Tunapush sana watoto katika level ambayo sio uwezo wao.
Kinachofatia ni mtoto kuwa muoga zaidi wa kuthubutu na kukuogopa wewe bila kukuheshima.
Tambua uwezo wa mtoto wako alafu mwekee challenge ya chini ambayo unayojua akitumia uwezo kidogo wa ziada atashinda tu. Hii itamfariji mtoto ila pia...
"Kuna huyu binti tulipendana sana, kutokana na mambo ya kazi muda mwingi yeye ndio huanza kunicheki iwe kwa kupiga au sms, sasa ghafla kaanza kulalamika kwamba kwanini kuwasiliana mpaka anitafute yeye, kulingana na kazi yake simu anaweka mbali so napopiga muda yuko bize hapokei hivyo nikamwambia...
Kwa wenye uzoefu na malezi/uzazi...
Kila mzazi hutamani shape nzuri ya kichwa kwa watoto wake.
1. Je, ni kweli kuwa 'UTOSI' kufunga mapema sana husababisha komwe (forehead kuwa kubwa)?
2. Je, ni kweli kuwa 'CHANGO LA MTOTO' husababisha komwe?
3. Ni njia zipi (kienyeji au kitaalamu)...
Saa zingine unaenda kazini ila hujisikii kufanya kazi, hizi ni baadhi ya njia ambazo unaweza tumia ili kupata wasaha kidogo usukume siku iende ujafanya kitu.
Unawaza jitafakari, kutumia muda wako kujua kwanini hujisijii kufanya kazi siku hio, Umechoka? unamsongo wa mawazo? kuna mazingira ya...
Hata Bwawa la JNHP likamelike na kutoa Mw 2100 bado watafanya mchongo kuliibia taifa. Mfano watatengeneza mgawo na kupiga kupitia hata ukarabati wa njia. Japokuwa unatakiwa kuwa endelevu.
Sukari huwa dili la mafisadi wa CCM na wafanyabiashara wakubwa ambao uhaba ukiwepo huagiza Sukari kwa bei...
Matokeo yapo kama hivi
Civ C
Bio C
Chem B
English B
Phy D
Math D
History B
Kisw B
Nitumie njia ipi ili nitimize ndoto yangu ya MD kupitia Diploma ya clinical medicine
Januari 2023 LATRA ilitangaza maombi ya leseni kwa wadau wenye vyombo vya usafiri kwa ajili ya kusogeza huduma ya usafiri kwa wananchi wanaotumia barabara ya Mbezi Chini inayojulikana kama Mwai Kibaki. Route hiyo ilikuwa inaanzia Bunju na Tegeta, inakuja kuingilia Afrikana Mbezi, na kwenda...
Ni ukweli ulio wazi kuwa zinaa inaleta mikosi, inarudisha vijana nyuma kimaendeleo. Na kubwa zaidi ni kwamba zinaa ni dhambi ambayo imepelekea vijana wengi kufa wakiwa wabichi.
Uzinzi ukikomaa kwa kijana maisha yake huenda yasiwe marefu (sizungumzii vifo vya magonjwa ya zinaa hapa).
Kuna...
SIKU YA MWANAMKE DUNIANI
Gazeti la Mwananchi la leo limechapa makala ambayo walinitembelea Maktaba nami nikawazungusha katika mitaa ambayo wanawawake wa Tanganyika walikuwa hawapunguia katika harakati zao za kupigania uhuru.
Naanza na kipande hicho hapo chini kinachomjulisha Bibi Titi miaka ya...
Waswahili husema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, mchezaji wa Azam, Prince Dube ameandika barua ya kuvunja mkataba ambao umebakiza miaka 2!
Jambo hili sio jambo zuri hata kidogo kwenye soka letu, suala la mchezaji kukosa tu furaha na akaamka asubuhi na kuandika barua ya kuvunja mkataba...
Habari ndugu?
Nina mchele Kigoma Malagarasi(Musoma) nahitaji namba za dereva muaminifu anibebee kuja Morogoro. Zipo gunia 8 za kilo 100.
Karibu Pm.
NITALIPIA
Habari za leo wakuu,
Nasikia watu mtaani wakisema
matumizi ya njia za uzazi wa
mpango kama kuweka vijiti
huchangia wanawake kuwa na
matumbo makubwa,
Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
Vita kati ya Hamas na Israel ni kioja kikubwa sana katika historia ya vita. Misikiti na hospitali zote zimevunjwa ikisemwa kuna taarifa za uhakika kuwa viongozi wa Hamas na mateka wapo humo lakini wapi!
Kila wakipiga na kuua watu wanajikuta mikono mitupu, hakuna Hamas wala mateka. Imebidi...
Tabia Nchi inahusu mabadiliko ya hali ya hewa duniani kwa muda mrefu. Ni matokeo ya ongezeko la gesi chafu katika anga, kama vile dioksidi kaboni, ambayo husababisha joto kuongezeka duniani.
Matokeo yake ni mabadiliko makubwa katika hali ya hewa, kama vile kuongezeka kwa joto, mafuriko, ukame...
Habari Wana JamiiForum?
Nilikuwa nahitaji kufahamu je ni sahihi kwa watu wanaokopshe kwa njia ya app kuhack phonebook ya mteja na kuanza kuwatumia watu walio kwenye phonebook ya mteja na kusambaza taarifa za mteja kwa kushindwa kulipa deni ndani ya siku walizokubaliana?
Na isitoshe wanaotumiwa...
Habari zenu wadau, leo nawakaribisha na kuwaambia kwamba sisi kama African businesses tunatoa huduma ya kupamba na kupendezesha ofisi au makazi kwa kwa kutumia mapambo ya mbao na picha pamoja na materials mengine, tunafanya ofisi au nyumba yako kuwa nadhifu kabisa.
Gharama zetu ni nafuu sana...
Hii shule ipo njia ya Cocacola -Clouds, karibu kabisa na Bushoke Chips, hapa bhana asubuhi wazazi wanaleta watoto wao shule, basi hakuna parking, magari yanajaa barabarani na inasababisha foleni na usumbufu sana kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Tunaomba uongozi wa shule uwajibike kuwa na mpango...
Anonymous
Thread
clouds
foleni
kupokea
magari
mbovu
mikocheni
njia
shule
utaratibu
Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝
Imekuwa kawaida sasa kwa watu waliofanikiwa kiuchumi kubaki na siri zao namna walivyo ukimbia ukata, kila Tajiri utakaye muuliza kuhusu mafanikio yake lazima atakuambia:
• Nilianza kuuza karanga za kupima.
• Nilianza kushona viatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.