Mwanamuziki Henry Zamani maarufu kama Ice Prince anashikiliwa kwa tuhuma za kumpiga na kumteka nyara askari wa barabarani aliyekuwa amemkamata kwa kuendesha gari iliyokuwa haijasajiliwa
Msemaji wa Polisi jijini Lagos, Benjamin Hundeyin amesema baada ya Msanii huyo kusimamishwa, alimwingiza...
Nigeria becomes first country to ban white models in advertisements
With the industry having already evolved, the ban could see more commercials shot locally
Nigeria has banned foreign models and voiceover artists in advertisements – the first country to do so – in a bid to develop local...
Watu wenye Silaha wamewaachilia huru "bila kujeruhiwa", Watawa 4 wa Kikatoliki waliotekwa nyara mapema wiki hii katika jimbo la Imo Kusini-Mashariki mwa Nigeria.
Msemaji wa Polisi katika eneo hakuweka wazi iwapo kuna malipo yalifanywa kwa Watekaji ili kuwaachia huru Watawa hao.
---
Nigerian...
Zaidi ya Tsh. Bilioni 53 zilizochukuliwa na mtawala wa zamani wa kijeshi Sani Abacha, zitakabidhiwa kwa serikali ya Nigeria baada ya nchi hizo mbili kutia saini makubaliano.
Balozi wa Marekani nchini humo, Mary Beth Leonard alisema pesa hizo zilikuwa kwenye akaunti za Uingereza lakini...
Katibu Mkuu wa Makao ya Watawa, Zita Ihedoro, amesema watawa hao wanne walikuwa wakisafiri kutoka Jimbo la Rivers kwenda jimbo la Imo kwa ajili ya Misa ya shukrani.
Tukio hilo linakuja ikiwa ni miezi mitatu tangu Mkuu wa Kanisa la Methodist nchini humo kufurushwa na watu wenye silaha katika...
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Habari na Utamaduni ya Shirikisho nchini humo imesema serikali inataka kulinda vipaji vya ndani na kukuza uchumi.
Kwa mujibu wa Wizara ya Habari, kuanzia sasa watangazaji, matangazo na bidhaa zote za masoko na mawasiliano nchini humo zinatakiwa kuwatumia...
Wakuu, nadhani kila mmoja wetu humu anaumia au amesikia kilio cha kila Mtanzania hasa baada ya kuanzisha tozo kila tunapotoa pesa kwenye account zetu aidha kwenye counter au ATM.
Viongozi wetu Sasa hivi hawafikilii nje ya box au tuseme wamefikia mwisho wa kufikiria. Sasa hivi watanzania tulio...
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amemwamuru Padri Christopher Fosudo, ambaye ni raia wa Nigeria, kuondoka mara moja jimboni mwake na kurejea nchini kwao.
Padri Fosudo alikuwa paroko msaidizi, Parokia ya Watakatifu Mashahidi wa Uganda, Magomeni Dar es...
Hii ni hatari watu Sasa hivi wanafanya upuzi kutafuta sifa za kijinga YouTube na TikTok. Kwenye hii video licha ya kuchekesha ingeleta madhara. Angalia nyundo ingemvunia Taya. Ujinga unaochekesha
Ni nyimbo gani ya kibongo ambayo kwa sasa tunaweza kuishindanisha na Buga ya kizz Daniel katika kipindi hiki ambacho Buga imetoka maana naona wabongo wengi wanalalamika kuwa hii ngoma inapendelewa emu niambie ni ngoma gani ya kibongo tunaweza kuishindanisha na Buga ya Kizz Daniel.
Kwenye pages mbalimbali za social media nchini Nigeria ziliporushwa video clips za msanii Kiss Daniel akikamatwa na kuingizwa kituo cha Polisi Oysterbay mjadala umekuwa si msanii huyo kukamatwa bali uzuri wa Kituo cha Polisi Oysterbay ambapo Wa Nigeria wengi walionekana kuusifia uzuri wa kituo...
Ripoti ya Jeshi la Nigeria iliyotolewa leo Agosti 8, 2022 imeeleza taarifa ya kuuawa kwa kiongozi wa Kundi la Boko Haram, Alhaji Modu ‘Bem Bem’ baada ya kufanyika kwa mashambulizi ya anga.
Mbali na kiongozi huyo pia Wanamgambo 27 wa kundi hilo pia wameuawa katika mashambulizi ya Agosti 3, 2022...
Tunasubiri IT wa kibongo watungengenezee za Simba na Yanga kwenye PS5 au X box
Kazi kwenu....
https://www.reuters.com/lifestyle/sports/nigerian-soccer-joins-video-game-big-league-local-stars-get-avatars-2022-07-08/...
Jameni aliyemshauri Putin kuchokonoa nyuki sidhani kama atasamehewa......
To move away from relying on Russian energy, the European Union are increasingly turning to Africa for natural gas imports — and Algeria, Niger and Nigeria are looking to cash in.
Algeria, Niger and Nigeria signed a...
Serikali ya Nigeria imetishia kuweka vikwazo kwa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) na Trust TV kwa kile walichodai kutukuza ugaidi kutokana na kuonesha filamu kuhusu wababe wa kivita wa magenge ya uhalifu Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo.
BBC Africa ilifanya mahojiano na wahalifu wa...
Mamlaka nchini Nigeria zinasema kwamba takribani watu 30 wameteketea kwa moto na kupoteza maisha huku makumi wengine wakijeruhiwa vibaya katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea Kaskazini kwa mji wa Kaduna.
Ajali hiyo imehusisha mabasi matatu ya abiria ambayo yalishika moto baada ya...
Wale wababe wa yanga africans waliowapiga nje ndani wamechukua ubingwa wa nigeria na governor wa jimbo lao la Rivers state Nyesom wike kawazawadia usd 20,000 kila mchezaji
sasa timbwili ni kwamba kaahidi kuwapeleka jijini madrid spain kwa ajili ya pre season na siyo mara ya kwanza kwani hata...
Watekaji wamemuua Padri John Mark Cheitnum katika Jimbo la Kaduna Nchini Nigeria ikiwa ni siku chache tangu iliporipotiwa kuwa ametekwa Julai 15, 2022.
Tamko lililotolewa na Kanisa Katoliki la Kafanchan limetangaza msiba huo huku padri mwenzake ambaye walitekwa pamoja, Donatus Cleophas...
Mahakama ya Haki ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imesema zuio la Mtandao wa Twitter Nchini Nigeria mwaka 2021 lilienda kinyume na Sheria
Marufuku hiyo iliyodumu kwa takriban miezi 7 inatajwa kukiuka Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu, pia uliwanyima Wananchi Haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.