nisaidieni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Leo naenda kula bata Mbezi - Kimara. Nisaidieni viwanja

    Leo nataka nikale bata mazingira ya Mbezi - Kimara. Sehemu nzuri classic yenye music na totoz wasafi wasafi sio machangu. Nile na kunywa na kutengeneza connection. Wenyeji nipeni suggestion ya places nzuri.
  2. Z

    Msaada kujuzwa yafuatayo kuhusu utungwaji wa mimba

    Habarini wana JF, naombeni kuwauliza yafuatayo: 1) Hivi inawezekana mimba kutungwa endapo mwanaume katumia kinga kikamilifu (condom imara aina ya rough rider) na kinga hizo hazikuharibika hata kama mwanamke akiwa kwenye siku za hatari za kushika mimba? 2) Inawezekana kipimo cha ultrasound...
  3. Wataalam wa umeme wa solar nisaidieni hapa

    Wakuu naomba mawazo yenu. Nipo Huku Kijijini na umeme wetu hasa ni solar power. Kwenye vifaa vyangu Nina Inverter Ila tatizo la hii inverter ni kwba inatumia sana hali inayopelekea umeme kuishe na taa kushindwa kuwaka. Je, kwa hali ya kawaida ninaweza kuondoa feni ya inverter, ili kupunguza...
  4. R

    Wanasheria nisaidieni

    Kuna mtu ali mortgage shamba lake some 50 yrs back from today. ameshakufa sasa watoto wake wanaingia kwenye shamba na kuchua mazao wakidai ni shamba la baba yao. Nifanyeje? 1. Je kuna limitation on mortgage land? 2. Je as a plaintiff can I use limitation (if it is there) as a sword (as opposed...
  5. C

    Dededege inamtesa sana mwanangu, wakuu nisaidieni dawa

    Habari ya mudaa huu wakuu, nilishawa kuja kuomba ushauri kuhusiana na tatizo la mwanangu, baadhi ya watu walipa ushauri tukafanya CT SCAN pale benjamini lakini hakuwa na tatizo lolote kwenye kichwa. Nimerudi tena wakuu, naombeni msaada maendeleo ya ukuaji hayasongi mbele, mtoto anamiezi 16...
  6. Nisaidieni dawa ya mguu kuvimba

    Wakuu habari Naombeni mnifahamishe hili ni tatizo gani na linatibiwa aje? Asanteni.
  7. G

    Kwa walio kwenye mahusiano nisaidieni na hili

    Je huwa mnafanya nini ili kupunguza stress zinazojitokeza katika mahusiano yenu?🤔🤔
  8. B

    Nisaidieni suala hili kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania

    Habari zenu wadau wa JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninaomba nipate maoni yenu kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania. Ninataka kuanzisha kampuni ambayo itajikita katika ununuaji na uzalishaji wa bidhaa za kilimo ndani na nje ya nchi. Je ninaweza nikaanzisha kampuni ya...
  9. Madaktari na wataalamu nisaidieni

    Nimeoa toka 2020,Mimi na mke wangu tumefanya juhudi mbali mbali za kupata mtoto, lakini mpaka sasa imeshindikana. Mke wangu anaingia period kama kawaida japo sio kwa mzunguko ulio rasmi unabadilika badilika. Anaweza akaingia kwa 28,35,40 sometimes hata 50 days. Mliowahi kuingia kwenye hali kama...
  10. Nisaidieni, najihisi kabisa nimepewa limbwata

    Kuna binti anaishi Msasanu, Uswahilini kule Makangira, huyu dada mwenye watoto 3 nilikutana naye mwaka 2019 siku chache kabla ya XMas. Nilimfahamu miaka mingi nyuma tukisoma enzi hizo Kinondoni Muslim yeye alikuwa mbele yangu madarasa mawili, nilishawahi kumtokea lakini akanikataa enzi hizo...
  11. Ufafanuzi kuhusu Kazi na Majukumu ya Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji(EWURA CCC)

    UFAFANUZI WA TAARIFA ILIYOCHAPISHWA KWENYE UKURASA WA JAMII FORUM TAREHE 17.03.2019 KUHUSU EWURA CCC Tarehe 17.03.2019 kuna mdau ameandika taarifa inayolenga ama kwa kufahamu ama kwa kutokufahamu kupotosha umma wa watanzania kuhusu kazi na majukumu ya Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za...
  12. Msaada

