nigeria

  1. Roving Journalist

    Nigeria: Army chief dies in air force plane crash

    Eleven crew and officers aboard a Nigerian military plane were killed Friday when it crashed in northwestern Kaduna state, according to media reports. The dead included army chief Lieut. Gen. Ibrahim Attahiru. The air force said in a statement that its plane crashed near Kaduna airport and...
  2. U

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Akutana na Rais Mstaafu wa Nigeria, Olesegun Obasanjo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amekutana leo na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Oluseguni Obasanjo. Taarifa zaidi kutolewa ======== Rais wa Jamhuri ya Muungano leo Mei 3, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria...
  3. Miss Zomboko

    Nigeria yapiga marufuku wasafiri kutoka India, Brazil na Uturuki

    Kamati ya rais ya kupambana na janga la Covid-19 nchini Nigeria, imesema taifa hilo litapiga marufuku wasafiri wanaokuja kutoka India, Brazil na Uturuki, kutokana na kuenea pakubwa kwa virusi vya corona katika mataifa hayo. Taarifa ya mwenyekiti wa kamati hiyo Boss Mustapha, imesema watu walio...
  4. Z

    Harmonize ameenda Nigeria leo kukamilisha album yake. Wizkid na Burnaboy ni miongoni mwa wasanii walioshirikishwa humo

    Star wa Bongo Fleva anaetrend na attitude leo kaenda Nigeria kukamilisha shooting ya video ya nyimbo 2 alizoimba na Burnaboy na Wizkid. Safari ya International ndio kwanza imeanza. Tukae mkao wa kula.
  5. Analogia Malenga

    Watu waliokuwa kwenye pikipiki waua watu zaidi ya 50 Nigeria

    Taarifa kutoka kaskazini magharibi mwa Nigeria zinasema kuwa majambazi waliokuwa wakiendesha pikipiki wamewauwa zaidi ya watu hamsini katika msururu wa uvamizi uliodumu kwa saa kadhaa katika vijiji vya mbali. Wakazi wa Magami waliiambia BBC kwamba watu wenye silaha kwanza walishambulia kijiji...
  6. Shadow7

    Nigeria: Watu nane wakamatwa na Polisi kwa kosa la kula mchana mwezi wa Ramadhani

    Watu wanane wamekamatwa na polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini mwa Nigeria Kano kwa madai ya kukataa kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Polisi wa Hisbah wanasimamia sheria za Kiislam huko Kano – moja ya majimbo 12 ya Waislamu kaskazini mwa Nigeria wanaotumia mfumo wa sheria wa...
  7. Shadow7

    Utapeli wazidi Nigeria, wenye magari wauziwa maji badala ya mafuta sheli

    Nawasalimu members wote, Video ya kituo kimoja cha Mafuta cha Fatgbems nchini Nigeria imesambazwa sana katika mitandao ya kijamii kwa kuuza maji badala ya Mafuta ya petroli kwa wateja wake, kulingana na BBC Pidgin. Video hiyo ilisambaa baada ya baadhi ya wateja kujitokeza na kuanza...
  8. Analogia Malenga

    Wanamgambo waua wanajeshi 30 Nigeria

    Wanamgambo wenye msimamo mkali wameuwa wanajeshi 30 wa serekali katika mfululizo wa mapigano kaskazini mashariki mwa Nigeria toka Jumatano, kwa mujibu vyanzo vya kijeshi na raia. Shirika la habari la Reuters linaeleza kwamba usalama kote Nigeria, umezorota katika miezi ya hivi karibuni...
  9. Miss Zomboko

    Nigeria: Rais atoa ruhusa kwa Wanajeshi kuwapiga risasi Watu wote watakaoonekana na bunduki ya AK-47

    Wanajeshi wa Nigeria wamepata ruhusa ya kuwapiga risasi bila kuhitaji kibali, watu wote watakaoonekana wakiwa na bunduki aina ya AK-47, kufuatia agizo la rais Muhammadu Buhari. Amri hii imetolewa kufuatia kuzorota kwa hali ya usalama, baada ya visa vitatu vya utekaji nyara kati ya Desemba na...
  10. Analogia Malenga

