nigeria

  1. Lady Whistledown

    Serikali ya Nigeria yaharamisha malipo ya fidia kwa watekaji nyara

    Bunge la Seneti la Nigeria limepitisha mswada wa kifungo cha miaka 15 jela kwa kulipa fidia ili kumwachilia huru mtu ambaye ametekwa nyara, na adhabu ya kifo kwa uhalifu wa utekaji nyara ambapo mwathirika hufariki Muswada huo, ambao unarekebisha sheria ya ugaidi ya Nigeria, unaamuru hukumu ya...
  2. beth

    Nigeria: Mlipuko kwenye kiwanda haramu waua watu zaidi ya 100

    Vyombo vya Habari Nchini Nigeria vimeripoti kuwa zaidi ya watu 100 wamefariki dunia baada ya kuteketea kwa moto kufuatia mlipuko katika Kiwanda kinachochakata Mafuta kinyume na Sheria Eneo la Kusini mwa Nigeria linaripotiwa kuwa na kiasi kikubwa cha Biashara haramu za Mafuta ikielezwa licha ya...
  3. TODAYS

    Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

    Kwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha. Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili...
  4. Mutaitina

    Nigeria versus East Africa

    Okay you'll have seen that tweet from Nigeria about Zanzibar chiq who almost got raped. I was on her side until them Nigerians started tweeting nonsense about Swahili, Kenya and Tanzania!
  5. JanguKamaJangu

    TANZIA Nigeria: Sis Osinachi Nwachukwu aliyeshirikishwa wimbo wa ‘Ekwueme’ afariki dunia

    Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili kutoka Nigeria aitwaye Sis Osinachi Nwachukwu maarufu kwa wimbo wake “Ekwueme” amefariki dunia. Osinachi alishirikishwa na Prospa Ochimana katika wimbo huo, amefikwa na mauti jioni ya Aprili 8, 2022, hii baada ya kupambana na ugonjwa usiojulikana kwa takriban...
  6. JanguKamaJangu

    VAR yaibiwa Nigeria baada ya mechi ya kufuzu World Cup 2022

    Imeripotiwa kuwa mashine maalum ya VAR (Video Assistant Referee) iliyokuwa imewekwa Abuja Nigeria kwa ajili ya kusaidia waamuzi wa mchezo wa play off wa kufuzu Kombe la Dunia 2022 kati ya wenyeji Nigeria dhidi ya Ghana imeibiwa uwanjani hapo. Mchezo huo ulimalizika kwa sare bao 1-1 ambapo faida...
  7. Lady Whistledown

    Uchambuzi: Vikwazo vya Urusi vinaweza kuchochea mauzo ya silaha za China kwa Nigeria

    Vikwazo vya Magharibi kwa Urusi na Belarus vinaweza kusukuma Nigeria kuagiza silaha za China zinazoweza kufikiwa zaidi na za bei nafuu Uvamizi wa Februari 24 wa Ukraini uliofanywa na Urusi umevuruga uhusiano wa kisiasa wa kijiografia na kibiashara kote ulimwenguni, kutoka kwa maswala ya kununua...
  8. BigTall

    Ghana, Senegal zafuzu World Cup 2022; Misri na Nigeria zatupwa nje

    GHANA YAFUZU WORLD CUP 2022 Timu ya taifa ya Ghana imefanikiwa kufuzu kwenda kucheza World Cup 2022 licha ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi Nigeria katika kipute kilichopigwa Nchini Nigeria. Katika mchezo wa kwanza timu hizo zilitoka suluhu ya 0-0, kwa matokeo ya 1-1, hivyo Ghana imepata faida...
  9. YEHODAYA

    The Embassy of Ukraine in Nigeria says Nigerians who are willing to travel to Ukraine to fight Russian forces must be willing to provide $1,000

    The Embassy of Ukraine in Nigeria says Nigerians who are willing to travel to Ukraine to fight Russian forces must be willing to provide $1,000 for ticket and visa. The embassy stated this when scores of Nigerian men converged on its premises in Abuja on Thursday to express their readiness to...
  10. JanguKamaJangu

    Nigeria: Baada ya miezi 3 abaini 'house girl' ni mwanaume

    Mwanamke mmoja raia wa Nigeria, amezua taharuki mitandaoni kwa kusimulia yaliyomkuta baada ya kubaini kuwa mtu aliyemwajiri kama mfanyakazi wa ndani mwanamke 'house girl' sio wa jinsia ya kike bali ni mwanaume. Mwanamke huyo amebaini kuwa huyo si mwanamke baada ya kumfanyia kazi kwa takribani...
  11. John Haramba

    Nigeria: Mahakama yaridhia uamuzi wa Polisi aliyepata ujauzito nje ya ndoa kufutwa kazi

