Kutoka ushabiki hadi kushare stage na Heavyweight jay wa Mitulinga: Nikki mbishi amwagiwa sifa baada ya kutoa back up ya kibabe show ya Professor Jay

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Jana kulikuwa na bonge moja la shoo kutoka kwa Kaka mkubwa @professorjaytz kwa namna moja ama nyingine watu walifurahi kile alichokifanya jukwaani.

Pembeni yake alikuwepo @nikkimbishi999 majina ni mengi kwake, Plata O Plomo, Baba Malcom, Kijusi na mengine mengi.

Kwa usiku wa jana binafsi nimempa jina la Juke Box kwani kila ngoma ya @professorjaytz alikuwa anatembea nayo vizuri kabisa bila wasiwasi wowote ule.

Kwa namna moja ama nyingine watu wengi walibaki vinywa wazi walipomuona Nikki akienda sambamba na Jay wa Mitulinga Mstari kwa mstari, Neno kwa neno na kwa energy kubwa,

kumbuka ngoma zote ni za kitambo ila walikuwa wanashuka nazo vizuri tu bila wasiwasi wowote.

Nikki kwa wanaomjua wala hawawezi kushangaa maana tangu kitambo tu amekuwa akikariri mistari ya nyimbo za wasanii wengine katika accurancy ya kushangaza.

Hadi nyimbo za Mister Ebo jamaa kazimeza na tena anazitema katika lafudhi ile ile kama muhusika.
 
Nilitaka kumwambia hivi pia

Nick anajua ngoma zote niliwahi kukutana nae Kwa Mona gangster jamaa alikuwa ana tuimbia mpaka ngoma za Wagosi wa kaya zote zilizopo kwenye album Yao

Ndio maana sugu alipo andaa show Ya prof kwakuwa prof afya yake haiko stable kama zamani mtu sahihi Waliye Ona kuwa ana paswa kumpa back up Prof ni nick mbishi nadhani Hilo wazo lilikuja without hesitation kutokana na uwezo mkubwa alionao nick
 
Kwa hiyo ndio tuna muaga hivyo Prof J
Daah kweli na sisi tumezeeka
Nikikumbuka wakati Chemsha bongo imetoka kipindi kile na inapigwa kila redio
Naona sasa ile nyimbo yake ya Kwaherini inakamilika
 
Nilitaka kumwambia hivi pia

Nick anajua ngoma zote niliwahi kukutana nae Kwa Mona gangster jamaa alikuwa ana tuimbia mpaka ngoma za Wagosi wa kaya zote zilizopo kwenye album Yao

Ndio maana sugu alipo andaa show Ya prof kwakuwa prof afya yake haiko stable kama zamani mtu sahihi Waliye Ona kuwa ana paswa kumpa back up Prof ni nick mbishi nadhani Hilo wazo lilikuja without hesitation kutokana na uwezo mkubwa alionao nick
Hiyo kazi unapewa kama hauna thamani kihivyo. Unategemea hiyo kazi angeweza kupewa fid Q, AY au juma nature?
 
Daaah sema machiz kama wew bhana. Huyo nature anajua mistari ya
Hiyo kazi hufanywa na undergrounds. Hakuna MS artist anaweza fanya huo ujinga wa kukariri nyimbo za wengine na kutumiwa kufanya back up muda wote huo
 
Hiyo kazi unapewa kama hauna thamani kihivyo. Unategemea hiyo kazi angeweza kupewa fid Q, AY au juma nature?
Kwani haukumuona Ay haukumuona FA !! !?

Jay hayuko sawa kiafya that's why alikuwa anahitajika mtu wa kumpa kampani

Je haukumuona joh makini !?
 
Unajua kusoma na kuandika?
Soma ulichosema alafu compare na nilichojibu.

Ay kuwepo haimaanishi ndio atatumika/alitumika kufanya back vocal ya hizo nyimbo zote,.hiyo ni kazi ya undergrounds. AY hawezi kufanya kazi ya kukariri nyimbo zote za prof jay ili aje kufanya back vocal
 
Jana kulikuwa na bonge moja la shoo kutoka kwa Kaka mkubwa @professorjaytz kwa namna moja ama nyingine watu walifurahi kile alichokifanya jukwaani.

Pembeni yake alikuwepo @nikkimbishi999 majina ni mengi kwake, Plata O Plomo, Baba Malcom, Kijusi na mengine mengi.

Kwa usiku wa jana binafsi nimempa jina la Juke Box kwani kila ngoma ya @professorjaytz alikuwa anatembea nayo vizuri kabisa bila wasiwasi wowote ule.

Kwa namna moja ama nyingine watu wengi walibaki vinywa wazi walipomuona Nikki akienda sambamba na Jay wa Mitulinga Mstari kwa mstari, Neno kwa neno na kwa energy kubwa,

kumbuka ngoma zote ni za kitambo ila walikuwa wanashuka nazo vizuri tu bila wasiwasi wowote.

View attachment 3583069

View attachment 3583070

View attachment 3583072
Kumbe wewe ni woodland Countrywide kwenye ID nyingine?

cocastic King Kong III

adriz de mbusii
 
Tuliosoma nae pale mbeya tunamfahamu vizuri sana jamaa tunamwitaga jukebox
 
Unajua kusoma na kuandika?
Soma ulichosema alafu compare na nilichojibu.

Ay kuwepo haimaanishi ndio atatumika/alitumika kufanya back vocal ya hizo nyimbo zote,.hiyo ni kazi ya undergrounds. AY hawezi kufanya kazi ya kukariri nyimbo zote za prof jay ili aje kufanya back vocal
Sasa AY na Pro Jay ni link ziko sawa,Sasa Nikki ni kizazi kingine ktk industry ana link zake,
kusema underground bado ni kukaza fuvu legeza fuvu Ili ubongo upumue
 
Back
Top Bottom