nigeria

  1. Lady Whistledown

    Muigizaji Nchini Nigeria ahukumiwa Miaka 16 jela kwa kumnyanyasa mtoto kingono

    Muigizaji wa Nigeria, Olanrewaju Ominyika (49), maarufu kama ‘Baba Ijesha’ amepatikana na hatia ya kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 14 kati ya mwaka 2013 na 2014 Mnamo Mwaka jana, Omiyinka alikiri mahakamani kumlawiti mwathiriwa, lakini akasema ni katika muktadha wa nafasi aliyokuwa akiigiza...
  2. Analogia Malenga

    15 wafariki kwa ajali ya boti Nigeria

    Idadi ya waliofariki katika ajali ya boti katika mji wa biashara wa Nigeria Lagos imeongezeka na kufikia 15 huku miili zaidi ikiopolewa, maafisa wa dharura wamesema Jumapili. “Kulikuwa abiria 16 ndani ya boti wakati ajali ilipotokea Ijumaa usiku,” Ibrahim Farinloye wa idara ya kitaifa ya...
  3. Lady Whistledown

    Msafara wa Rais wa Nigeria wavamiwa na watu wenye bunduki, wawili wajeruhiwa

    Watu wenye silaha wameshambulia msafara timu ya wa walinzi na maafisa wa itifaki wa vyombo vya habari wa Rais Muhammadu Buhari mjini Katsina, na kuwajeruhi watu wawili kabla ya kudhibitiwa na jeshi. Msemaji wa Rais, Garba Shehu amesema kuwa Msafara huo ulikuwa umetangulia safari ya Rais Buhari...
  4. MSAGA SUMU

    Miss Nigeria 1957 akionesha zawadi yake ya mshindi wa kwanza

  5. JanguKamaJangu

    Nigeria: Ashikiliwa kwa utapeli, awadanganya waumini wakavunja misikiti yao

    Misikiti 14 katika Jimbo la Jigawa imeathirika kwa kuvunjwa katika Jimbo la Jigawa Nchini Nigeria baada ya wakazi kuahidiwa kujengewa misikiti mipya mikubwa lakini mtoa ahadi akakimbia. Mtuhumiwa huyo, Abba Haruna mwenye umri wa miaka 21, aliwaambia Wanakijiji kuwa taasisi ya kigeni ingejenga...
  6. Gama

    Nigeria kuna watu wanaojigeuza kuwa paka

    Msako wa Wanigeria wanaoweza kubadilika na kuwa paka 21 Machi 2022 Onyo: Makala haya yana maelezo ambayo yanaweza kuwakera baadhi ya wasomaji Wale waliokuwa na hamu ya kukaribia soko la Gbagi walitawanyika haraka waliposikia ujumbe wake. "Mtu yeyote ambaye anaweza kutoa ushahidi wowote wa...
  7. Lady Whistledown

    Nigeria: Wasichana Takriban 35 waokolewa katika "kiwanda cha watoto"

    Wasichana hao wenye umri wa miaka 13-19 wameokolewa katika jengo Jimboni Anambra ambapo waliwekwa ili kuzaa watoto kwa ajili ya kuuzwa, mamlaka zimesema wasichana wanne kati ya hao walikuwa tayari wajawazito. Msemaji wa polisi Torchukwu Ikenga amesema wanawashilikia watu 3 wanaotuhumiwa...
  8. CHASHA FARMING

    Nigeria wanafanikiwa kwenye Kilimo kwa sababu huwa wanafanya maamuzi Magumu sana

    Nigeria ni wazalishaji wa kubwa sana wa Muhogo Africa na Duniani kwa ujumla, Pia ni wazalishaji wakubwa sana wa Mahindi Africa ukitoa South Africa. Kuna wakati Nigeria Muhogo wake ulikosa soko China, nazani kulitokea Mugogoro wa Kibiashara.Serikali ya Nigeria ikabidi waje na Sheria kari sana ya...
  9. Lady Whistledown

    Chama tawala nchini Nigeria kimemchagua mwenyekiti wake kitaifa, Bola Tinubu kugombea Urais wa nchi hiyo

    Chama tawala nchini Nigeria kimemchagua kiongozi wake wa kitaifa Bola Tinubu kuwa mgombea wake wa urais kwa uchaguzi ujao wa 2023 ambapo atashindana na kiongozi wa upinzani Atiku Abubakar kumrithi Rais Muhammadu Buhari katika Uchaguzi Mkuu wa Februari 2023 Katika kura za mchujo Tinubu (70)...
  10. Lady Whistledown

    Mume wa aliyekuwa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nigeria, amekanusha mashtaka ya mauaji ya mkewe

    Peter Nwachukwu,aliyekuwa Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili wa Nigeria aliyefariki mwezi Aprili mjini Abuja amekana mashtaka yote yanayohusiana na kifo chake na madai ya unyanyasaji katika ndoa yao Kifo cha Osinachi Nwachukwu kilizua ghadhabu baada ya familia yake kudai kuwa alikuwa...
  11. Lady Whistledown

