nimeshindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Sijaona faida yoyote kuacha pombe, nataka niendelee kunywa

    Wakuu, Kuna muda nilisitisha pombe ila sijaona faida yoyote. Jana nimekunywa kreti nzima ya bia naona niko vizuri. Naona mambo ya kuacha pombe nipige chini.Ndo naanza tena upya hapa, kama unataka nicheki nikutumie hela unywe ka kreti na wewe
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Kilichotokea Singida FG nimeshindwa kukiweka Kihasibu

    Singida Fountain Gate FC ipo nafasi ya sita na alama zake 16 baada ya michezo 16! Mwendelezo wake umekuwa si mzuri inawezekana hii ni baada ya kuondeokewa na nyota wake kadhaa waliojiunga na Ihefu wakati wa dirisha dogo la usajili. Kumekuwa na story nyingi kuhusu uendeshwaji wa Singida Fountain...
  3. Stroke

    Nimeshindwa kutoa pesa kwa wakala mimi nataka pesa yeye ananiambia toa TU

    Wakuu nimeshindwa kufanya muamala hapa maana huyu wakala ananichanganya hapa. Nimemwambia nataka nitoe pesa yeye ananiambia toa TU. Sasa mimi hiyo TU sina nina pesa nataka niitoe. Nimejaribu kuuliza kama kuna mwenye hiyo TU anisaidie hakuna. Naombeni msaada hiyo TU ni nini na inapatikana...
  4. monotheist

    Nimeshindwa kununua TV ninayoihitaji Kariakoo

    Wiki iliyopita nilienda kkoo kwa lengo la kununua tv hasa hisense smart 43 inch na nilizunguka maduka mengi ya pale kkoo ila na huwa napenda kuuliza maswali ya kutosha kabla sijanunua bidhaa husika lakini majibu niliyokutana nayo kutoka kwa wauzaji yanashangaza. Kutokana na maswali niliyokuwa...
  5. Mr George Francis

    Nimeshindwa kukusaidia leo usinichukie, kesho yetu ni fumbo

    NIMESHINDWA KUKUSAIDIA LEO USINICHUKIE, KESHO YETU NI FUMBO. Based On True Story Miaka kadhaa iliyopita, rafiki yangu wa miaka mingi alipata ajali mbaya sana. Ilibidi afanyiwe operation ili kuokoa maisha yake. Nikiwa kama rafiki yake wa karibu, alinipigia simu kuniomba nimtumie kiasi fulani...
  6. S

    Sio mpenzi wangu lakini kaninunia sababu nimeshindwa kumkopesha pesa

    Kuna binti mmoja nilipata kujuana nae baada ya kukutana kwenye kazi ya muda ambayo tuliifanya kwa muda wa miezi 6. Baada ya ile kazi kuisha kila mtu aliendelea na harakati zake zingine lakini bado tulikuwa tutawasiliana mara mojamoja. Kuna siku alinitumia link ya group la ajira lakini...
  7. Crocodiletooth

    Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

    Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu. Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe...
  8. comte

    Nimesoma nimerudia kusoma na kusoma ila nimeshindwa kuielewa hii habari ya US Dola na mafuta

    Dola 747 milioni zahitajika ununuzi wa mafuta Dar es Salaam. Mjadala wa kunusuru mkwamo wa waagizaji wa mafuta huenda ukafikia ukomo endapo Serikali itawezesha upatikanaji wa Dola 747 milioni (Sh1.9 trilioni) kwa ajili ya kufuta malipo ya bidhaa za petroli zilizoingizwa nchini kati ya Machi na...
  9. KENZY

    Akina dada heshima ni kitu cha bure!

    Kwa nilivyokereka hakuna salamu hapa! Baada ya kumfatilia kwa wiki kadhaa akaingia line, toto fulani hivi nyeupe ndefu yenye kiuno nyigu, tunasema figure ya kimataifa. Figure ambayo hata tozo unalipia na chenchi inabaki! Anamidomo yakuumana,shingo yenye vimistari vya utamu utamu, kifuani...
  10. Dcxkobe

    Nimeshindwa nicheze game lipi

    Mimi napenda magemu ya story hasa ya kivita Ila kila mtu anataja Aya pugb.call of dirty.modern combat nimeshindwa nicheze lipi Sasa nzur Zaid ya yote naomba mpendekeze moja tu ambalo mnahc n Bora kuzd yote
  11. Chizi Maarifa

    Mchumba wangu anaweza niua. Naona niachane naye tu nimeshindwa mimi

    Week ya 3 hii nakaa naye amehamishiwa kikazi Dar. Maana alikuwa Dodoma. Nikamsaidia arudishwe Dar ili tuwe karibu. Michakato yote nimeifanya mimi kwa pesa zangu. Hatimaye kahamishiwa Dar. Amekuja amefikia kwangu na tumeanza kufanya mazoezi ya Ndoa. Lakini nashindwa kuvumilia. Mambo kadhaa...
  12. DR SANTOS

    Nimeshindwa kabisa kuacha kamari wenzangu mliwezaje?

