Chinyere Igwe ameshikiliwa akituhumiwa kutakatisha fedha hizo ambazo ni Dola 500,000 zilizokutwa kwenye gari lake muda mfupi kabla ya Uchaguzi Mkuu.
Polisi wamesema Igwe ni Mwanasiasa wa upinzani wa Chama cha PDP ambaye pia ni Mbunge amekutwa pia na orodha ya majina ya watu ambao alitakiwa...
Aisha Buhari amewataka wadukuaji kuondoa taarifa za uwongo walizoweka kwenye kurasa zake za Instagram na Facebook baada ya kumdukua kwa kuwa zinapotosha Jamii.
Kupitia kusara hizo ilichapishwa taarifa kuwa Benki Kuu ya Nigeria imesogeza mbele ukomo wa kubadili matumizi ya noti za zamani za...
Buhari ametumia miaka yote serkalini kujaribu kuifanya nchi ya nigeria iwe na utamaduni wa mashariki ya kati.
Nigeria inafanya uchaguzi hivi karibuni na kwa makusudi amempa mwislamu mwenzake amrithi ili kukamilisha mpango wao mchafu wa muda mrefu.
Ikumbukwe lile kundi la kigaidi la boko haram...
Wajuzi wa masuala ya kimataifa. Nigeria wanachagua Rais tarehe 25 mwezi huu wa pili. Nini kinaendelea huko? Nani anauwezekano mkubwa wa kushinda?
=======
Siku ya Jumamosi, tarehe 25 Februari 2023, nchi yenye watu wengi zaidi barani Afrika itapiga kura kumchagua rais wao ajaye, Makamu wa Rais...
Maofisa Uhamiaji mkoa wa Pwani wamewakamata raia wawili wa Afrika Magharibi wakiwa na karatasi za kuchapisha pesa bandia, kemikali na kasiki (safe) la kutunzia fedha.
Watu hao wamekutwa pia na hati za kusafiria 34 za nchi za Nigeria na Ghana.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani ambaye pia ni mwenyekiti wa...
Polisi nchini Nigeria wanamshikiria mchungaji wa kanisa la 'House on the rock' kwa kupanda madhabahuni na bunduki aina ya Ak-47.
Mchungaji huyo anayetambulika kwa jina la Uche Aigbe alitenda kosa hilo mnamo tarehe 13 februari 2023 katika misa ya pili ya kanisa hilo.
Polisi jijini Lagos...
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Maazi Chukwudiaso Onyema ametoa maagizo hayo ya pesa alizotoa kwa miaka miaka mingi akidai hana nia ya kwenda mbinguni kama ilivyokuwa awali
Onyema amerekodi video akilitaka Kanisa la Dunamis International kutimiza kile anachokitaka kwa kuwa alifanya...
Jeshi la Nigeria limejibu tuhuma hizo zilizotolewa na Chama tawala kuwa kuna mpango wa kuvuruga Uchaguzi wa Urais unatarajiwa kufanyika Februari 25, 2023
Chama cha APC kilidai kuna viongozi wa juu wa Jeshi walikutana kwa siri na mgombea Urais wa Chama Kikuu cha upinzani, PDP, Atiku Abubakar...
Tume ya Vyuo Vikuu vya Kitaifa ya Nigeria (NUC) imetangaza maamuzi hayo ya kufungwa kuanzia Februari 22 hadi Machi 14, 2023 wakati Uchaguzi Mkuu ukitarajiwa kufanyika Februari 25, 2023.
Wamesema maamuzi hayo yamefanyika kwa ajili ya kulinda usalama wa wanafunzi na Wafanyakazi wa Vyuo, lakini...
Mauaji yametokea Kaskazini mwa Nigeria ikielezwa watu wenye silaha ambao ni Wanamgambo pamoja na vikundi vya kigaidi kuvamia vijiji na kuanza kushambulia kwa risasi na kuchoma moto nyumba.
Abubakar Ahmed, kiongozi wa Serikali ya Mtaa ya Bukkuyum amesema idadi ya Watu waliofariki ni zaidi ya 100...
Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu yuko vizuri.
Ebu fikiria mtu nimekulia maskani, dili zote za haram na halali nazijua, maana nyingi huwa zinapangwa katika maskani mbalimbali halafu ndo zinaenda kuchezwa halafu anakuja kijana from Lagos mashambani huko anataka kunitapeli mimi...
Magaidi kwenye jimbo la Niger (ambalo asilimia 98% ni waumini wa dini isiyopenda kutajwa humu), wamemchomea ndani kasisi wa katoliki huku kasisi mwingine akapigwa risasi alipojaribu kutoroka....Mungu ailaze roho yake pema peponi...
=====================
Until his death, Achi was attached to St...
Jeshi la Polisi la Jimbo la Rivers Nigeria limemkamata mvulana mwenye umri wa miaka 17 aliyetambulika kwa jina la Noble Uzuchi na Chigozie Ogbonna (29) kwa madai ya kuwapa ujauzito wanawake 10 kwa ajili ya biashara haramu ya kuuza watoto.
Waliokamatwa wengine ni washukiwa wawili wa kike, Favour...
I wasn’t sure where to file this under. So I just filed it under the most popular sub-forum of Politics.
The JF powers that be can re-file it where it’s more appropriate, if they see fit.
But damn! I’m impressed by these kids. Especially the Nigerian boy.
He debated with so much aplomb that...
Wenzetu Nigeria wasiocheka na nyani!
Bodaboda ni kero, side mirrors kuvunjwa, kukwaruzwa barabarani, hata wizi wa kushtukiza.
Serikali iamke toka usingizi wa pono!
Anaitwa CHUKWUDOZIE NWANGU al-maarufu kama AKWA OKUKU TIWARI NA OBA
Huyu jamaa alikuja kujua amechaguliwa na mizimu ya ukoo alipo kuwa na miaka 12, Aliitika with huo na kuanza kutibu watu na kujizolea umaarufu mkubwa sana!
Mpaka sasa anakadiriwa kuwa na utajiri wa dola za kimarekani $1 milioni...
Ukuaji Wa Soko la Cryptocurrency Africa unahitaji Utaratibu Mzuri.
Heri ya Mwaka Mpya 2023 wana JF 🙏💜
Utafiti uliofanywa na Chainalysis unonyesha kuwa, Bara la Africa ni ya 1 kwa ukuaji Wa haraka kwny soko la Cryptos Ulimwenguni lakn imekuwa ikifanya mihamala michache kwa makadilio jumla ya...
Hemry Ozoemena Ugwuanyi(Marehemu) huyu bwana alikua anaishi hapa nchini toka 2017 alikua anaendesha kanisa lake ila nyuma ya Pazia alikua muuzaji mkubwa wa Madawa ya kulevya alikua anaishi mtaa wa Pemba Kariakoo.
Kukamatwa kwake
Linda Mazule Raia wa Latvia alikamatwa Uwanja wa Ndege wa...
Mchungaji na mfanyabiashara raia wa Nigeria, Henry Ozoemena, anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha kilo 20 za dawa za kulevya aina ya Heroine, amefariki dunia baada ya kupata shambulio la moyo akiwa mahabusu katika gereza la Segerea, jijini Dar es Salaam.
Wakili Yasin ameieleza Mahakama ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.