nje ya nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Serikali yasema uagizaji wa Sukari nje ya nchi mwisho 2025

    Bodi ya Sukari nchini Tanzania imesema jitihada zinazofanyika za upanuzi na uanzishaji wa viwanda vya uzalishaji wa sukari, vitawezesha kufikia tani 756,000 ifikapo mwaka 2025 hivyo kuondokana na uagizaji wa sukari kawaida. Hayo yamesemwa leo Jumanne Oktoba 25, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa bodi...
  2. Shujaa Mwendazake

    Winter is Coming: WaUkrainia nje ya nchi waombwa kutorejea kipindi cha baridi sababu ya shida ya Nishati

    Mrussi Kumbe alipita kwenye mshono kwa hesabu kali. Muda Si mrefu wanaingia baridini na hali ni mbaya sana katika kukabiliana na janga hilo. Nadhani uwanja wa vita utakuwa kama setup ya mwisho ya Game of Thrones. Winter is coming!! Soma: Deputy Prime Minister Irina Vereshchuk has asked her...
  3. GENTAMYCINE

    Sijasafiri Nje ya Nchi kwa muda sasa, naombeni Utaratibu wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki Nisafiri

    Na je, ukiwa bado unayo ile Pasi ya zamani ukienda kuhitaji hii mpya ya Kielektroniki mchakato ni mkubwa au details zilizoko katika Pasi ya zamani ndiyo hizo hizo zitatumika kwa hii ya Kielektroniki na kuipata Kiuharaka? Na je, muda wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki ni upi? Je, huko kwa...
  4. DENG XIAOPING

    Rais, Makamu wake na Waziri Mkuu wote wapo nje ya nchi?

    Habari za sasa wanajamii , natumai ni nzuri. Nilikuwa na maswali kadhaa kuhusu ziara za viongozi wetu wakuu wa nchi wa tatu (Rais, Makamu wa Rais, na Waziri mkuu) 1. Je ziara za viongozi wetu hawa kwa mataifa waliyo enda kuzuru zitatamatika lini kwa kila mmoja? 2. Kulikuwa na umuhimu gani kwa...
  5. figganigga

    Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

    Salaam Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani? Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu. Kiprotocal hii...
  6. Lady Whistledown

    Tanzania yasitisha vibali vya usafirishaji wa mahindi nje ya nchi

    Wasiwasi mpya wa upungufu wa unga wa mahindi umeibuka nchini Kenya baada ya Tanzania ambayo ni msafirishaji mkubwa wa mahindi nchini humo kufungia vibali vya kuuza nafaka hiyo nje ya mipaka yake. Hatua hii ni katika kujilinda dhidi ya baa la njaa kwa kulinda hazina ya ndani ya akiba ya chakula...
  7. aka2030

    Ujuaji wa hovyo na tamaa ya Babra unazua sintofahamu nje ya nchi

    Duniani kote timu zote jezi za timu kuanzia ya wakubwa ya wanawake za vijana hufanana kuanzia dizaini nembo ya mdhamini na mengine. Ili huyu dada kwa ujuaji wake anataka simba queens wavae tofauti na timu ya wakubwa hii ya wapi hii? Na anahisi kufanya hivyo jezi hizo pia zitawekwa sokoni wadau...
  8. Tukuza hospitality

    SoC02 Tupunguze Mfumuko wa Bei kwa Kuwawezesha Wamachinga kuuza Nje ya Nchi

    Kwa mujibu wa “Wikipedia ya Wamachinga”, Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi; lugha yao ni Kimachinga. Kwa mujibu wa “Wikipedia” hii, kwa kipindi cha karne ya 20 na 21, Wamachinga wamekuwa maarufu katika miji mbalimbali kwa kuuza...
  9. C

    Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering)

    Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering). Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana, nimezaliwa na kukulia katika kijiji kimoja kilichopo Mkoani Shinyanga. Nilihitimu stashahada ya uhandisi Kilimo miaka kadhaa iliyopita kutoka chuo cha Wizara ya...
  10. Lady Whistledown

    Raia wa Nigeria wataka sheria kudhibiti Watoto wa Maafisa wa Serikali kusoma Vyuo Vikuu nje ya Nchi

    Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya Umma nchini humo, ambao kwa sasa wamegoma kutokana na mgogoro wa malipo yao, wamesema Sheria hiyo itajenga jamii bora kwa kuendeleza Taasisi za elimu za juu na kuboresha Ufadhili wa Mfumo wa Elimu ya Juu nchini humo. Wamedai kuwa Serikali imetelekeza Vyuo Vikuu vya...
  11. B

    Serikali idhibiti chakula kutoka nje ya nchi

    Waziri wa Kilimo aliangalie sana hili huko mipakani tudhibiti uuazaji wa vyakula kiholela. Juzi nilikuwa Serengeti mahindi debe ni Tzs 20000 from bei ya zamani ilikuwa 12000 kwa hiyo tunakoelekea Wakenya watakuja kutuuzia tena vyakula kama mvua zitachelewa. Sisemi watu wasiuze lakini kwa...
  12. Petro E. Mselewa

    Swali chokonozi: TFF inaweza kumfungia mtanzania kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi?

