Nahisi ni wakati sahihi sasa wa kuumaliza mwendo. Haiwezekani posho yangu ya 135k kwa wiki igombaniwe na kila aina ya rika. Hapo hapo ndugu, jamaa, marafiki, bia, usafiri, vocha, tozo, umeme😥 Halafu hapohapo bado kuna mpenzi🥺 huyohuyo mpenzi mara aje na matawi yake ya hela ya kusuka, kubandika...