na utamaduni wa Nigeria ameyasema hayo katika mkutano wa waandishi wa habari mjini Lagos, uliolenga kuwafahamisha Wanigeria ni wapi zipofikia...
Meja Jenerali Hassan Ahmed
Watu wasiojulikana nchini Nigeria wamempiga risasi na kumuua mmoja wa vigogo wa jeshi la nchi hiyo, Meja Jenerali Hassan Ahmed.
Meja Jenerali Ahmed aliuawa usiku wa Alhamisi nje kidogo ya Abuja wakati gari lake liliposhambuliwa kwa risasi, akitokea jijini Lokoja...
Polisi imesema Watu walio na silaha wamevamia Hospitali Kaskazini Magharibi mwa Nigeria na kuwachukua mateka angalau watu nane. Ripoti kadhaa zimedai idadi inaweza kuwa kubwa zaidi na miongoni mwao ni Manesi na Watoto.
Imeelezwa, kulikuwa na shambulio la risasi katika Kituo cha Polisi na wakati...
Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limetoa ripoti inayoangazia madhara ya mapigano katika eneo la Kaskazini mwa Nigeria, likikadiria kuwa athari za mgogoro huo ni kubwa mara 10 zaidi ya makadirio ya athari yaliyotolewa awali.
Awali, Shirika hilo lilikadiria kuwa takriban watu...
Kwa wale mliiona ile post ya Diamond kipande cha wimbo wake mpya na Wizkid akapost emoji ya kucheka mkae mkijua tu huko Nigeria jamaa washamchukulia ni kilaza anayegeza hits za huko na ku twist kidogo kisha kuwaletea Watanzania
Rais Muhammadu Buhari amekiri kushindwa kumaliza hali tete ya usalama Nchini humo, ahadi ambayo alitoa alipochaguliwa mwaka 2015.
Kauli yake imekuja wakati baadhi ya Wananchi wakiandamana kuhusu Usalama Nchini Nigeria. Kundi la Boko Haram limezidisha matukio ya ghasia miezi ya hivi karibuni...
Serikali imesema Kampuni za Mitandao ya Kijamii zinazotaka kuwepo Nchini humo zitalazimika kusajiliwa kama Kampuni ndani ya #Nigeria na kupata Leseni.
Imeelezwa, baadhi ya kampuni tayari zimepewa Notisi na haijaelezwa ni lini zoezi la usajili na upataji leseni litamalizika. Serikali imesema...
Mamlaka ya Utangazaji imeshauri Runinga na Redio kutotumia Mtandao wa Kijamii wa #Twitter kama chanzo cha taarifa zao, huku ikiwataka wafunge akaunti zao
Mamlaka hiyo imesema haitokuwa uzalendo kwa Watangazaji wa #Nigeria kuendelea kutumia Mtandao huo. Twitter imesema itafanyia kazi kurejesha...
Mwanasheria Mkuu wa Nigeria, Jenerali Abubakar Malami ameagiza kufunguliwa mashtaka mara moja kwa watu wote watakaokaidi agizo la serikali la kufungia mtandao wa kijamii wa Twitter.
Mapema jana, makampuni ya simu nchini humo yalisema kuwa yametii agizo la serikali la kufungia mtandao huo wa...
Mhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu kama TB Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57
Amefariki saa chache baada ya kumaliza Huduma ya kichungaji katika Kanisa lake Jijini Lagos
Ni mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN)...
Serikali ya Nigeria imefungia kwa muda usiojulikana huduma za Mtandao wa Kijamii wa Twitter kwa madai ya Mtandao huo kutumika kuhatarisha uthabiti wa taifa hilo.
Tangazo rasmi la kufungiwa kwa mtandao huo limetolewa siku ya Ijumaa na Waziri wa Habari na Utamaduni, Alhaji Lai Mohammed kupitia...
Kwa takriban wiki mbili, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamekuwa wakikusanya mapendekezo ya kubadili Katiba ambapo mmoja wa raia amependekeza kubadili jina la Nchi hiyo kuwa United African Republic (Jamhuri ya Muungano Afrika).
Jina Nigeria lilipendekezwa mwishoni mwa karne ya 19 na Mwandishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.