Wasalaam ndugu zangu. Baada ya kuingia chimbo la takriban miezi kadhaa nikifanya tafiti mbalimbali, ghafla nikajikuta navutiwa sana na utafiti juu ya hili jambo.
Ni jambo moja nyeti sana ambalo watu wengi hawajalitilia maanani, si wanaume wala wanawake. Kwa kifupi wote hawajagundua juu ya jambo...
Wakati nasoma chachi histori mle ndani nilikuta vitu vya kushangaza na ilichukua miaka mingi kuelewa, zamani nyuma ya kalne ya 16 kule ulaya kulikuwa hakuna uhuru wa kuabudu, napo sikuelewa uhuru upi wa kuabudu kwani tayari Yulopa zilikuwa nchi za kikrito. Lakini baadaye nilielewa kuwa haya...
Najaribu kutafakari yanayoendelea sasa mjadala kuhusu chanjo ya COVID na jinsi baadhi ya watu, viongozi wa dini na wanasiasa wanavyolichukulia jambo hili kwa wepesi na kuhoji uhalali wake ilhali wao wenyewe walishachanjwa toka utotoni. Je, wasingechanjwa wangekuwa hai leo?
Utamtumainije Mungu...
1. Nguvu yao kubwa Watanzania kupenda ( kushadadia ) sana Umbea na Mambo ya Kingumbaru ( Kijinga ) na Kipopoma ( Kipumbavu ) wangeiwekeza zaidi katika Kupenda kulipa Kodi Vizazi kwa Vizazi wala lawama hizi zisingekuwepo.
2. Ule muda mrefu ambao Watanzania waliutumia Kumjadili sana Diamond na...
Wakuu,
Hapo mwanzo na hata nilipokuwa mdogo, nilikuwa nikipenda sana kushehereka birthday kila ninapotimiza miaka fulani, (siku ya kuzaliwa)
Lakini kadri umri unavyokwemda unakuja kugundua ni upumbavu na kupoteza muda, haswa sisi wanaume tuachane na haya mambo ya watoto, kama mimi nimeacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.