Safari za ndege ndani ya Nigeria zilirejelewa
Nigeria imepiga marufuku mashirika ya ndege kutokanchi kadhaa kuhudumu nchini humo kuanzia Jumamosi hii.
Mashirika kumi ya ndege yamezuiliwa kuhudumu- Ikiwemo Air France, KLM kutoka Uholanzi, Lufthansa kutoka Ujerumani, na Etihad Airways ya Milki za...
Mkuu wa kitengo cha usafirishaji wa anga ( Nigeria Civil Aviation Authority) wa nchini humo ametoa tamko rasmi kuwa nchi yake itafungua anga yake kwa safari za kimataifa. Bw Sani Aliyu amesisitiza miongoni mwa masharti ya ufunguzi ya anga lao ni kuruhusu ndege kutoka mataifa yanayoruhusu raia...
Wengi wanapenda kulaumu "Waarabu" au "Wazungu" waliowatendea Waafrika vibaya kwenye siku za utumwa. Si wengi wanaozingatia haikuwa kawaida kwa hao wageni "kuwinda" watu (ingawa ilitokea hapo na pale), na biashara ya kawaida ilikuwa Waafrika kuwauza wenzao kwa hao wageni.
Bila mahitaji ya soko...
Hey wakuu!
Hii topic nilitaka nibandike kule jukwaa la kilimo ila nikaona Ohlaah sisi twapenda biashara zaidi kuliko kilimo.
Ushasikia kilimo cha konokono snail farming, kwa naija wanapractice hichi kilimo na walaji wapo either kimatumizi ya chakula (edible) or kimatumizi ya mafuta soften body...
Hey wakuu!
Hii topic nilitaka nibandike kule jukwaa la kilimo ila nikaona Ohlaah sisi twapenda biashara zaidi kuliko kilimo.
Ushasikia kilimo cha konokono snail farming, kwa naija wanapractice hichi kilimo na walaji wapo either kimatumizi ya chakula (edible) or kimatumizi ya mafuta soften body...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu watanzania eti;
Were there xenophobic attacks against black foreigners or there was diplomatic/political standoff between SOUTH...
Wanasema Nigeria vituko na matukio yasiyo ya kawaida ni vitu ambavyo sio vipya na vinatokea mara kwa mara
Mkurugenzi wa taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa bwana Ibrahim Magu amekamatwa kwa rushwa
Bwana Magu amekua mkuu wa taasisi hiyo toka mwaka 2015
Nigeria’s anti-corruption boss...
Kwa wale ambao ni wafutiliaje wazuri wa mtandao wa Instagram, Jina la Hush Puppy lazma litakuwa sio jina geni kwako. Hush Puppy kijana wa ki Nigeria mwenye mbwembwe nyingi, Hush kijana ambae amejijengea umaarufu mkubwa sana kutokana na maisha yake ya kifahari na uhusiano wake wa karibu na watu...
Wanajesho 20 na wananchi 40 wameuawa na wengine wengi wakijeruhiwa na wapiganaji wa Islamic State West Africa Province, ISWAP katika jimbo la Borno
Wapiganaji hao pia wamechoma Ofisi za Umoja wa Mataifa, UN, na walichoma kituo cha pilisi.Wapiganaji hao waligawa barua zenye ujumbe wa kuwaonya...
"Kuna sababu za msingi ambazo zilinifanya nichague kuichezea timu ya Taifa ya England badala ya Nigeria, sababu ya kwanza ni wazi Nigeria haina nafasi kwenye michuano ya Kombe la Dunia wakati England ina nafasi kubwa ya kushinda Kombe la Dunia.
Sababu ya pili ni kwamba siwezi kuimba wimbo wa...
- Mwanafunzi huyo alikuwa anajisomea ndani ya kanisa la Redeemed Christian Church of God (RCCG) wakati wa tukio hilo
- Familia yake ilipokea simu kutoka mama mmoja wa kanisa hilo
- Uwavera alikimbizwa hospitalini baada ya mlinzi kumpata sketi yake ikiwa imechanika na blauzi yake ikiwa imelowa...
Madagascar sends coronavirus cure, 'COVID Organics' to Nigeria
Madagascar's breakthrough on coronavirus, 'COVID Organics' is expected to land in Nigeria soon. The drug is for the prevention and cure of the disease, according to a news report by Daily Post.
The consignment coming to Nigeria has...
MAMLAKA ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya jana tarehe 15 April 2020, imefanikiwa kumkamata kigogo wa dawa za kulevya raia wa Nigeria Kanayo David Chukwu (39) mkazi wa Masaki jijini Dar es Salaam.
Pia inawashikilia raia wawili wa Tanzania Alistair Amon Mbele(38) ambaye ni mkutubi wa...
Nigeria confirmed its first fatality from coronavirus, the Nigeria Centre for Disease Control said in a tweet on Monday.
The patient was a 67-year-old man who returned following a medical procedure in the United Kingdom with underlying medical conditions including multiple myeloma and diabetes...
The conditions in many African prisons are harsh and difficult for inmates, comparatively speaking, prisons in Africa are among the worst in the world. Here are the 7 worst prisons in Africa:
7. Black Beach Prison, Equatorial Guinea
This prison is synonymous with guard brutality, malnutrition...
Nimeamini mapenzi yanayoanzia kwenye muziki yananoga Sana na hasa ukiukumbuka wimbo maalumu wa enzi ya mapenzi yenu.
Mimi mapenzi na mke wangu yalianzia kwenye wimbo wa ASHAWO CONSERT Abuja Nigeria Mr flavor.
Sawasawa sawaleeee x 2
Ausha x 4 popopoooo
Acha kabisaaaaa hapo nikiwa boya tu...
Mamlaka ya Afya ya Nigeria (Federal Ministry of health) imetangaza kugundulika kwa mgonjwa wa kwanza wa COVID-19, waziri wa afya amesema mgonjwa huyo ni raia wa Italia anayefanya kazi Lagos na siku za karibuni alirejea kutoka Milan (Italy), kwasasa mgonjwa huyo yupo katika uangalizi wa...
Kituo Kudhibiti Magonjwa ya Kuambukiza nchini Nigeria (NCDC) kimetangaza habari ya kufariki dunia watu 41 kutokana na kuzuka wimbi jipya la homa ya Lassa nchini humo.
Katika taarifa yake ya jana Jumatano, kituo hicho kimesema kuwa, maambukizi ya homa ya Lassa ambayo huzuka nchini Nigeria kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.