    #COVID19 Rais wa Nigeria na Makamu wake wapatiwa chanjo ya Covid 19

    Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na makamu wake Yemi Osibanjo wamekuwa watu wa kwanza kupatiwa chanjo ikiwa ni njia ya kuwahakikishia wananchi kuwa chanjo ndiyo kinga muafaka dhidi ya virusi vya corona. Nigeria wiki iliyopita ilipokea chanjo ya Covid 19 ikiwa ni mwanzoni mwa awamu ya pili ya...
  11. Shadida Salum

    Afcon U-17: Serengeti boys kukipiga dhidi ya Nigeria

    Timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys inatarajiwa kusafiri kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya fainali za AFCON U-17 Serengeti Boys inayoiwakilisha Tanzania, katika mchezo wa kwanza itakipiga dhidi ya Nigeria siku ya tarehe 14 mwezi huu Tanzania ipo Kundi B pamoja na timu...
  12. M

    Watekaji Nigeria wamewaachia haraka wanafunzi kwasababu wote ni wa Dini yao

    Watekaji magaidi ambao wengi wao ni Fulani waliowateka wasichana wanafunzi katika shule ya boarding kaskazini mwa Nigeria wamewaachia huru wanafunzi wote haraka sana bila hata kuwadhuru wala kuwadhalilisha. Kilichowasaidia awa mabinti wote walikuwa Waislamu. Pia miezi michache iliyopita hawa...
  13. Tz boy 4tino

    Tanzania artists only second to Nigeria in the number of streams online.

    Classification of sub-Saharan African countries taking into account the number of YOUTUBE channels of the 3 most popular YOUTUBE Channels.
  14. H

    Mr flavour wa Nigeria aomba media za Nigeria zimpe heshima inayostahili Diamond Platnumz

    Msanii mkubwa kutoka Nigeria Mr Flavour amefunga mengi wakati anahojiwa na moja ya media kubwa ya Nigeria hapo Jana. Mr flavour amevilaumu vyombo vya vingi vya Nigeria kutosapoti vyakutosha sana miziki ya nje japo kuwa yeye pia ni mnigeria. Akatolea mfano Ngoma ya diamond "Waah" imeweka record...
  15. TODAYS

    Msanii wa Nigeria Burna Boy amejumuishwa katika orodha ya wanamuziki ambao album yake itakayochezwa wakati wa sherehe ya kuapishwa kwa Joe Biden

    Kwanza unaweza kufikilia inakuwaje asichukuliwe mwanamuziki wa Marekani au mataifa mengine yaliyoendelea, pili ni kiasi gani cha pesa analipwa mwanamuziki huyo kutoka Afrika ya kaskazini? Lakini ni kwamba orodha ya nyimbo zipatazo 46 zimeandaliwa katika sherehe ya kuapishwa kwa Biden, taarifa...
  16. ommytk

    Hivi mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania ana uhusiano familia ya Dangote Nigeria

    Wanajf habari wakuu naomba tu kujua mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania je ana uhusiano wowote na tajiri billionaire kutoka Nigeria aliko dangote?
  17. N

    Baada ya Chikwende Junior Lokosa wa Nigeria ajiunga simba

    Baada ya kumsajili attacking midfielder Chikwende kutoka zimbabwe simba wamemsajili mshambuliaji wa zamani wa team ya taifa ya nigeria super eagles na team ya esperance de tunis aitwaye Junior lokosa
  18. babu M

    Nigeria celebrity Bobrisky amefunguka kuhusu jinsia yake!!

  19. Webabu

    Wenye pikipiki wateka mamia Nigeria

    Leo tena tumepata kali ya kufungia mwaka huko Katsina jimbo alilozaliwa raisi wa sasa wa Nigaria mheshimiwa Muhammad Buhari ambaye kwa sasa yuko mapumzikoni jimboni kwao. Inadaiwa watu waliopanda piki piki waliivamia shule ya mchepua wa Sayansi na kufyatua bunduki hewani halafu wakaondoka na...
  20. J

    Je, ni Uzalendo mashabiki wa Yanga kwenda kuwapokea washindani wa Simba kutoka Nigeria pale JNIA?

    Kupitia runinga ya ITV wameonekana mashabiki wa Yanga wakiwapokea timu pinzani na Simba kutoka Nigeria katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere. Nauliza tu kwenu wanasiasa kitendo hiki kilichofanywa na mashabiki wa Yanga kina chembe ya uzalendo? Maendeleo hayana vyama!
Back
Top Bottom