nisaidieni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. cyrax

    Nimekwama wapendwa, nisaidieni nipate kibarua

    habari zenu wana JF, nimekuja tena kuomba msaada wa kibarua hali imekuwa ngumu, baada ya kuzunguka kutafuta ajira rasmi ya kufundisha kwenye shule bila mafanikio niligeukia kwenye kazi za vibarua kwenye ujenzi angalau niweze kulipa kodi na chakula hapa mjini Dar es Salaam. Wiki iliyopita...
  2. N

    Natafuta kijana mwenzangu tuchangie kodi ya pango wakati tuna-hustle kutafuta maisha

    Habari Wakuu, Kabla ya yote naomba Nikiri kwamba Hali ya maisha imekuwa tough Sana especially kwa sisi vijana tunaohustle kuanza maisha Bila ya kuwa na blueprint ( ramani) ya kueleweka ya kutupatia regular income hapa mjini. Binafsi ni kijana ambaye nimeamua kung'atuka nyumbani na kuja apa...
  3. Clever505

    Ni jambo la muhimu sana lakini hataki kuniambia ukweli. Nisaidieni...

    Habari zenu wanaJF! Ni hivi, kuna msichana mmoja nilizoeana nae sana kipindi alipokuwa ameolewa. Kuna kipindi ndoa yao iliingia dosari akaachana na mumewe wakiwa na mtoto mmoja, kiufupi huyu msichana hakuwa na kosa la kuachwa Ila mumewe alifanya maamuzi haraka sana ya kumuacha kwa mambo ya...
  4. U

    Naomba kujuzwa gharama za ujenzi wa mashimo ya maji taka kwa mkoa wa Mbeya

    Ninaomba mnieleweshe kuhusu ujenzi wa mashimo ya maji taka (Septic tanks) hapo Jijini Mbeya huwa mnayajengea ndani kwa kutumia nini Kati ya vifuatavyo: 1) Mawe 2) Tofali za kuchoma 3) Tofali za saruji Msaada Tafadhali.Nimeomba wenyeji wa Mbeya mnisaidie kwa sababu nyie ni wazoefu wa hasa udongo...
  5. masopakyindi

    Jamani nisaidieni, huyu dada nimempenda bure!

    Jamani tuache utani, Miss Tanzania wangu nimempata. Huyu dada nimempenda kwa jinsi alivyo. Smile nzuri, kasuka vizuri, na ni mzuri. Miondoko ya madaha, na anonekana binti wa heshima. Aliyemwibua huko alikokuwa hajulikani namshukuru. Mwenye contacts zake naomba anipatie. Serious nimeitazama hii...
  6. Naanto Mushi

    Nisaidieni mbinu za kupambana na huyu jirani 'mwizi wa umeme'

    Hii nyumba ninayoishi tupo wapangaji watatu kwenye compound moja. Nimehamia hapo huu ni mwezi wa pili unaenda kuisha. Ndani ya hizi wiki chache, nimeona mabadiliko makubwa ya matumizi ya umeme. Mwanzoni ilikuwa natumia wastani wa unit 2.4 kwa siku, ila kwa sasa imepanda mpaka 3.6 kwa siku...
  7. R

    Pdf activation inakataa, nisaidieni

    PDF inakataa kufanya kazi mpaka iwe activated. Nisaidieni nifanyeje iwe activated?
  8. Darucha

    Msaada jinsi ya kuupata wimbo huu wa zamani (zilipendwa)

    Jamani natafuta huu wimbo muda mrefu Bila mafanikio sijui jina lake staili ya uimbaji ni kama ya magic system au papa Wemba ile nyimbo kama sio mkongo aliyeimba Basi ni watu kutokana West Africa au central Africa hii nyimbo inaimbwa kwa mtindo huu naandika Kiswahili. "Kiberenge kinaokoaaaa...
  9. trisha cute

    Sijawahi kuumia kama nilivyoumia hivi sasa nisaidieni

    Habari ndugu zangu! Nimeachana na mtu niliekua nampenda sana tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka 2 na tumeachana baada ya yeye kuniambia ukweli kuwa ameoa tayari ana mke na mtoto mmoja. Last week aliniomba tukutane akemi kwa ajili ya Dinner then baada ya hapo ndio akanitamkia haya...
Back
Top Bottom