Kwa masikitiko makubwa, mchana huu nimepokea taarifa ya "Nahisi ni mimba."
Ujuwe nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa kama hii, lakini leo nahisi kichwa kimewaka moto na nimekosa utulivu hadi kwa mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe.
Sijawahi kumpenda bali ni nyege...
Habari zenu,
Nauliza hivi; wamiliki wa Makampuni ya Ulinzi Binafsi wao wanapataje faida? Nimeuliza hivyo kwasasabu usajili wa Makampuni ya Ulinzi Binafsi unaongezeka kila kukicha na inavyoonekana ni biashara nzuri.
Nawasilisha.
Wachawi wanachukua sura yangu wakati wa Usiku kwenda kuwanga.
Nashangaa naambiwa mi mchawi wakati sijawahi kuwa mchawi nilipofatilia nikaambiwa wachawi ndo wanatumia sura yangu na kunishikisha uchawi bila Mimi kujua.
Wakuu akina Mshana jr na wengineo nisaidieni nitumie mbinu gani kujikinga!?
Habari wakuu, nina mdogo wangu wa kike ambaye ana shahada ya HR miaka 26, naomba msaada wenu apate kazi yoyote ndani ya Dodoma au Dar(sababu ya sehemu ya kuishi) pia ni mzoefu kwenye kazi za mahoteli na kuuza mafuta (sheli), kwasasa yupo tuu nyumbani naona anakata tama, atayeguswa naomba...
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.
Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na...
1. Pua za Panya zipoje kwani nimetoka Kula Samaki na kwa Makusudi nimebakisha baadhi (tena Kufunga katika Mfuko usiopitisha Hewa) ili Kesho Asubuhi niwape Paka wanaojiandaa Kuniwangia na Kunilimisha Mzanaki Mimi Usiku huu nikilala ila nashangaa Panya wameshajua hadi nilipoficha na sasa wananilia...
Nisaidie maelezo ya hizi sections by giving ILLUSTRATIONS
17. (1) Where a person, who would, if he were living, have a right to institute a suit or make an application, dies before the right accrues, the period of limitation shall be computed from the time when there is a legal representative...
Habari za Mahangaiko Members.
Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam.
Elimu yangu ni ya Form Six
Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi.
Nimeandamwa na malimbikizo ya Kodi ya CHUMBA.
Mungu amguse yeyote mwenye uwezo wa kutoa Msaada kwangu...
Hapa panawahusu wadada so naomba nijibiwe na wadada.
Mie sio mtaalam sana wa vitu vya kike vilivyo kwenye trend. Ila nataka kumnunulia wifi yenu zawadi kwa ajili ya valentine so ninataka kununua kidogo kidogo mpaka siku hiyo maana mwaka jana sikumnunulia zawadi alipoa mpaka nikakosa raha...
Ndugu wanajamvi habari zenu,
Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale
Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!!
Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
INTRODUCTION
Ni mdogo angu (family friend).
Kwao ni wa mwisho kuzaliwa (last born).
Ana miaka 26 na ana mtoto mmoja wa kike.
Yeye na huyo baba mtoto waliachana ila mtoto anatunzwa fresh.
SCENARIO
Huyu binti Wana JF ana hasira sana. Na hapo mwanzo nilishawahi kumuhoji akasema ""Muda mwengine...
Ukweli ni kwamba tuna aina ya upinzani dhaifu sana katika nchi yetu, upinzani ambao huoni mwelekeo wake katika siku za hivi karibuni ama siku nyingi zijazo.
Jambo hili linaniumiza sana moyo wangu kama mtanzania mzalendo mpenda nchi, kwani naamini kwamba bila upinzani madhubuti ni nadra kufikia...
Habarini wanaJF, Natumaini ni wazima wote
Kwenda moja kwa moja kwenye hoja yangu. Mimi ni mhitimu wa chuo mwaka huu mwezi wa saba. Kiukweli napata changamoto kwa wazazi wangu kwa sababu kila fursa nikijaribu kufanya wananiambia hio sio hadhi yangu(fursa za halali).
Lakini cha kushangaza mimi...
Ndugu zangu wanajamvi habarini.
Mimi mwanenu na ndugu yenu nimekumbwa na tatizo, uume kusimama ka ulegevu na kuwahi kufika kileleni within a minute. Naomba msaada sana ndugu zangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.