Natamani hiyo siku ifike haraka tucheze tumalize, hata kama tutatoka tutoke tu, nimechoka na hii mijadala! Yaani hii wiki moja ya kusubiri marudiano imegeuka na kuwa kama mwaka, dah!
Tucheze tu, hata kama tutatoka siyo mwisho wa dunia.
Unampata mwanaume mchekeshaji ana pesa. Unaenda kutoka tena na mwanaume mkimya hana pesa. Ukimpata mwanaume MKIMYA unaenda kutoka na mwanaume MCHEKESHAJI.
Ukimpata mwanaume hana PESA unaenda kutoka na ASIYE NA PESA. Ukimpata ASIYE NA PESA unaenda kutoka na MWENYE PESA.
DADA ZANGU MNATAKA NINI...
Habarini za humu wanajamii, humu JF kuna watu mbalimbali wengine wanakaa Buza huko kwa mpalange, wengine Masaki na Osterbay, wengine Mwananyamala kwa kopa huko ila wengine wapo mamtooni huko pande za akina Biden.
Sasa wale wa kwa biden na ulaya huko ndo naomba ramani za kwend kuzama huko. Je...
Nahisi ni wakati sahihi sasa wa kuumaliza mwendo. Haiwezekani posho yangu ya 135k kwa wiki igombaniwe na kila aina ya rika. Hapo hapo ndugu, jamaa, marafiki, bia, usafiri, vocha, tozo, umeme😥 Halafu hapohapo bado kuna mpenzi🥺 huyohuyo mpenzi mara aje na matawi yake ya hela ya kusuka, kubandika...
TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE.
Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie.
"Nilikuwa na mpenzi wangu nilikuwa naishi nae ingawa tulikuwa bado hatujaoana ila tulikuwa tunaishi pamoja kama...
Wanawake wa siku hizi mtatuua sisi wanaume ambao bado tunahisia za mapenzi.
Kuna sehemu huwa naenda mara moja moja kufanya service. Sasa kutokana na kuwa nikipeleka gari huwa napenda kusubiria hapo hapo kufuatilia utendaji wa fundi. Basi nikajenga mazoea ya kukaa kwenye kiduka flani ambacho pia...
Kiukweli wakuu, mimi ni mmoja wa watu ambao kwa sasa nazipigania hizi ajira za u tutorial assistant kwa kiu kubwa sana.
Ni kwamba nipo kwenye private sector lakini ki uhalisia kabisa baada ya kujitafakari, nimeona endapo nitabaki huku nilipo kwa sasa, sio tu kwamba uchumi wangu utadumaa ila kwa...
Hivi nyie wenzangu mko sawa? yani hamjachoka? Unaamka tu na kwenda kufanya kazi na uko sawa? Na uko sawa kujua lazima uendelee kufanya hivyo kila siku?
Yani mzunguko wako wa maisha ni ule ule [emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini[emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini
Ukiongezea hapo labda umeenda...
Hawa wapemba bwana na migahawa yao. Nimeagiza msosi kwa mpemba mmoja hapa town. Mletaji ameleta msosi na akawa hajaweka samaki.
Nikamuita mara ya pili kumkumbusha kuwa niliagiza na samaki. Akasema anakumbuka. Anakuja.
Kweli baada ya dakika akawa anakuja amemshika samaki mkononi. Nlichukia...
Please understand muelewe siitaji tena mchumba no more.
Mume hutoka kwa bwana sio hapa very sorry
Asanteni kwa wote waliokuja ila for now noo.
Siitaji.
Baada ya jana kurudi nimechoka sana nyumbani, nikaanza kuwaza kwanini nafika nmechoka nyumbani ilihali sikuwa na kitu cha maana nilichokifanya wala kubeba mzigo wowote. Nikasema nuvue kila kitu ili mwili upate hewa vizuri, ndipo nikagundua kuna mizigo binadamu tunaibeba kila siku na inatuchosha...
Habari Wakuu!
Kukaa miaka mitano tuu ndio ujifanye Mzungu?
Kukaa miaka mitano tuu ndio ushindwe kuongea Kiswahili bila kuchanganya na kimombo?
Ati mjanja! Ati anajiita Civilized, Mpuuzi tuu!
Kitu kidogo utasikia; yaani wabongo hampo civilized! Mara ataje Ridiculous! Na msamiati mingine...
Mimi nimesomeshwa hilo, yaani kila teacher wa lugha niliyokutana nao ktk kipengele cha poems basi hapo ndo Kimbilio. Mengine ni:
A freedom song
Development n.k
Miaka zaidi ya 15 baadae, watoto wangu nao habari ndo hiyo hiyo; eat more, the slogan say!
Hv watunzi wameishaaa au? Wataalamu wa...
Wakuu habari, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Nimesoma Education (bachelor of education in policy planning and management) nikispecialize kwenye Economics and accountancy kama teaching subjects, Sikuwahi kupenda kuwa mwalimu lkn baada ya kumaliza form six niliona sina option zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.