nimegundua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kichwamoto

    Napenda ngono ila nimegundua haina faida kwenye michongo ya kupata pesa afadhari kunywa pombe

    Pamoja na kwamba mapenzi ni raha na ngono ni tamu, ila realistically speaking haina faida yoyote kipesa, mpaka sasa ukweli ni kwamba ngono ni miyeyusho sana bora kwenye pombe kuna michongo ya kupata pesa. Naendelea kutafakari angalau nibaki na mademu wanne tu. 💯💯💯
  2. DR Mambo Jambo

    Sasa nimegundua, tatizo sio uwekezaji wala Mkataba bali ni Waarabu kuwekeza

    Kumekuwa na malalamiko hata baada ya kufanyika marekebisho ya mikataba ya HGA na IGA .na wengine wakifikia Kuilaumu TEC kwa kutokuwa na msimamo. Bila kujua kuwa TEC walisema kuwa kama mkataba utaendelea kuwa hivyo ni bora kufutwa na Serikali iwasikilize wananchi. Wananchi walitaka maboresho ya...
  3. A

    DOKEZO Serikali chukueni hatua kuepusha vifo. Baada ya kuruhusu safari za usiku nimegundua yafuatayo

    Hivi karibuni serikali imefanya uamuzi bora kabisa wa kuruhusu magari ya abiria ( mabasi) kutoa huduma masaa 24. Hili ni jambo bora na la kupongezwa kwani linachochea ukuaji wa uchumi kwa watoa huduma kuweza kutoa huduma kuweza kuongeza muda wa kazi. Pamoja na uamuzi mzuri kuna kasoro kadha wa...
  4. sky soldier

    Utafiti nilioufanya nimegundua vijana wengi waliosoma shule za bei kubwa wanachelewa sana kuoa tofauti na waliosoma shule za serikali, hii ndio sababu

    Hata mimi mwenyewe nimesoma shule za private lakini nina marafiki wengi waliosoma serikali, so nayaongea haya nikiwa nawajua wahusika. Binafsi kwenye shule za msingi na o leve nimesoma za private, msingi nimesoma day ada ilikuwa laki 2 mwaka 2003 (kwa sasa ni milioni 1), o level sekondari ada...
  5. Makonde plateu

    Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

    Nilimkuta mke wangu ni bikra kabisa yaani hymen iko slide kabisa kwahiyo mimi ndiyo nilikuwa mtu wa mwanzo kumtoa hiyo bikra ila na bado wahuni wimechapa bila hata ya kupindisha kabisa ila masela ni michosho sana. Labda sijui ni laana ya kuhasi uparoko wala hata sijui kuna moment katika maisha...
  6. February Makamba

    Nimegundua njia ya kuifikia subconscious mind kupitia ndoto

    Huu Uzi naomba wanasaikolojia na wanabaiolojia(neuroscientists) waje kuhakiki maana nitaenda kupublish research. Utangulizi: Unajua asilimia kubwa ya Akili na mawazo unayowaza iko nje ya ufahamu wako? Unajua kuwa hata mawazo unayofikiri huwa yanachipuka kutokea kwenye akili iliyo chini ya...
  7. Tlaatlaah

    Nimegundua hata wakiungana ni vigumu mno kuishinda CCM-2025

    Mfano, kura halali pekee; CCM wakapata 51% CHADEMA wakapata 32% ACT wazalendo wakapata 5% CUF wakapata 3% NCCR-Mageuzi wakapata 2% vyama vingine vyote vilivyobaki wakapata 7% Nilihisi wakiungana wataishinda CCM kirahisi kumbe lah... Labda miaka mingi ijayo.....
  8. M

    Ninayoyaona KKKT nimegundua Kanisa Katoliki ndilo kanisa la Kweli

    Mwanzo nilijua hili kanisa la kkkt ni level moja na Katoliki lakini kumbe ni KICHUGUU NA KILIMANJARO. Sasahivi nimekuwa mtu mzima ndio najua Kanisa Katoliki halistahili kufananishwa na makanisa mengine, yaani Katoliki ni kanisa la kipekee sana na MISINGI YAKE ILIWEKWA NA MMOJA WA WANAFUNZI WA...
  9. Mtu Asiyejulikana

    Nimegundua hili kuhusu wake za watu. Inaweza kukatisha tamaa kuoa

    Kwa uzoefu wangu mdogo tu katika mahusiano kwa umri wangu mdogo wa miaka 50+ kuna mambo ambayo nimeyagundua ambayo huwa yananifikirisha sana. Shughuli zangu za kikazi hunifanya nisafiri kuhama hama kila wakati. Ingawa familia ilisha settle Dar. Mimi huwa nasafiri sana ndani na nje ya nchi. Mara...
  10. S

    Nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina

    Habari zenu, Nina jambo ambalo linanitatiza jamani. Mimi ni mkazi wa Dar na asili yangu ni mkoa fulani ukanda wa pwani. Nimetokea kwenye familia za kiswahili, baadhi wamenielewa familia za namna gani. Naomba niende straight to the point ni hivi nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina yan...
  11. sanalii

