Salaam/Shalom
TAFSIRI YA UPEPO ,WIKPEDIA;
Ni mwendo wa hewa.
Husababishwa na joto la jua.
Hewa ikipashwa joto na jua, hupanuka kuwa nyepesi na kupanda juu hivyo inaacha nafasi ambako hewa baridi zaidi inaingia kuchukua nafasi yake.
Kuna aina nyingi za upepo,
Upepo mkali huitwa DHORUBA...
Habari wadau
Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!
Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!
Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!
Hata kama...
Uganda imeanzisha mashauriano na Tanzania kuruhusu Kampuni ya Mafuta ya Kitaifa ya Uganda kuuza na kushughulikia uagizaji wa mafuta.
Hatua hii inafuatia kukataliwa kwa leseni ya Kampuni ya Mafuta ya Kitaifa ya Uganda (UNOC) kufanya kazi kama muuzaji wa mafuta wa ndani.
Waziri wa Nishati na...
Kwanza kabisa nianze na salamu kwenu wote wana JF asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh, ndugu zangu kaka zangu dada zangu naombeni ushauri wenu, kuna tukio ambalo limekuwa linanisumbua sijui ni uchawi ama kiini macho sijui niseme lipi ndugu zanguni.
Ila hivi sasa miezi zaidi ya 5 nimekuwa...
Nimejikuta nina hofu ya kupoteza data zangu hasa baada ya matukio kadhaa ya kupoteza flash, kuibiwa simu, n.k. Data zilizokuwemo humo zilipotea moja kwa moja, ni kumbukumbu za muhimu siwezi kuja kuzipata tena.
Najua kuna online back ups lakini hizi kila mwezi inabidi ulipie na pia unahitaji...
Bwana atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njia moja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba. hili ni andiko liko katika kitabu cha mhubiri 28:7
Mafarisayo na Masadukayo Sasa hivi wameshindwana nyama ya wajanja huwa haiiivi
Nikiwa ninapata utambuzi wa akili Nimebahatika Kushuhudia Uongozi wa mwisho wa Mwalimu Nyerere, Uongozi wa Mwinyi, Uongozi wa Mkapa wote, Uongozi wa kikwete.
Katika Uongozi wote huo sikuwahi kuona vijana na Viongozi wakisifiwa Kama wanavyosifia kwenye uongozi wa Magufuli na Rais Samia.
Kukiwa...
Nimesoma mahali wananchi waishio kule Gom's maeneo ya Kivule, Chuo cha Biblia, Air wing, relini kuendelea huko mbele.
Lakini hata wale wanaotoka Mbeya au Mwanza kupitia ile njia ya Chunya hata kwingine huko ulipo, hii hapa tumia kufikisha ujumbe.
Mkipanda mimea mtavuna chakula.
... au...
Ni vyema kujua kiwango cha mkopo kinachofaa kuwa nacho. Hakuna jibu rahisi kwa hili kwa sababu hali ya kifedha ya kila mtu ni tofauti - na hii itaamua ni kiasi gani cha mkopo kila mtu anapaswa kukopa.
Kufanya tathmini hii kunahitaji kujua uwezo wako wa kulipa deni. Kwa maneno mengine, kiasi cha...
Habari,
Naomba ushauri, Nataka kufungua mgahawa wa kulisha mabasi kwa njia ya Dar - Mbeya, Nimeona kuna changamoto ya vyakula vibaya katika njia hii. Mtaji ninao 120milion, Nina migahawa ya kawaida (restaurant Arusha, Mwanza, Dar Es Salaam inayojulikana kwa jina la ifood hivyo nina uzoefu na...
NAMNUKUU
"Hiko chama cha ACT Wazalendo kinachojilabu mwaka huu kitachukua Serikali mashudu, kusema kitu chengine bwana. Hapa waafrika hawatawaliwi tena, bora tufe sote kiwanja kiwe hakipo lakini hatutawaliwi, hamuwezi kutufanyia upuuzi huu.
Eti kusema mwaka huu tutashinda ACT wazalendo, nipike...
Kumekuwa na Tabia za matapeli wengi kuongezeka kwa njia ya mtandao hususani mawakala wa kutuma na kutoa pesa.
Ukienda polisi kesi za wizi wa mtandao ni nyingi mno na hazifanyiwi kazi na Wingi huo umesababishwa na
Polisi hawazifatilii na wahusika hawawakamiti
Sababu zikiwa ni pamoja
Mawakala...
Maandamano ya Jumatano, Januari 2024, yataanza Saa 3:00 asubuhi. Yatahusisha njia mbili kuanzia Mbezi Mwisho (Stand) na Buguruni, na yataishia Ofisi za UN, barabara ya Sam Nujoma, Dar es Salaam.
Nakala za barua za taarifa ya Maandamano haya zimepelekwa kwa makamanda wote wa Polisi Wilaya...
Hakatishi mtu.
Kwa amri na utekelezaji wa wanamgambo wa Houthi wa Yemen.
Nia na madhumuni wamesema ni kuzuia usafirishaji kwenda Israel. Lakini kwa sababu baharini huwa ni vurugu mechi, li meli la Ukraine lina bendera ya Tanzania, wafanyakazi wa Uturuki, waendeshaji wa Ufaransa, na mzigo wa...
CHADEMA imetangaza kufanya MAANDAMANO TAREHE 23.
Katika hali ya kushangaza JWTZ nao tarehe hizo wamepanga kufanya usafI ingawa wangeweza kupanga tarehe nyingine ya kufanya huo usafi.
Hata hivyo suala la usafi ni suala muhimu Sana,, Hivyo CHADEMA nawashauri tarehe Hiyo wasofanye MAANDAMANO Yao...
CDM wamejaribu sanaa ya maandamano si jana si leo. Wameshakuwa na slogani nyingi, ukuta, katiba, M4C.
Hakuna hata moja iliyowahi kufanikiwa.
Mchungaji Msigwq alisema kwamba unapofanya jambo lilelile kwa njia ile ile, utarajie matokeo tofauti, ni uwendawazimu. Njia ya majadiliano imeleta...
Habari yako ndugu msomaji.
HUU NI UZI AMBAO NILIUANDIKA MWAKA 2021 KATIKA STORIES OF CHANGES,ILA NIMEONA NIUTUPIE HUKU
Katika mambo yanayolalamikiwa na jamii yetu hasa zama hizi basi ni kuwa na viongozi ambao hawana maadili na wala hawafuati sheria mbalimbali za nchi vile zinavyotaka.
Jambo...
MSAADA ni kiasi au idadi ya kitu ambacho kinatolewa kwenda mtu fulani ambaye huonekana kuwa anauhitaji wa hicho kitu hivyo msaada kwa maana ya haraka kuwa ni njia ya kujionesha kuwa unatoa fungu fulani ili kupata ushawishi kwa lengo au watu fulani mara nyingi tumezoea kuona wanasiasa wakitoa...
Na kusababish kero kubwa kwa wananchi ni bora hata wangeliacha lilelile daraja la mwanzo kwani ni kero tu hakuna matengenezo yyte yanayoendelea na njia imefungwa.
Rais na mbunge wa Ubungo liangalie hili kwa jicho la tatu TUNATESEKA
Anonymous
Thread
baada
chuo
daraja
kero
kimara
kimara mwisho
kuelekea
mwisho
njia
nyuma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.