nikki mbishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwangu ukimtoa Joseph Haule (Prof Jay), msanii wangu bora wa Hip Hop ni Nikki Mbishi. Nenda YouTube kaangalie kazi yake mpya inaitwa Romanza

    Ili umuelewe lazima uwe umesoma Cuba au una C flaat kwa sababu nikki mbishi huwa hawaimbi vilaza kabisa.Yeye yupo mbele muda https://www.youtube.com/watch?v=hdA0WP4skII
  2. Nikki Mbishi - Katiba Mpya New Song

    Wimbo wa Ney wa Mitego 'AMKENI' ukiwa unachanja mbuga za YouTube, Msanii Nikki Mbishi nae ametubariki na wimbo alioupa jina 'KATIBA MPYA', sikiliza toa maoni yako.
  3. Ladha ya Wafalme wa Underground. Nikki Mbishi, One the Incredible na Stereo Singasinga

    THE UNDERGROUND TASTE WITH THE BEST TRIO/ TRINITY SISI THE TRIO NIKKI MBISHI, ONE THE INCREDIBLE NA STEREO SINGASINGA. Wachora ramani na wachonga njia ya Rap ya kisasa Bongo iliyojikita katika matumizi sahihi ya midundo ya HIP HOP. Walimu wazuri na wakuu wa mtindo wa vina mshono ambao unaitwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…