    Shirikisho la soka hapa nchini almaarufu kama TFF linaratibu, kuongoza na kusimamia soka ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. CAF ni kwa Afrika nzima na FIFA ni kwa dunia. TFF inatekeleza majukumu yake, pamoja na mambo mengine, kupitia Kamati na uongozi wake. Jana, Kamati ya Maadili...
  13. D

    Tutofautishe bei ya mazao, wingi wa mavuno na kuuza mazao nje ya nchi

    Nnaona kuna upotoshwaji wa hali ya juu wa hali ya chakula nchini. Si kawaida yangu kuanzisha thread, ila hili imebidi nianzishie thread. Kwanza kabisa ni declare interest, mimi ni mdau wa kilimo kwa miaka mingi, hivyo nnachoandika hapa ni kutokana na uzoefu wangu kwenye kilimo. HOJA KUU Watu...
  14. M

    SI KWELI Mayai ya Kuku kutoka nje ya Tanzania, yalisababisha kushuka kwa bei ya Mayai

    Juni 14, 2021 mitandao mbali mbali ya kijamii ilirindima kwa uvumi kuwa kuna mayai ya kuku kutoka nje ya Tanzania ambayo yamefanya mayai nchini yauzwe kwa Tsh. 4000 kwa trei la mayai 30, hali iliyoleta taharuki kwa wafugaji wa kuku nchini.
  15. K

    Ushauri: Serikali iruhusu vijana kuajiriwa kama mercenaries

    Niliupitia uzi wa Taikon wa fasihi bwana ROBERT HERIEL unaosema ili tufanikiwe kupata maendeleo lazima tuzivamie nchi nyingine. Niwe muwazi mawazo haya ya huyu self-claimed taikon wa fasihi ni ukweli ambao hata huitaji akili kuukubali Kutokana na huo ukweli ambao iko mifano mbalimbali...
  16. Afrocentric view

    Msaada: Unaagizaje dawa kutoka nje ya nchi?

    Hello wakuu, naomba kuuliza Kwa mtu anaetaka kuagiza Dawa ambazo hazipatikani Tanzania Kuna utaratibu Gani? Mfano mtu anataka kuagiza DMT,Steroids,whey protein au drysol . Mimi nataka kuagiza drysol,Ni antiperspirant kama deodorant za Nivea. Mwenye kujua utaratibu anisaidie
  17. K

    Ushauri kwa Rais kuhusu mahindi yanayosafirishwa nje ya nchi

    Nawapa tahadhari kuwa njaa inayokuja mbeleni kwa nchi ya Tanzania itakuwa ya kutisha. Jana nimeshuhudia kwa macho yangu katika mpaka wa Sirari mamia ya malori yakiwa na shehena ya mahindi yakipelekwa Kenya. Huu ni mwezi wa sita bei ya gunia moja la mahindi ni zaidi ya Tshs.130,000 maeneo ya...
  18. Jidu La Mabambasi

    Tetesi: Kigogo aliyeruhusu wanyama kusafirishwa nje ya nchi ameshapigwa chini!

    Kongole Rais Samia! Kweli serikali yako ni sikivu kwa masuala ya kitaifa. Kuna tetesi zimeenea Wizara ya Maliasili na Utalii, kuwa kigogo (tuite ligogo) aliyerasimu na kutoa ruhusa kunyume na taratibu za wakuu wake , kutoa vibali kwa makampuni fulani fulani kusafirisha wanyama nje ya nchi...
  19. G

    Kazi nje ya nchi

    habari wakuu tafadhali anayejua mawakala wa ajira nje nchi bara lolote ila siyo uarabuni naomba msaada wenu 🙏
  20. SOVIET UNION

    Waziri Bashe aache sifa apige marufuku Uuzaji wa Chakula nje

    India mwezi jana ilipiga marufuku kuuza ngano nje ili kulinda soko la ndani make bei ya ngano kule India ilikuwa imeanza kupanda kwa kasi sana. Kumbuka wale Ngano ndo chakula kikuu na Wali pia. India ni mzalishaji mkubwa wa Ngano Duniani lakini iliona hatari kwa raia wake kuuziwa ngano bei ya...
Back
Top Bottom