    Hellow guys naomba usaidizi kwa aliye na group la kidato cha sita private candet arts combination's especially HGK OR HGL wanaotaraji kufanya mtihani mwakani please tuwasiliane tafadhari kama upo kwenye group lolote lile
  13. Orodha ya ndoto (karibia zote) na maana yake

    NDOTO ZA UTAJIRI 1. 777 -Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7. 2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA. Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k 3. Kuokota pesa za sarafu za zamani. 4. Unafanya mtihani na umefaulu kwa alama za juu hadi unasifiwa. 5. Mwanamke kuota amejifungua mtoto wa kike...
  14. Nisaidieni kupata wimbo huu wadau

    Kwanza moderator naomba usiupeleke uzi huu kule kwingine maana kule sijapata msaada Wimbo wenyewe unaimbwa... "Nalia woo wooo, nalia sana woo wooo ×2 Nataka kuwa mimi milionea, uwezo sina woo wooo Nataka gari ya kutembelea, uwezo sina woo wooo Masikini nadharaulika hapa duniani woo wooo Sina...
  15. Nisaidieni kumuelewa huyu mwanaume

    Hivi mwanaume unakuwaje hueleweki, ulikua na crush na mdada wa watu mwaka mzima mkavunja ukimya mkawa kwenye mahusiano. Badae unaanza kubadilika unapunguza mapenzi, mwenzio anakuuliza kwanini unabadilika, unadai unaogopa udate naye hata miaka mitatu alafu usimuoe, na mtu hata hajakuambia...
  16. S

    Nisaidieni hii hesabu ya makato kuhusu kodi ya TRA maana nahisi nahujumiwa

    Wakuu habari za muda huu. Kuna kampuni hivi jina niipe jina la X imefilisika, kwa hiyo ikabidi wafanyakazi wasitishiwe mikataba yao (redandacy). Hivyo basi kwa sababu hilo suala liko kisheria (kupunguzwa kazini) ikanibidi na mimi niwemo kwenye orodha ya wanaopunguzwa kazini. Sheria zote...
  17. Nisaidieni Ndugu zangu

    Wakuu habari!!! Natumaini tuko poa sote,na kwa wale wapitao katika magumu Basi Mungu aweke rehma zake mambo yaweze kuwa mepesi. Tuje kwenye mada,ndugu zangu Mimi ni baba wa familia ya watoto wawili na mke mmoja. Nimeamua nije kwenu nahitaji msaada maana duuh!Hali inakoelekea naona mwanga...
  18. D

    Wahusika NIDA msaada tafadhali

    Hellow, naombeni msaada wenu. Nina shida kwenye namba yangu ya NIDA. MAJINA yangu yalikosewa kwenye NIDA Jina la katikati likakaa mwisho na la mwisho likakaa katikati yakatofautiana na ya kwenye vyeti vyangu vya taaluma Nikafuatilia ofis za NIDA wilaya , nikaelekezwa cha kufanya nkafuata hatua...
  19. Jamani nisaidieni real story imenikuta leo hii sasa hisia zitaushinda mwili, maamuzi yatakua magumu mno

    Hello guys samahani mimi ni kijana miaka 23 nipo chuo mwaka wa pili UDSM, nilikua na mwanamke wangu ambae tumedumu kwa miaka takribani 7 sasa tangu form 2, mwaka jana nilimpatia ujauzito kwa mwanzo niliutumikia fresh japo tupo mbali me nipo dar ye yupo msoma, shida ni kwamba kuna mda life...
  20. Wataalamu mlobobea na dawa za binadamu nisaidieni kuelewa hii relaxation effect iliopo kwenye dawa za 'Action'

    Hello bosses and roses..... Kuna muda nilikua napata sana maumivu ya kichwa ila hospitali hawakunipa majibu yoyote ya kunisaidia. Hii ikafanya nitafute dawa tu ambayo itakua inanituliza maumivu ya kichwa yakianza. Nilijaribu panadol ikafeli, dawa tatu ikafeli. Nikaja kujaribu hizi 'Action'...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…