Wana-JF, mimi nawasalimia. Kwa muda sana natafakari haya maisha ya hawa vijana hususani wa kitanzania, ambao wanakataa ndoa. Kwa tafiti zangu 'informal', nimebaini kuna tatizo kubwa sana linapelekea hili. Nalo si jingine, ni NJAA.
NI wazi, usipokula lishe bora, hata akili yako haifikiri vema...