Dada angu kaolewa miaka karibia 10 Sasa , ana watoto watatu , wamejenga nyumba, na wanamiliki mashamba makubwa ambayo Yana mazao kila mwaka wanavuna.
Bwana ake (shemeji) mpaka Sasa hajamtolea mahali dada angu tumejaribu kufwatilia kama family bwana shemej anapiga Kona Kona nyingi sana , Hilo la...
Hivi nikiwa nime-switch off TV namna hii na hicho kitaa chekundu kikawa kinawaka ina maana still TV inaendelea kutumia umeme na kumaliza luku yangu na ikikaa muda mrefu sana TV inaweza kuungua.?
Au inatakiwa ni-switch off switch ya umeme kabisa.?
Ni vitu vidogovidogo Ila kwangu ni muhimu...
Ward tribunal kwa sheria ya sasa (mabadiriko ya 2021) wanafanya mediation.
Swali langu ni hili: Mediation ikishindikana, nani anapewa certificate ya ku certify failed reconciliation. Je ni yule aliyeleta hoja kwenye ward au hata yule mwingine anaweza kupewa certificate?
Jamani naomba kuuliza juu ya chuo Cha CBE Dodoma ni kizuri Kwa mandhari na vp kuhusu elimu au taaluma inayotolewa pia nishaurini chochote juu ya chuo hiko, manake nimechaguliwa IT CBE Dodoma, na Marketing CBE DAR
Niende wapi?
Habari,
Mimi ni recent graduate wa Bsc. Environmental Sciences and Management kutoka SUA.
Naombeni mnishike mkono kwa yeyote mwenye kazi ya halali walau nipate chochote kitu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Inatokea nadate na mwanamke, kwa muda mrefu, au muda mfupi, let's say miezi mitatu, au mwaka. Hapo unakuta manzi ananiimbia, nyimbo za malengo ya ndoa. Hata kama anajua fika kuwa nilimnunua baada ya mitongozo kusua sua. Mwamba naapply pesa. Dau linatiki na hii mbinu haijawah kuniangusha.
Sasa...
Kwa nje kama mita 8 hadi nje nyumba ndio kuna banda la umbwa.
Nimeanza kutumia dipu kuoshea mbwa, vp kuhusu hivi viroboto vilivyoingia ndani naweza kuvimalizaje kabla havijawa chroic?
Sasa imekuwa too much yani mivumo na sauti za kengele , muda mwingine masikio yanawasha muda mwingine una hisi masikio kama yamejaa.
Uliwahi kupata hii hali? Tusaidiane namna uliyoweza kujinasua.
Kwa mazingira yetu yalivyo ni vitu gani vya kunoga ambavyo havimalizi hela yaani cost yake almost equal to zero.
1.kuogelea bahari ya hindi
2.kufuga bata lengo uwe unakula pilau na bata
3.gongo+mnazi (tembo)
4.x +punyeto
5.download movies kwenye wi-fi
6.audiomack
7.jamiiforum
8.mke mrembo...
Wakuu jana niliota nimekufa hadi msiba wangu ulitokea na nilikuja kukufuka na wakabomoa jeneza kunitoa kabla ya sijazikwa
Kuna maana yoyote hapa au ni muvi tu za usiku?
Mshana Jr Da'Vinci
Hi JF.
Ndugu zangu naomba mawazo yenu.
Ni hivi, kuna nyumba iko hapo Mbezi Maramba mawili naona kama nilipoteza muda na hela zangu bure coz haina faida yeyote kwangu tokea nimeijenga.
Ilipokamilika nilimpa uncle wangu na wife wake wakae. Baada ya miaka 3 ndugu akajiongoza akaenda panga 2...
Nimetafakari na kuona mwelekeo ulivyo na pia vitendea kazi kufanana kama vile bendera zao je nikisema Yanga ni CCM na Simba ni Chadema nitakosea Naomba maoni.
Kufa tutakufa kikubwa kujiandaa ,Asalam aleykum wanajukwaa hiyo ni salamu kwenu.
Tafadhali nina shida na namba za simu au mawasiliano ya aina yoyote kwa wasanii wafuatao nahitaji ikiwa unazo namba zao ,naomba usisite kunisaidia maana Kuna mahali wanahitajika sana.
BONIPHACE MWAITEGE, BAHATI...
Mwanzo ilikuwa kioo hakina mwanga kinaonesha kwa mbali baada ya kubadilisha mara fundi anasema simu haiwaki na mapa sasa haiwaki shida inaweza kuwa nini
Wakuu, mimi nimechoka kupiga puli, nimechoka kulala peke yangu, nimechoka kuvaa nguo za kurudia, nimechoka kula kwenye mgahawa naogopa kulea watoto nikiwa mzee, mtu mwenye dada au ndugu wa kike tupeane connection mimi niko tayari kuoa.
Umri wangu miaka 32.
Kazi bado sina ila najishughulisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.