    Nimelelewa katika misingi ya kuwa "nice person" ila nimegundua mambo ni tofauti huku uraiani

    Kuna watu wako standby ku take advantage of your niceness, nilikua naamini watu wanafanya maamuzi in a rational thinking lakini sio 0. Kijana ameoa ila anaona sifa kutembea na wanawake wengine nje, au kijana haoni shida kutembea na wake za watu. 1. Unakaa na kijana wa rika lako anakwambia...
  12. DR HAYA LAND

    Nimefatilia maisha ya Jay Z, nimegundua kuoa sio jambo la haraka

    Nipo nasoma Biography ya Jay z nimeona kazaliwa 1969 na kaoa Mwaka 2008 na kapata mtoto wake wa kwanza na Beyonce Mwaka 2012 Na watoto wake mapacha kawapata Mwaka 2017 Maana yake Jay z kaoa akiwa na miaka 38 Nilichogundua Mambo ya kuoa yanahitaji kujipanga yaani kutafata Direction na sio speed...
  13. Hemedy Jr Junior

    Nimegundua kuruka na ungo mchana, vipi serikali itanipa kibali?

    Waruka na ungo usiku mnafeli wapi? Kwanini ungo usitumike mchana na sio usiku kwanini umsiungane ukafanye sayansi yenu ikawe bora maana sayansi yenu bado ni duni means bado haina maboresho. Tunahitaji ungo uruke mchana na watu tusigeuzwe kuwa panya tubaki kuwa watu. Hapa ndipo wachawi...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nimegundua ni hatari kuhifadhi pesa benki ukiwa unafanya biashara Tanzania

    Wafanyabiashara wengi, wakubwa, wa kati kwa wadogo huu mwisho wa mwaka wamekutwa na dhahama la kusikitisha na kuhuzunisha, wamefungiwa account binafsi za benki na zile za biashara na mamlaka moja yenye nguvu. Kwenye mazingira kama haya ambapo unaporwa hela zako zote, kuna haja gani ya kuweka...
  15. M

    Nimegundua kuna member humu anatembea na mke wangu, nitakachomfanya tusilaumiane

    Nimegundua kuna member humu ndani anatembea na mke wangu kutokana na uzi aliouandika humu. Uzi wenyewe ni huu Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza Member alieandika huu uzi anatembea na mke wangu, na mke wangu amemdanganya vitu vingi sana...
  16. Komeo Lachuma

    Nimegundua pia hata Nyama ya Ngamia ni Kharamu...

    Nlikuwa nasoma Taurati/Torati. Ngamia pia ni Kharamu.... Anacheua lakini hana kwato. Ndiyo kwa mujibu wa Taurati mimi huwa nasoma vitabu hata vya watu wa Kitabu. Hadithi na Mtume na Maswahiba wake nasoma. Biblia nasoma na napendelea sana Taurati... Kumbe Ngamia hana sifa za kuliwa. Kama...
  17. S

    Leo nimegundua sababu ya moyo wangu kugoma kabisa kuwa naye

    Nisiwachoshe wanajamvi. Miaka michache huko nyuma nilikutana na binti mrembo nikiwa kwenye taasisi fulani kwa ajili ya huduma fulani niliyoifuata hapo. Mtoto mweupe flani hivi amazing na kwa kweli ngozi nyeupe ni ugonjwa wangu, ila awe mweupe natural. sipendi kabisa mtu anayejiwekea mikorogo na...
  18. Chizi Maarifa

    Kaniingiza hasara kubwa sana, leo ndiyo nimegundua nimeumia sana

    Huyu binti ni miezi kama miwili naomba nipate naye japo nafasi ndogo. Nikamshawishi Jumamosi tukaenda Bagamoyo. Aliniambia kabisa tunaenda ili niondoe wazo la kumla. Alinipa angalizo hilo nisahau. Jumamosi tukalala kawaida nikiteseka sana. Jumapili pia, jana jioni homa ilinizidia nikaanza...
  19. NostradamusEstrademe

    Nimegundua dini ya Kiislam haina unafiki

    Moderators naomba mada hii msifikirie nataka kuleta udini maana katiba ya nchi yetu haina dini naongelea dini moja tu ya uislam sitataja dini nyingine kuzikandia maana ni ukweli ulio wazi kati yetu hadi sasa hakuna ambaye ana uhakika ni dini ipi mungu anaikubali.Najua kuna dini za Ibrahima yaani...
  20. Komeo Lachuma

    Nimegundua mimi si binadamu wa kawaida. Tena si Mtanzania Halisi.

    Yaani sina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu. Ukifanya vizuri hata kama juzi tumetukanana nitakusifia kuwa hapo umefanya vizuri. Ukikosea hata kama asubuhi nimeamka na wewe na ni mrembo sana nitakuambia ukikasirika shauri yako mi nimeshakuambia. Hata kama ni jamaa,mshkaji,ndugu au rafiki wa...
Back
Top Bottom