    Mahakama Kuu Nchini Nigeria imedumisha uamuzi wa kikosi cha Polisi kumfuta kazi afisa wa polisi wa kike ambaye alipata ujauzito nje ya ndoa mwaka jana. Jaji Inyang Ekwo amesema hakuona sababu ya kutosha kuvuruga nidhamu ya jeshi. Kesi hiyo iliwasilishwa Mahakamanina Chama cha Wanasheria wa...
  12. Analogia Malenga

    Shambulizi la jeshi la Nigeria lawaua watoto 7 Niger

    Watoto saba wamekufa na wengine watano kujeruhiwa katika shambulizi la angani nchini Niger hii ikiwa ni kulingana na gavana wa jimbo moja nchini humo Shambulizi hilo lililofanywa na vikosi vya Nigeria katika eneo la mpakani lilikuwa likiwalenga majambazi lakini badala yake liliwaua na...
  13. John Haramba

    Mwanariadha wa kike kutoka Nigeria afungiwa miaka 10

    Mkimbiaji wa mbio fupi wa Nigeria, Blessing Okagbare amefungiwa kushiriki mashindano ya riadha kwa miaka 10 kwa kukiuka taratibu za kuzuia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu michezoni. Kikosi cha kusimamia uaminifu kwa wakiambiaji (AIU) kimesema mwanariadha huyo mwenye miaka 33 amefungiwa kwa...
  14. Analogia Malenga

    Vijana wamshinikiza bilionea Aliko Dangote kuwania urais Nigeria

    Kundi la vijana nchini Nigeria, chini ya mwamvuli wa Bunge la Vijana wa Kaskazini, limetoa wito kwa mfanyabishara tajiri zaidi Afrika Aliko Dangote, viongozi wengine wa wafanyabiashara na wataalamu kuingilia kati uchaguzi wa rais wa 2023. Vijana hao wanasema kuwa uzoefu wao itasaidia kuleta...
  15. Singasinga

    Nawezaje kupokea pesa toka Nigeria?

    Habari wakuu Kuna mteja yuko nigeria Nawezaje kupokea pesa kwa njia nafuu toka huko hadi hapa Tanzania?
  16. sky soldier

    Sio kwamba muziki wetu uko juu bali gharama nafuu za data zilitubeba, Afrika Kusini ndiye mrithi mpya wa nafasi ya Tanzania kushindana na Nigeria

    Kwa sasa amapiano inapewa sana promo hapa Bongo na mbaya zaidi hata hao wanaimba amapiano hawaitwi Afrika Kusini ama kutrend vilivyo huko bondeni. Hapo zamani mpinzani mkuu wa Nigeria alikuwa Tanzania lakini hii ilikuwa kwajili ya silaha yetu ya bei rahisi ya data, kwa sasa mambo yamebadilika...
  17. beth

    Nigeria: Magenge ya uhalifu kutambulika kama makundi ya kigaidi

    Serikali itayatambua Magenge ya Kihalifu ambayo yamekuwa yakihusishwa na utekaji nyara wa Wanafunzi kama Makundi ya Kigaidi, hatua inayotazamiwa kuimarisha Hali ya Usalama Ghasia zimekuwa zinaongezeka Nchini humo na kuweka shinikizo kwa Serikali ambayo tayari imekuwa ikipambana na Boko Haram...
  18. L

    #COVID19 Nigeria yateketeza chanjo ya COVID-19 iliyokwisha muda wake

    Hivi karibuni, Nigeria iliteketeza dozi milioni 1.06 za chanjo ya COVID-19 ya AstraZeneca iliyokwisha muda wake. Wakati virusi vipya vya Corona Omicron vinaenea haraka duniani kote, jambo hilo lililotokea katika nchi ya Afrika, ambako kuna uhaba mkubwa wa chanjo na idadi ndogo ya watu waliopata...
  19. Sky Eclat

    How Lord Lugard’s girlfriend gave Nigeria her name

    HOW LORD LUGARD’S GIRLFRIEND GAVE NIGERIA HER NAME Not many people know that the name, NIGERIA, came from the girl friend of our colonial Master, Governor-General, Lord Legend in those good old days before we got independence. It was Flora Shaw who gave Nigeria its name. She suggested it to the...
  20. Sky Eclat

    Ana women Riots 1929 in Nigeria opposed British Colonial Administration

    ABA WOMEN RIOT 1929 The “riots” or the war, led by women in the provinces of Calabar and Owerri in southeastern Nigeria in November and December of 1929, became known as the “Aba Women’s Riots of 1929” in British colonial history, or as the “Women’s War” in Igbo history. Thousands of Igbo women...
Back
Top Bottom