nimegundua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Nimegundua EPL ni ushindani wa ndan huku UEFA Kuna watu wake

    Hii ni baada ya Liverpool kufungwa na PSG kutoka league 1 je liver wangekutana na BARCA ingekuaje
  2. Nimegundua kuwa watu nafsini mwao wanaelea matendo ya mitume wa kileo yamekaa kitapeli ila ulimbukeni wao wa mambo ya kufikirika ndio unaojaza kiu yao

    Naelewa tabu zimekuwa nyingi, ILA, Kwa hio Mungu ametuma manabii wenye miujiza mikuu waende Dar tu? Kwa hio kutanguliza sadaka kabla hamjaombewa bado hamjaona kuwa ni shughuli ya kiuchumi ndio anafanya? Toa pesa, Pata huduma "Mungu wa mahala hapa ndio wa kweli" "Mungu wa nabii so and so" ...
  3. Leo nimegundua asilimia kubwa ya mashabiki wa Man United wanashida sana

    Mfano tu mtu anasema babu Ferguson aliyekaa man united miaka 25 na epl 13 ni Bora kuliko pep aliyekaa miaka 7 na epl 5 Pep uyu uyu kamfunga babu mechi mbili za UCL 2009, to 2011 Nb:sijajumlisha makombe ya ligi ya Spain akiwa na Barca pep na makombe ya ligi akiwa na Bayern ujeremani
  4. Baada ya kulipa Mahari kwao Ndipo nimegundua ana Majini

    Wakuu kwema? Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu. Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili nimiliki mke rasmi. Kweli tarehe za mwanzo wa mwezi January mwaka huu, nilipeleka ujumbe wangu kwao...
  5. Nimegundua kumbe Jehanamu ni pale Gongo La Mboto!!

    Nimekuwa nikitafakari sana kuhusu jehanamu hasa kujua iko wapi nikitumia google photo map walau kupata direction yake. Asee kumbe hata google map haifui dafu ikanibidi nitumie tu knowlege aliyoitumia Christopher Columbus kuigundua Marekani Imenichukua miaka kumi jana usiku ndio nimekuja...
  6. Nimegundua wanyama wanaongea na wanacheka wakifurahia jambo!!

    Amini usiamini hata ng'ombe, paka, kuku na wanyama mbalimbali wafugwao wanao uwezo wa kununa, kucheka na kuongea najua utabisha Toka 2005 nilijikita kufanya utafiti wa maisha ya wanyama hasa hawa tunaowafuga majumbani mwetu na kilichonishangaza ni kugundua nao wana lugha yao ya kibonyoli"...
  7. Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa

    Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka...
  8. Kitu nimegundua furaha ya mwanaume haijawahi kuwa concern ya mwanamke

    Mwanamke anataka Status ya mahusiano yenu iulizwe kwa minajili ya jinsi mahusiano yenu yanavyo muaffect yeye bila kujali wewe. Wanawake wamekuwa more selfish, na zaidi institutions hizi zinazidi kumuweka mwanaume katika pressure kubwa sana zidi ya mwanaume Unaweza kuta Ustawi wa jamii...
  9. Leo ndio nimegundua Simba hamna kocha pale

    Huyu kocha hata Mimi nikikaa pale naweza fundisha huu mpira unaochezwa, match karibu 7 za Simba wanashinda kwa kubahatisha na kwa msaada wa marefa, Kinachonishangaza ni hizo sub zake zisizoeleweka, nimeshangaa Leo anamtoa Mpanzu aliekua na shoot on target 5 anamuingiza Mutale mchezaji ambae...
  10. Nimegundua ni upumbavu kuweka maisha yangu rehani tena kisa CHADEMA!

    Haya ni maoni yangu binafsi, Mimi nimekua mkereketwa wa Chama hiki nikiamini kua ni chama cha ukombozi, nimekua nikishiriki harakati japo kwa ngazi ya chini, tukipiga kura. Tunabaki kulinda kura, nimeshawekwa mahabusu kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge mwaka 2009 enzi hizo akina zitto bado wako...
  11. M

    Issue ya Diamond huko Kenya nimegundua Kenya baadhi ya watu wana roho nyeusi

    Miaka yote nimekuwa nikiwafuatilia hawa majirani zetu na sikuwahi kuona with clean heart. Jamaa wamekaa sana Chuki mioyoni na Unafiki.
  12. Kwanini hoteli kubwa zenye hadhi ya 5 stars huwa na bendera za mataifa mbalimbali kwa nje? Siri iko hapa!

