Habari wadau,naomba msaada kuagiza mzigo kutoka Nigeria,ni ki parcel cha kubeba mkononi,mwanzo nimeagiza kupitia DHL bei ni kubwa na bado mpaka sasa sijapata, sababu ni watu wa customer TRA hawakubaliani na bei niliyoagizia wakati reference zote zipo mpaka za malipo,hivyo wameniomba bei kubwa...