"Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi"
Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒
Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?
Habari za Muda wana jf na natumaini wote ni wazima.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada.
Binafsi nimekuwa nikiagiza vitu online hasa aliexpress na mara moja moja kikuu. Nimetokea kutamani sana hii fursa na kuifanya kama sehemu ya plan C katika kutafuta kusukuma ndinga kama...
Kama kuna mwiko (miko) ya kusongea ugali ambayo ni imported au ya chuma au madini yoyote aniambie. Mi sijawahi iona. Kwa hili tunaweza sana.
Miko yote ni miti na inatengenezwa hapahapa. From the concept of comparative advantage let's concentrate in this business so as to gain more through...
Nimepata nafasi ya kusoma chuo kikuu nchini Sweden.
Lakini mipango yangu ya kwenda huko nimeona ni vema niende mwakani 2025.
Chuo wanataka niwape reason ya kupostpone maana niliwaambia nna changamoto ya kiafya.
Naomba ushauri wako ni ugonjwa gani nikiuweka plus ushaidi wa daktari itakuwa...
Hadi kufikia maamuzi haya ya kutaka kuondoka nchi yangu kuna mambo mbalimbali ambayo kila siku yananipa mawazo.
Mambo yanayonikosea furaha
1. Ugumu wa kupatata ajira yenye mshahara mkubwa.
2. Wazazi wangu wote wamefariki ndugu nao kwangu hawana msaada kwangu.
3. Hata kwenye mapenzi napo bado...
Habari za kushinda wakuu?
Naomba kufahamishwa/kujulishwa tofauti iliyopo kati ya magari ya kuagiza nje ya nchi kwa mfano Japan, korea nk na yale yanayouzwa hapa nchini, unakuta mtu amefungua yard yake anauza magari ambayo ni used kama yale ambayo unaweza kuagiza kupitia makampuni mbalimbali...
1. Wale wote wanataka kuagiza magari nje ya nchi mwaka ujao wa fedha wajipange maana Dr wa Uchumi (PhD) First class ameongeza tozo ya kuchangia ujenzi/maendeleo ya reli (1.5% mpaka 2.0% ya CIF) katika kodi utakazolipia.
2. Usiseme hukuambiwa, watu wanataka kununua majumba Dubai na kuongeza...
TANZANIA IJAYO ISAIDIA WATANZANIA KUPATA KAZI NJE YA NCHI ILI KUKUZA PATO LA TAIFA.
Diaspora ni moja ya wachangiaji wakubwa sana wa GDP ya nchi zingine hapa Duniani, Kenya wana kitengo ndani ya wizara ya mambo ya nje kinachowatafutia Wakenya kazi nje ya nchi ziwe za kuduma au za muda mfupi, hii...
Salaam, Shalom!!
Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi,
Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa ajili ya kuagiza bidhaa nje ya Nchi, anaambiwa dollar hamna. Analazimika kuzitafuta mtaani na kuzipata...
Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo imeiomba Serikali kuweka utaratibu wa wafanyabiashara wa kati kuambatana na Rais Samia Suluhu katika ziara zake nje ya nchi ili waweze kujifunza mambo mbalimbali ya kibiashara.
Miaka ya 1960 mpaka miaka ya 2000 nchini Tanzania runinga nyingi zilitumia mfumo wa analojia ambapo mfumo huo uliwezesha runinga hizo kupata matangazo ya moja bila kuwa na kisimbuzi ambapo mtumiaji alipaswa kuunganisha runinga yake na antena ili kupata matangazo ayo...
Guys nina plan ya kusoma PhD nje ya nchi lakini nikitegemea zaidi nipate udhamini.
Ningependelea kusoma nchi za ulaya au America kutokana na quality ya elimu yao pamoja na fursa, haswa Nordic countries.
Najua umu kuna watu wanaelewa vizuri wengine wana practical experience namna ya kupata...
Kwenye hili namuunga mikono, tupa nje warudi kwao Uarabuni....
“One thing I do is, any student that protests, I throw them out of the country. You know, there are a lot of foreign students. As soon as they hear that, they’re going to behave,” Trump said on May 14, according to donors at the...
Habari wana-JF,
Ziara za Rais nje ya nchi zinapowajumuisha wasanii, hata bila maonesho ya sanaa, zinaweza kuleta manufaa makubwa kwa wasanii binafsi na taifa kwa ujumla. Hizi ni baadhi ya faida hizo:
Faida kwa Wasanii
Mtandao wa Kijamii na Kitaaluma:Wasanii wanapata fursa ya kukutana na wadau...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa kazi zao.
Rais...
Mfano ni biashara ya mazao ni nzuri sana ukiuza nje ya nchi mfano kenya au sudan kusini, ila zimejaa umafia, rushwa, kufanyiwa maamuzi na wakubwa, n.k.
KUJUANA NA WAKUBWA / WAZEE WA MCHINJO
Ni hadi uunge chain ili uuze nje sio kienyeji tu, kuna vyama vinaundwa vya watu wanaouza nje lakini...
Pamoja na kwamba ni jambo jema kuutangazia umma kua wanafunzi kadhaa wamepata ufadhili kupitia wizara ya afya(siku hizi wamebadili jina wanaita Dr Samia super-specialized scholarship program), lakini nyuma ya pazia wanafunzi hao wanateseka haswa.
Mimi nafanya kazi moja ya nchi huku ughaibuni...
Anonymous
Thread
afya
nchinjenjeyanchi
wanafunzi
wizara
wizara ya afya
Ofa za usajili zilizokuja mezani za Kibu Denis kutoka nje ya Tanzania ni kutoka Misri, Sweden 🇸🇪 na Norway. Amethibitisha meneja wa mchezaji huyo, Carlos Mastermind.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.