    Mfahamu Raia wa Nigeria aliyesafiri kutoka London hadi Lagos kwa Pikipiki

    Kunle Adeyanju (44) aliondoka London mnamo Aprili 19 na aliwasili jijini Lagos Mei 29 baada ya kupita zaidi ya kilomita 13,000 (maili 8,000) katika nchi 13 zikiwemo Ufaransa, Hispania, Morocco, Mauritania, Senegal, Mali, Burkina Faso, Ivory Coast, Ghana na Benin Lengo la safari hiyo lilikuwa...
  12. JanguKamaJangu

    Mchungaji wa Kanisa atekwa Nchini Nigeria

    Mkuu wa Kanisa la Methodist Nchini Nigeria, Samuel Kanu pamoja na mapadri wawili wametekwa wakati walipokuwa wakirejea kutoka kwa shughuli za la kanisa. Tukio limetokea Mei 29, 2022 katika Jimbo la Abia ambapo haijajulikana watekaji lakini Polisi wanaendelea na msako wa kumtafuta. Utekaji...
  13. JanguKamaJangu

    MONKEYPOX: Nigeria yaripoti kifo, idadi ya wagonjwa yafikia 21

    Nigeria imetangaza kuwa na visa 21 vya Ugonjwa wa MonkeyPox katika majimbo 9, ambapo mtu mmoja amefariki Dunia, ripoti hiyo ni kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Nigeria (NCDC). NCDC katika ripoti yake imeeleza kuwa Taifa hilo limekuwa likiripoti visa hivyo tangu Januari 2022...
  14. Nyendo

    Mume wa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Nigeria (Osinachi Nwachukwu) akamatwa

    Polisi wamemkamata mume wa mwimbaji nyota wa nyimbo za Injili nchini Nigeria, Osinachi Nwachukwu, baada ya kufariki siku ya Ijumaa Aprili 8, 2022 katika hospitali ya Abuja. Ripoti za awali zilisema kuwa msanii huyo mwenye umri wa miaka 42 alikuwa akiugua saratani ya koo, lakini familia yake...
  15. JanguKamaJangu

    Nigeria: Watu 31 wafariki wakati wa zoezi la kugawa vyakula kanisani

    Watu 31 wameripotiwa kufariki na wengine 7 kujeruhiwa wakati wa mkanyagano wa kugawa chakula kanisani Nchini Nigeria, ambapo shuhuda mmoja wa tukio alishuhudia mama mjamzito na watoto kadhaa wakiwa sehemu ya waliofariki, jana Mei 28, 2022. Msemaji wa Polisi, Grace Iringe-Koko anasema tukio la...
  16. I am Groot

    STARLINK yapata kibali Nigeria na Mozambiki.

    Hivi karibuni kampuni ya kiteknolojia ya kusambaza huduma za internet kwa njia ya satellites ya starlink inategemea kuanza kuhudumia nchi hizo tajwa hapo juu. Inatajwa kuwa nchi hizo zitakuwa za kwanza barani Africa kutumia huduma hii. C.E.O wa starlink bwana Elon Musk alitoa taarifa hiyo ya...
  17. BigTall

    Nigeria: Watu 50 wauawa kwa mashambulizi ya risasi

    Inadaiwa kuwa 50 wameuawa kwa mashambulizi yaliyotokea Mei 22, 2022 katika Mji wa Rann kwenye Jimbo la Borno Nchini Nigeria katika eneo la karibu na mpaka wa Cameroon. Tangu mwaka 2009 Jimbo la Borno limekuwa likikabiliwa na mashambulizi ya vikundi ikiwemo Boko Haram. Mamilioni ya watu wamehama...
  18. Lady Whistledown

    Polisi nchini Nigeria wachunguza kifo cha Mbunge aliyekatwa kichwa

    Polisi nchini Nigeria wanachunguza kukatwa kichwa kwa mbunge wa jimbo la kusini-mashariki la Anambra ikiwa ni wiki moja baada ya watu wenye silaha kumteka nyara pamoja na msaidizi wake. Mwili wa Okechukwu Okoye ulipatikana mwishoni mwa juma ukiwa na majeraha ya kukatwa ambapo Gavana wa jimbo...
  19. MK254

    Majirani huwa mnakwama wapi kwenye masuala ya teknolojia, hamskiki kwenye start up zozote

    Hapa Afrika, mataifa manne tu ndio mambo yao yanaongoza kwenye ulingo huu. ======= Kenya ranks among Africa’ four biggest destinations for tech start-up funding after Nigeria, Egypt and South Africa. The African Tech Startups Funding Report (2021) shows that last year in the African tech...
  20. MK254

    Tumezungukwa na majirani wanaotuangusha sana, yaani uchumi wa EAC yote ukijumuishwa haukaribii wa Nigeria

    Sijui shida nini haswa, ilhali raslimali nyingi tu za kumwaga....
Back
Top Bottom