    Wakuu, Najua nitakuwa sipo peke yangu, lakini mara nyingi huwa nikienda kwenye hizi hoteli kubwa the likes of Serena, Kilimanjaro Hyatt, huwa nakutana na bendera za nchi mbalimbali. Zamani nilikuwa sijui maana ya bendera hizi na nilikuwa nadhani kwamba pengine bendera huwakilisha aina ya...
  13. Mwigulu Nchemba: Wahitimu vyuo vikuu rudisheni mikopo

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wahitimu wa vyuo vikuu kurejesha mikopo waliyopata kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ili wanafunzi wengine wasio na uwezo pia wanufaike. Hotuba ya Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo...
  14. M

    Nimegundua vitu kadhaa kuhusu "Mtanzania"

    Kuna thread nimeitoa muda kidogo umepita unasomeka "hii imeniuma sana na itamuuma kila mtanzania" Ndugu zangu nimegundua kitu kikubwa sana leo. Tatizo kubwa la sisi wa Tanzania tulio wengi tuna roho mbaya, hatuthaminiani, hatupendi haki, tunatanguliza maslahi yetu na familia zetu. Ukipitia...
  15. Nimegundua mke wangu ananiroga akishirikiana na wazazi wake

    Wakuu habari ninaomba mawazo na mchango nini nifanye nimegundua mke wangu ananiroga na hii akishirikiana na wazazi wake. Nimegunduaje nilidukua simu yake na kuona taarifa zote pale alipotoka nyumbani nami kua na wasi wasi kama hio safari si ya usalama kwangu maana ilikua inalazimishwa na wazazi...
  16. L

    Nimegundua Umughaka ni pachawangu

    Baada yakusoma maandiko mbalimbali ya umughaka humu jukwaani,na kuvitazama kwa umakini visa vyake,nimegundua tunafanana kwa vingi 1. Ulofa Mimi ni lofa sometimes hasa kwenye kudai hela,naweza tapeliwa hela yangu kirahisiraisi nanikachukulia poa,hali hii inafanya nionekane lofa sana,ingawq...
  17. Nimegundua demokrasia haikuundwa kwa ajili ya Mwafrika

    Mtu mweusi ni mkaidi sana. Mpe uhuru, ajipatie nafasi ya kubania wengine uhuru. Mpe mamlaka, ajipatie nafasi ya kutajirika haraka. Mwafrika katika harakati analalamika kuhusu njaa na tabu, akipata ugali, anawaita wenye njaa ni washamba na wavivu. Mwafrika hugeuza cheo kuwa kampuni, Mwafrika...
  18. Mpenzi wangu kesho Agosti 9, 2024 anaenda Urusi kusoma, nimegundua kumbe nampenda

    Aiseee nilikua namsumbua na kumchukulia poa, lakini siku yakesho anaondoka kwenda Urusi kusoma, nimeanza hisi simanzi na upweke moyoni mwangu. Nimegundua kumbe huyu binti nampenda, inaniuma natamani asiondoke lakini ndio haiwezekani.
  19. Nimegundua kusudi lililo nileta duniani. Nimeanza kuliishi kusudi hilo na linanilipa

    Naanza kwa kuwatukanizia wale wote walio ni laghai nilipokuwa mtoto mdogo kwa kuniambia eti : 1. Nimerithi dhambi ya asili kutoka kwa mtu anaitwa Adam. 2. Eti nimeletwa duniani kufanya mitihani ( majaribu). 3. Kwamba eti alie niumba aliniumba ili nimuabudu.. ........ 1. Sina dhambi ya...
  20. Kama umeshawahi kushindwa Jambo lolote pita hapa

    Habari wana jf. Kwenye harakati za utaftaji kuna mapito mengi Sana mtu anapitia mpaka anatoboa,Kuna watu wamepitia msoto mkali,wamekutana na changamoto sio za nchi hii,Kuna wakati unajiona unastahili kabisa kukata tamaa ila Kuna sauti ndogo ndani yako inakuambia "never give up" na hasa ukiskia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…