    Ninapozungumzia kamari siyo hii mikeka ya jero. Nazungumzia spin and win, Trukey, Russian and European roulette, poker, black jack, Barrancas wheel of fortune nk, hizi unacheza na dealers yaani ni kugongwa tu. Kuna movie zinaitwa 👉God of gamblers 1, 2 , 3 weonesha uhuni wote unaofanywa na...
  13. Chizi Maarifa

    Mimi ni Mzalendo sana. Ila katika hili mimi nimeshindwa kabisa

    Mimi Mzalendo sana tu. Ila ukiniambia nivae nguo yenye mirangi ya bendera yetu ntakukatalia mpaka mwisho. Bendera yetu ina mirangi mibaya. Haipendezi kwenye tai wala jersey. Kwenye tai labda iwe tu Blue au Nyeusi pekee. Lakini eti univalishe li tshirt,tai au bendera yenye ile mirangi...
  14. Peril22

    Nimeshindwa kuvumilia, naomba msaada wenu jinsi ya kuachana na mzazi mwenzangu

    Habarini za asubuhi waungwana. Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapa HESHIMA ya pekee wale wote mlioko kwenye ndoa. Turudi kwenye mada, Nimebahatika kupata mtoto na sasa ana miezi miwili, lakini vitimbi ninavyokutana navyo kwakweli nimeshindwa kuvumilia. Ombi langu kwenu ni hili, nahitaji...
  15. Komeo Lachuma

    Nimeshindwa kumshauri labda mumshauri ninyi

    Huyu dada ni rafiki yangu kibaruani, tunawekana sana wazi, hatuwekeani siri. Sasa toka wiki alikuwa anawaza sana na leo kaona aniambie jambo. Anasema imetokea kama mara tatu sasa, anapofanya mapenzi na jamaa yake jamaa anapomaliza anaenda na haja kubwa hapo hapo. Anasema mara ya kwanza ilitokea...
  16. adriz

    Mlioacha kutumia pilipili mliwezaje? Licha ya kunidhuru kila ninapotumia nimeshindwa kabisa kuacha ulaji wake

    Habari za muda huu wana JF, Nimekuwa mtumiaji mzuri wa pilipili tokea udogoni mpaka sasa mpaka kuna kipindi nikawa ninajiuliza hivi wapi kuna mashindano ya ulaji wa pilipili na mimi nikawakilishe vizuri taifa langu? Na kwangu chakula chochote bila pilipili kwangu naona hakina maana na mzuka...
  17. The unpaid Seller

    Wanawake hebu kuweni makini na ikulu zenu kama kukiwa na harufu inakata mzuka wote

    Peace be with you all, Week hii niko Dodoma kwa masuala fulani. Jana jioni baada ya mizunguko wakati narudi hotel (Morena hotel) kabla sijafika round about kutokea Mipango nikamuona kimwa asee kimwana haswaa. Demu ni mkali hatari sikua na mzuka na wanawake kutokana na deal fulani kwenda ovyo...
  18. MSAGA SUMU

    Nimeshindwa hata kula

  19. JanguKamaJangu

    Mwanajeshi ajinyonga, aandika ujumbe kwa mke wake "Naomba uwatunze watoto nimejitahidi nimeshindwa"

    Askari wa jeshi la Wananchi la Tanzania aliyetambulika kwa jina la William Chacha Giriago mwenye umri wa miaka 40 amekutwa amefariki kwa kujinyonga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, RPC Martin Otieno amesema mtu huyo amejinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali yake aliyokuwa ameufunga kwenye...
  20. Ryder2

    Mrejesho: Nimeshindwa kuziacha beta blocker ila nimefanikiwa kupima tena upya vipimo vya ECHO na ECG

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa kifupi nimekua nikitumia beta blocker kwa takriban inaelekea kufika miezi 8 hivi na baada ya muda kidogo kuringana na ushauri wa doctor kwa kuniambia niache kutumia hizi dawa beta blocker (NEBIVOLOL 5MG TAB), hivyo nikaona sio mbaya kuziacha nikajaribu...
Back
Top Bottom