Kuna mrembo alinizungusha miaka mitatu.
Sms anajibu, story kwenye simu poa, kukutana maeneo tunakutana ila home hataki kuja.
Gheto langu ningeliita tu kwa Mkapa maana ukiingia hutoki. Kuna basi la xxxxx liliwahi kupinduka na kuua watu kibao na majeruhi pia, nikamfata mshkaji wangu anafanya...
Salaam wanabodi,
Ndugu zangu hasa kwa wale wapenda mbwa wenzangu watanielewa uchungu wakupoteza mbwa.
Leo ni siku ngumu sana kwangu kwani nimefiwa na mbwa watatu kwa mpigo ndani ya siku mbili nikahisi kuchanganyikiwa. Mbwa walionesha mwenendo usioridhisha kiafya kwa takribani kama wiki moja...
Habari zenu wapendwa natumai mko salama saana pole na changamoto za kila siku mnazopitia katika maisha.
Mimi ni mwanafunzi nlie maliza form six mwaka2021 na ilipo fika wakati wa kuomba vyuo nilipata vyuo vitano na nikacomferm chuo kimoja lakni pia na mkopo nikawa NIMEPATA lakini kutokana na...
Mungu ni mwema.
Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume.
Mama na mtoto ni wazima.
Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM.
Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake.
Baada ya kumaliza chuo vipaumbele vyangu vilikuwa ni fedha na mali bahati nzuri nimetafuta na nimezipata kwa sasa nina uwezo wa kutunza familia kwa asilimia mia moja hivyo
Napenda kuwatangazia wasichana wenye uhitaji wa kuolewa kwamba natafuta mke naomba tuwasiliane ili tukikubaliana na...
Nimepata ajali baada ya kumkwepa bodaboda nikakosa muelekeo nikagonga mti uliokuwa pemben ya barabara.
Mafundi naomben makisio ya gharama ya kutengeneza hii gari, Taa mbili za upande wa kulia (juu na chini)zote zimepasuka, air cleaner box limepasuka, bonet imebonyea na kioo cha mbele kimeweka...
Wadau mwaka 2017 nilifunga ndoa na mpenzi wangu F niliyedumu naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, Nadhani sikufanikiwa kumjua kwa undani kiivyo! Jambo linalonitatiza sana ni ishu ya pesa, mke wangu hawezi kutoa hata 100 kununua chumvi, mambo yote ya chakula, Ada,Kodi ya pango na matumizi...
Kazi niliiona tu kwenye site fulani inaitwa zoom nikaomba kizembe tu,last week wakaniita kwenye interview, ni wahindi fulani,leo wamenitumia email kuwa nimepata kazi na mshahara utakua laki 6 na nusu, probation ni miezi mitatu.nimeamua tu kesho nikadondoshe wino huku nikiwa naskilizia kazi...
Wakuu nafanyeje, naomba ushauri
Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.
Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.
Je niache kazi...
Mambo job seekers wenzangu.
Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales. Mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokuwa comfortable kuuza pedi hizo za wadada.
Mnanishaurije?
Baada ya kuomba kazi humu na kutumia neno kuwa kazi iwe halali ama haramu...watu wakaogopa..lakini kotekote Cha muhimu uaminifu....Sasa nimepata kazi nashukuru Mungu...ingawa sio kwa connection za JF lakini mlio Jamiiforum mnaotafta ajira msikate tamaa..Ombeni Mungu...Msi sex ndani ya siku...
Kodi ya majengo imeanza kutushughulikia, yaani Tshs. 5,000 naishia kupata Unit 8.5 badala ya 14.1 kama ilivyokuwa zamani.
Tunakoelekea kutakuwa na tozo ya tozo, maana anaupiga mwingi!
Katika pita pita zangu katika mitandao mbali mbali ya duniani kama vile tagged, tinder. badoo hatimae leo nimepata demu mzungu ambaye kwao ni CANADA.
Alianza yeye kuchati na mm baada tu ya kumjibu ndio nikaanza kupokea mualiko kwamba eti huyu demu anataka mm niende kwao nikaishi nayeye je hili...
Madam tajwa hapo juu yahusika sana.
Nimekua sekta binafsi kwa miaka kadhaa sasa, hadi kufikia kupewa madaraka makubwa tu kazini. Natakiwa kwenda kuripoti na hapa niko najiuliza namna gani nzuri ya kuaga uongozi na wafanyakazi wenzangu.
Naombeni ushauri wenu wakuu.
Nimepata wazo ila sina connection kwa mikoa yote. Mtaka baada ya kuwaapisha (au kabla) wakuu wa wilaya akatoa speech fulani yenye shibe sana. Hawakukosea kumuweka pale Dodoma.
Sasa wazo langu ni kuwa atokee mdau akusanye hotuba zote za wakuu wa mikoa wakati huu wa kuapishana ili tuwasikilize...
Husika na kichwa cha habari hapo mnamo mwaka jana niliweza post humu kuwa nimempa mimba binti wa chuomwaka wa pili mimba.
Wengi humu walitoa ushauri kwamba nisije jaribu kumwambia huyo binti atoe hio mimba wala nisikatae majukumu kwa sababu mwanakulitafuta mwana kulipata hivyo nikafuata...
OFFICIALLY NOW ON TV& RADIO.
Thanks almighty God, all my audios and Videos songs now have Copyright under ISRC(International Standard Recording Code) and can be Played anywhere all over the World and I can sell anywhere all over the World. Now I have my own Registrant code number. Join with me...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.