Huenda ni kiandika haya naweza kupata faraja na comfort kutoka kwa wadao walio wahi kupitia hali kama hi (death trauma). Tarahe 13 June mwaka jana nilipoteza mama angu kipenzi, ni lipitia wakati mugumu sana kukubaliana na ukweli kama mama amefariki kweli, cijawahi kulia tangu ukibwani ila ni...
Wakuu mbona Dream League nikiingia playstore niambiwa UNAVAILABLE IN YOUR COUNTRY halafu nikidownload kupitia google linagoma ku install inaandika HUENDA KIFAA KIMEHARIBIKA
naomba mwenye kujua link unipatie ni download
nahitaji dream league ya 2018 au 19
Nimejaribu ku rent ama kununua nikashindwa kwa sababu ya billing address nje na US . Payment inaonyesha in $ tu. Please mwenye msaada ili tuangalie wote ubunifu wa mkuu wa machifu wetu naomba msaada.
Baada ya kuiona trailer ya documentary ya Royal Tour na kufahamishwa kuwa ipo Amazon, niliamua na mie ngoja nilipie kuiangalia. Ajabu ni kwamba nilipotaka kulipia nilipata ujumbe kwamba kwa kuwa credit card yangu sio ya USA basi siruhusiwi kuilipia.
Hivi huu ubaguzi hadi kwenye credit card?
Habari wana Jf,
Nimeshindwa kuendelea na masomo yangu ya mwaka wa pili katika ngazi ya digrii course ya Procurement and supply management. Changamoto ya ada inanifanya nipostepone mwaka, kuanzia February niko room na shosti wangu vyuma vimekaza.
Niko dodoma, ninakuja kwenu kuomba msaada wa kazi...
Habarizenu humu!
Baada ya salamu,naomba niwasilishe changamoto ilionifanya niandike leo, mimi nimuajiriwa kwenye organization ABC, kwa bahati mbaya bado sijakabidhiwa kazi rasmi yaani nipo kwenye kipindi Cha mafunzo, shida iko hapa.
Eneo lakazi nimekuta wafanyakazi wazoefu tu was muda, Kuna...
Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi.
Leo wakati tunapiga story kaniuliza, Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu, mpaka sasa najiuliza maswali yafuatayo:
1. Huyu kweli anaweza kuniroga?
2. Hili...
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema alijaribu kufanya Shahada ya Uzamivu lakini kutokana na majukumu mengi ameshindwa huku akisema ataimalizia baadaye.
Mkuu huyo wa nchi amesema hayo leo Alhamishi Januari 27, 2022 wakati wa mahojiano maalumu yaliyorushwa na Shirika la...
GENTAMYCINE hivi ni kwanini Siku hizi hapa Kwenu nchini Tanzania kila kukiwa tu na Shughuli ya Kitaifa Uhuru au Muungano au Mapinduzi mnapenda mno Kuwaonyesha Makomandoo wenu wakifanya Mambo ya Kimedani?
Hii ina faida gani hasa kwa Watanzania wengi wasio na uhakika wa hata Maisha yao na...
Mtu ambaye amepitia struggle ya kudaiwa kiwango cha pesa ambacho kipo nje ya uwezo wake atakuwa ashaelewa nini namaanisha.
Mfano unafanya kazi unalipwa 500,000/= per month una madeni sehemu tofauti lakini Total ya madeni yako ni 10,000,000/= ikumbukwe kwamba kwenye hayo madeni kuna madeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.