Wakuu nimeliweka moyoni na jaribu kulificha ila ngoja tushee labla mawazo chanya yatapatikana. Inshort natarajia kuoa japo ndoa yenyewe inapingwa kama katiba mpya na CCM na mpingaji ni mama yangu akidai hataki nimuoe huyu binti kutokana na shughuli yake.
Huyu binti ni mwanasiasa wa chama...
Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa
Mapengo
. husababisha Meno mengine Kutoka
.Meno Kuoza
.Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake
Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia
-Kutafuna Chakula Vizuri...
WAkuu habari zenu. Naimba msaada wa link ya kunisaidia kudownload facebook contact nimehangaika sana nimeshindwa kama kuna mtu ana link naimba msaada wakuu
Nimeshindwa kupata Capacitor ya 9uf 450 vac kwa ajili ya Washing Machine, madukani Kariakoo zinazopatikana ni 10uf 450vac au 8uf 450vac, wapi naweza pata hii ya 9uf 450 vac?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mtafaruku ni Mkubwa. Huu mwaka naona unaisha vibaya Mno. Kama sitakuwa macho nyumba yangu inaweza kuvunjika.
Sorry nianze kwa Salamu maana Leo mtanifaa Sana kwa ushauri Bora.
Assalam alyekum kwa Waislam,
Tumsifu Yesu Kristo kwa Waislam.
Wapagani, salama...
Habari wanajukwaa.
Huwa sipendi kuweka mambo yangu ya mahusiano wazi lakini hili limekuwa gumu nisaidieni
Kama nilivyoandika hapo juu:
Yangu nikiwa ndogo wanawake wadogo Kwa wakubwa wamekuwa wakivutiwa kufanya ngono NAMI
Nakumbuka nikiwa mdogo kabisa na nikiwa sijui chochote, kuna Binti wa F4...
Watu wanaweza zan nazingua lakin kifupi nimechanganyikiwa sidhan kama n kweli
maana hamna ninae mdai
sifanyi kazi na sina mtu wa kuniwekea hii hela kama kweli ndio yenyewe
Iko ivi nilikopa laki 4 sehemu nilikha na kazi nayo jamaa ameniwekea amenitumia na msg ya muamala kwenda kuangalia nakuta...
Initially I was low-key loving it.
Not because it’s the right thing to do [what’s happening to them].
As a matter of principle, I don’t countenance it.
But, just out of spite, I’m Mickey D’s lovin’ it.
Walizidi mno kuchonga midomo yao kana kwamba hayo mambo yalianzia wakati wa Ngosha tu...
Baba yangu mzazi alihamia Dar es salaan mwaka 1968, akiwa kijana,
Tangu miaka hiyo mpaka anazeeka alienda kwao nara chache sana,niseme tu hakupapenda kwao,maana hakujenga hata slope kule kijijini.
Siku zote alikuwa akisema akifa azikwe hukuhuku mjini,manispaa ya ubungo kuanzia kimara mpaka...
Kwa wakati huu niko mpweke nimejiegesha kichwa hakisomi kabisa nimejikuta namiss kuona sms ya baby nimeshindwa kulala nakuwaza ama nyinginezo kama hizo.....daah upweke unaumaa(in voice of mama ndege sjui nan yule wa junior jumbo)
Sijui Kuna watu wa aina yangu yaani nikiangalia mpira wa Tanzania naona kama uchafu Fulani hivi jumlisha na viwanja vyao wanavyochezea kama kwenye matuta ya viazi basi naona kama jalalani mfano hizi timu za simba na yanga naonaga watu wanabishana mpaka kutukanana na kununua vijezi vyao ambavyo...
Watu wa Tanga mnanishangaza aisee sie Wanawake wala wanaume Wote ni mwendo wa kudanga tu ili wapate pesa Za kula ila kufanya kazi hapana wananishikitisha Sana hawa watu wanaudhalilisha uislamu na kuonekana ni dini ya watu wasiopenda kufanya kazi kumbe Hapana ni watu tu wenyewe aisee
Tanga...
Nimeshangaa Sana kukosa huduma ya TRA (KULIPA KODI) kisa sijapanga fremu. Dunia ya Sasa haihitaji watu kuwa na fremu au kuwa ofisini ndiyo wafanye biashara. Kuna baadhi ya biashara ambazo zinaweza fanyika online vzuri Tu bila hata kupanga fremu.
Kuna haja ya TRA kuja na mawazo mbadala, online...
Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki?
Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana Makombora 300 plus si kitu kidogo wadau. Au nasema uongo? Lakini nashangaa bado makafir wanadunda...
Wakuu natumai mko poa kabisa
Mimi ni kijana ambaye nimeamua kuwa muwazi kuwa asiyekubali kushindwa si mshindani.
Jiji la Dar es Salaam limenishinda, Nimekubali na sitaki tena maisha ya jiji lolote. Sina degree, diploma wala cheti chochote, pesa yote niliyokuwa najichanga mwisho wa siku...
Eti ebu njooni mnijibu sisi sijui tutaolewa na nani?
Mwanaume akikutongoza sasa hivi anakuuliza unaushi wapi, ukimwambia nyumbani
Anakuuliza tena kwako au kwenu?
Sasa ukijiroga ukasema unaishi kwako, basi ataanza nataka kuja kukusalimia ukikosea tu ukamkaribisha atakukula humo humo ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.