nimepata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sanalii

    Nimepata mgeni yuko rafu sana

    1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa. 2. Dawa ya meno anaminya popote tu. 3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na glass zipo. 4. Inshort things are mess
  2. O

    Neema zinazidi kunikimbilia, leo nimepata zaidi ya Tsh. 15m baada ya kuuza mpunga wangu

    Hakika riziki haupigi hodi kabisa, inakuja mbio mbio kabisa ila hii inakuja ukiwa na jitihada haiji tu eti upo zenu maskani kwenye kijiwe cha bangi unategemea utapa riziki? Hilo sahau kabisa aisee,nyie endeleeni tu kuvuta bangi na kupiga majungu, chuki na kuwasema vibaya waliofanikiwa Nikuambie...
  3. N

    Naweza kuongezewa mkopo HESLB?

    Habarini ndugu zangu naomba kuuliza kama nimepata mkopo asilimia 20% je, naweza kuomba kuongezewa?
  4. Boss la DP World

    Nimepata Shambulio la Kigaidi la Kingono

    Mwaka huu ndiyo nimefahamu athari za ugaidi baada ya wadada weusi 3 kuhamia kwenye apartment jirani na kwangu. Mmoja ni mwendo wa vimini tu ana vimacho fulani hivi, mwingine ana subwoofer kubwaa halafu anavaa miwani, watatu anapenda madera. Kwakweli wamenitoa kabisa kwenye reli, faida...
  5. fundi bishoo

    Msaada: Nimepata fangasi kwenye ulimi

    E bwana kwema wakuu? Nna week ya pili inaenda hii nimepata fangasi /weupe kwenye ulimi sasa nilienda pharmacy nikaambiwa nI fangas ila hakuna maumivu yyte wakuu nkapewa dawa ya Miconazole Oromucosal gel BP ambayo nliambiwa nitumie kwa week lkn bado akupata mabadiliko yaan ilipungua kidg sana...
  6. LIKUD

    Ushuhuda: Nimepata followers laki 2 na elfu 80+ instagram kwa sababu ya kukomenti tu

    Wakati wa vuguvugu la corona niliamua kufungua account ya ziada instagram kwa ajili ya kuwa huru kukomenti chochote. Fast forward now account yangu ina followers laki 2 na 80. Nimepata followers hao kwa sababu ya kukomenti tu kama ' Xavier" wa Quora. Kila nikicomenti kwenye trending...
  7. dvj nasmiletz

    Msaada: Nimepata google adsense lakini sipati ads kwa sababu ya lugha

    Wakuu, nimepata google adsense lakini sipati ads kwa sababu ya lugha nifanye nini ku switch toka Swahili to English? Blog yangu ni ya Kiswahili, sasa baada wao kureview inaleta ujumbe wa kutopata ads kwa sababu ya lugha, naombeni msaada wenu. "Your blog isn't ready to show ads and needs...
  8. MamaSamia2025

    Tayari nimepata mwanamke wa kuoa ila kuna vitu sijaelewa wakuu. Nishaurini tafadhali

    Wakuu leo naandika nikiwa na mawazo mengi sana. Mara nyingi nimekuwa nikileta nyuzi za masuala ya kitaifa ila leo huu uzi ni wa ishu yangu binafsi. Mimi kada mtiifu wa CCM kwa sasa kuna mambo nimeshindwa kuelewa kabisa kwa huyu mwanamke ambaye nimetangaza nia ya kumuoa. Nataka ushauri wenu...
  9. Money Penny

    Nimepata mchumba kanisani kwenye Morning and Evening Glory, Novemba 2023 naolewa

    skia hii, jana nilikuwa napewa stori na dada mmoja anakaribiwa kuolewa nikamwuliza amempataje mpenzi wake akanijibu Dada: Nimempata kwenye morning and evening glory nilikuwa naenda kila siku kanisani, kumbe huyo kaka akaniona akanipenda akawa anapima frequency ya kuja kanisani kama na beep...
  10. Mwachiluwi

    Nimepata ajali ya bodaboda Kibiti

    He'll Katika kutimiza majukumu ya kazi leo nilikuwa Kibiti sehemu moja inaitwa mkamba nimetoka mjini saa nne nimefika saa nane mda ukawa umeenda sana na ilikuwa lazima kumaliza kazi leo sikutaka kulala uko Nikawa nimemaliza kazi saa kumi na moja nikawa nauliza wenyeji usafiri wakaniambia boda...
  11. Kipondo Cha ugoko

