Kuna Dada mmoja amefariki wakati wa kujifungua lakini Sasa naona kama imekuwa ni kawaida Sasa. Vifo vya kinamama vimezidi sana inafikia hatua watu wanne au watatu wa karibu. Juzi Kati nimeona hadi mwandishi wa habari pia.
Hebu tuanze campaign ya kuhusu uzazi salama. Wadau wa Afya tuliangalie...
Wakuuu hivi binti ananionaje? Kwamba ameniona mie zuzu? Au yaani aisee kila siku matusi na vipigo kutoka kwa mke wangu bila sababu yoyote ile na pia maneno ya kashfa kila siku eti kwamba mimi ni mwanaume suruali aisee nimechoka kabisa aisee
Yaani kuna siku alikuwa anataka kuondoka hapa nyumbani...
Katibu wa itikadi na Uenezi CCM bwana Paul Makonda amesema tangu ameanza kufanya mikutano ya kisiasa na kwenda kwa wananchi hawaoni watoa taarifa wakifanya mikutano!
Anasema amechoka kufanya mikutano peke yake anauliza eti watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi? Mbona wanamuacha anatamba peke...
Nimeamka najiandaaa kwenda Misa ya Saa 2 hapa Mara nikawaza Fei aliwahi sema yeye akiondoka Hersi hata saivi (muda ule) anabeba begi anarudi zake Yanga.
Yani nimechoka sana hivi Feisal alikua anafikiria nini jamaa?😂😂
Habarini za humu wadau,
Mimi ni kijana wa 26 yrs, mkazi wa Dar es Salaam, nakaa Sinza. Nina kazi nzuri tu ambapo napata mshahara wa 2m+ basic salary. Sina mtoto wala sijaoa, nategemewa na familia yangu huko mkoani, pia ni kijana wa kwanza kwetu, wapo wadogo zangu kama wawili hivi.
Sawa...
Nimechoka kulipia lodge, nataka nipeleke mchepuko nyumbani ili wife akome kuninyima mbususu.
Wakuu naombeni ushauri! Nina mke lakini amekuwa mtata Sana kwenye kunipa mbususu Hali iliyopelekea nitafute mchepuko.
Sasa shida ni hela ndugu zangu,yaani kila ninapotaka kwenda kuuzagabua mchepuko...
Tangu niingie kwenye kubet adi sasa sijapata faida yoyote Zaid ya hasara kila nikisomaga post xozote za kuhusu kuifaidi betting karbu wote wanasemaga usiweke timu nyigi odds 2 tu zinatosha Ayo yote nimefanya lakn n vipigo tu option zote kwenyr football nimezijarbu lakn hakuna tofaut nikahama...
Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa kumzalisha Mama (kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji.
Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila kulala.
Kuweni na Huruma Enyi Viongozi, Hivi mtu toka saa Mbili usiku uko Chumba Cha Upasuaji ...
Maisha haya yasikie tu kwa mwenzio
Muda mwingine tunajitahidi kupanga malengo na kuyapambanua yatimie tukipiga hatua 3 mbele tunavutwa na kurudishwa hatua 6 nyuma na matatizo yasiyo epukia
Nimeshalala sana chini na wife mwaka unaenda kukata Sasa bila ya kitanda
Naweka Nia mpaka mwezi huu...
Binafsi nilijitahidi sana kuwa kijana mtulivu na nisietaka makuu..
Lakini nilipofikisha umri wa miaka 18 nikasema liwalo na liwe sasa nimekuwa natakiwa nianze mahusiano ya kimapenzi. Nitafute mwanamke wa kubenjuana nae.
Nimepita sehemu na kila sehemu imeniacha na funzo kubwa sana.
Sitaki kuwa...
Habari,
Je, kuna mtu hufikia hatua akawa katika hali niliyonayo muda huu? I mean kwamba kuna wakati ukifika nikitafakari maisha yangu nahisi kama kukata tamaa, yaani kuhisi uchovu tu from no where.
Yaani sijui niiweke vipi ila kuna muda tu ukifikaga tafakuri ya maisha hunijia, najikuta...
Hii sijui niiteje au Ndio Wokovu unanifata fata kila niendako.
Je nikubali mwito wa wokovu au nikaze fuvu?
Huyu manzi mama nilivyosema nikifika naye tu ndani kwa ajili ya mnyanduano basi utasikia ameweka kwenye simu yake nyimbo za Injili mara kwaya.
Na mimi najifanya kama sisikiii naendelea...
Ama hakika maisha ya ughaibuni kwa ujumla yamenichosha jamani yaanj sio poa kabisa yaani kutwa kushinda uko pekee yako hamna vijiwe vya kahawa na kashata kama huko bongo yaanj kutwa kufanya kazi saving ni kipengele sana kwasababu unafanya kazi mara ulipie mortgage, mara ilipie car rent hamna...
Wakuu mimi ni 26 Me, mzaliwa wa kanda ya ziwa, taaluma yangu Medical doctor degree, nimeletwa na mambo mawili;
Kwanza
Naota nakula sana mara nyingi ni wali na matunda na muda mwingine unajaribu kukataa kabisa ila kuna mtu anakubembeleza. Hii ya leo nimeenda sokoni nikakuta matunda mfano wa...
Kiukweli upusha sio poa asikuambie mtu mimi na huu urembo wangu kazi insyoniweka mjini hapa ni upusha aisee sio poa japo unapata pesa za kutosha lakini unaishi kwa mashaka tu.
Kiukweli nyie vijana acheni upusha sio poa jana kuna mwana amepigwa mvua ya miaka thelathini baada ya kukutwa na...
Shikamooni wakubwa zangu mdogo wenu naomba ushauri kidogo kutoka kwenu...
Mimi ni kijana mwenye miaka 24 naishi hapa dsm ila mpaka muda huu bado naishi nyumbani kwa wazazi, kwa umri wangu nshaona kuwa najiendekeza sana mana mpaka sasa ningekuwa najitegemea na mimi niwapunguzie mzigo wazee.
Ila...
Hii tabia inakera sasa kwa siku nafuatwa na wanawake 6 mpaka 10 huku pm, wengi wao wanaomba mahusiano na mimi mwizukulu mgikuru a.k.a babu...nimechoka kutongozwa na akina beesmom.
"Njombe mkulima analima heka moja ya viazi mviringo, anavuna gunia 206 anauza elfu 40 anapata milioni 8, amewekeza milioni, sasa uzalishaji wenye tija upo Njombe" - Anthony Mtaka, Mkuu wa mkoa wa Njombe.
Chanzo: EastAfricaTelevision
Tafadhali hebu tuacheni kwa sasa!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.