Times: Hamas imeihadaa Israel, kama Muhammad Ali Clay alivyomfanya Foreman
Gazeti la Uingereza la "The Times" limeandika kuwa Israel itaondoka katika vita vyake dhidi ya Gaza ikiwa dhaifu baada ya kuangukia katika mtego ule ule uliowatumbukiza Wamagharibi kwenye vita vya Iraq, na kuondoka...