    Dalili hizi zinamaanisha nini? Naomba ushauri tafadhali

    Wakuu habari za humu! Naomba niende kwenye mada- ni wiki ya pili sasa Toka nianze kuona dalili ambazo kiukweli zinanipa wasiwasi na leo nimeona jiingie humu jukwaani kupata ushauri wa kitalamu au kimawazo kutoka kwa wataalamu wa humu ndani. Hapo kati nilipata homa Kali sana japo haikunilaza...
  12. Restless Hustler

    Naomba Ushauri: Nimepata Kesi baada ya kumpiga mvuta sigara

    wavuta sigara wanaamini kila mtu anapenda sigara. Huwa sipendi kabisaa hiyo harufu. Nimekaa kwenye benchi kijiweni nashangaa ghafla mtu kawasha kiberiti puuff. Naangalia pembeni pua yangu inanakutana na moshi mzito wa Sigara. Halafu mtu yupo comfortable kabisaa hana habari. Nikamuwasha kofi...
  13. Mwizukulu mgikuru

    Baada ya kutoa nilichojaaliwa kwa mtoto nimepata amani ya moyo

    Kuna muda nilikuwa nikikaa peke yangu najihisi huzuni sana, na nilikuwa sijui huzuni inatoka wapi. Au kuna muda mwingine nikiwa peke yangu najihisi kutaka kulia, kuna mwanamke miaka miwili iliyopita nilikuwa nae katika mahusiano. Baada ya muda akawa amepata ujauzito na alikomaa kwelikweli kuwa...
  14. She Quoted you

    Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

    Naombeni ushauri jamani, Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yaani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kanisani. Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10. Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini...
  15. Boss la DP World

    Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

    Wakuu naombeni kujua jimbo sahihi kuanzia maisha, ntashukia Toronto Pearson International Airport, simjui yeyote na hii ni visa ya matembezi tu kwenye documents niliwaambia ntakaa wiki 1 ila nimeapa abadani afe kipa afe beki sirudi bongo labda waniue. Mkisha nijulisha jimbo, mnijulishe na jinsi...
  16. Jidu La Mabambasi

    Nimepata mafua makali, homa na udhaifu wa mwili - je, ni corona?

    Mie Jidduz, mutu ya watu yamenikuta. Toka majuzi nimepata mafua ya kutisha. Pua zinawasha na kamasi inatoka utafikiri bomba linavuja. Macho yanauma, ni mekundu na mchozi ni muda wote. Juzi na kahoma kaanza na kukohoa kohoa na mbavu kubana. Hili ni balaa. Nimekula antibiotics na kujifukiza na...
  17. sky soldier

    Data usage Monitor, Mali bila daftari hupotea bila habari. Nimepata software nzuri sana ya kufatilia matumizi ya data kwenye pc, nami nawashirikisha

    Hasa kwetu tunaotumia vifurushi vya kupima kwa ndonya vyenye kikomo cha GB, Hivyo kwetu GB hizo ni mali. Binafsi kwenye Pc nimeipata hii software ya Net Traffic, ni kasoftware kadogo tu kana KB kadhaa ila kazi yake iko poa. naweza kuangalia kiasi cha data nachokitumia live, kwa saa, kwa siku...
  18. Melki Wamatukio

    Nimepata kuamini kuwa, hakuna mwanaume anayekula mke wa mtu kwa kudhamiria

    Wiki iliyopita nilikutana na mwanamke niliyefahamiana zamani sana, tena utotoni kabisaa, hata ugwadu wa barehe niliumalizia kwake, sio mimi tu, hata na marafiki zangu waliponea kwake na kwa marafiki zake kwa ujumla. Nilikutana nae maeneo ya Sinza Siku iliyofuata alinialika kwake maeneo ya...
  19. Uponyaji na uzima

    Nimepata ajira ambayo PAYE yake ni zaidi ya mshahara wa serikali nilioenda kufanyia interview Dodoma

    Mwaka jana mwezi September nilienda usahili pale utumishi Dodoma na niliweka mrejesho hapa. Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya Kimsingi mimi kama expert (niko internationally certified) sikupenda aina ile ya interview kuulizwa masuala ya...
  20. LA7

    Je tatizo hili ni facebook yangu?

    Yaani huko juu namba chochote wala sehemu ya kusearch au kuona ujumbe hakuna.
Back
Top Bottom