Kwa kuzingatia kichwa cha uzi.
- Kama kweli serikali ya Tanzania ina nia ya kutoa elimu ya katiba na kufanya Watanzania karibia wote wa nchi hii kuijua katiba yao vizuri.
Serikali haina budi kuchukua uamuzi mara moja wa kutoa elimu ya katiba kuanzia ngazi mbalimbali za elimu yetu kwa kuanza...
Unaweza kuwa na lundo la videos ambazo huwezi kuja kuziangalia tena, huwa ni sawa na makorokoro,
Pc ama hata simu yako ni sawa na chumba, ni muhimu iwe na nafasi ya kupumua, toa makorokoro hayo chini ya uvungu ili kuwe na sehemu ya kupumua na kuwe na urahisi wa kuperuzi
karibu kusoma post za...
Wanangu wa Ukraine wamekiamsha kama ambao wana vichaa vile, yaani Urusi wanafukuziwa balaa hadi aliyekua generali ameshauri njia ya pekee ni kutumia nyuklia kuzuia huu mzuka wa Ukraine....
A former top Russian soldier has suggested dropping a nuclear bomb in southern Ukraine to eradicate any...
*Wadai kuna 'njama za kuchelewesha Katiba Mpya'
MAZUNGUMZO baina ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake, yaliyochukua takribani mwaka mmoja, yakijaribu kutafuta muafaka wa kitaifa hususan kwenye suala la katiba mpya, sasa yanaelekea kuwa...
Mh, kwanza nakupongeza kwa kuwa Waziri mpya wa Nishati. Nina imani na wewe!
Mhe, kutokana na imani niliyonayo kwako.. nisingependa kuona unaharibu kama alivyofanya mtangulizi wako. Hivyo basi nakushauri kufanya yafuatayo :
1. Tengua bodi aloteua Makamba. Bodi imejaa watu wenye makando kando...
Mafanikio makubwa yamepatika Kusini Ukraine na kwamba ngome za Urusi zimemungunyuka na kupoteana hivyo wanazidi kusonga mbele kwa haraka haraka kukomboa ardhi yao
Jamiiforums kisima Cha maarifa.
Mimi ni mtumishi Mwalimu, Nilisoma PCB advance nikapata division II point 12, nilichaguliwa computer and software engineering Lakini sikwenda, nikazamia Chaka la ualimu wa Physics Nilisoma kwa sababu ya kukosa washauri pamoja na umaskini wa home na nilitaka...
Duniani kuna dini nyingi ila wakristu na waislamu ndio dini mbili pekee juu ya uso wa dunia ambazo kila moja inajiona ndio dini/imani/ bora, sahihi na yenye haki mbele za Mungu kuliko zote duniani.
Waumini wa dini hizi wana share sifa moja inayofanana nayo ni selfishness. Kwa maana ya...
Lengo kuu la kuongezewa njia wakati wa kujifungua (Episiotomy), ni kuzuwia kuchanika kwa msamba (perineal tear) au kukaza kwa misuli kupita kiasi ambapo huweza kupelekea sehemu ya haja kubwa kuchanika.
Mama mjamzito ataongezewa njia ili kumlinda mtoto, ikiwa mtoto ametanguliza uso, makalio au...
Thamani ya rasilimali zetu imeshushwa chini kutoka kwenye utetezi wa watu makini hadi kutetewa na chawa; chawa hawana hoja wana matusi na tunaamini tutapiga hatua ?
Ni fedhea kubwa sana kuona baraza la maaskofu na watetezi wengine wa rasilimali zetu wanakosa wasome wakuwajibu badala yake...
Wakuu,
Njia gani bora ya kumwambia mtu sasa ni wakati kwenda kwake?
Mara nyingi wana wakija lbd kuangalia movie au kutumia Internet unawez kumuambia "Aise mda wa kusepa huu" mtu anakuelewa haina hata shida naondoka
Shida ni kwa wadada toka asubuhi mpaka mdaa huu bado mtu hana mpango
Na pia...
Mpaka sasa ni wazi hii kamata kamata na uchawa wa wazi ni kuwa tumebakiza mbinu mbili tu kupinga huu mkataba
1.Kumuomba mungu aamue .
2.Kuchukia kila linalohusiana na serikali ya emirates na kukaa kwao kimya juu ya utawala ulochini yao wa Dubai kuturudishia machungu ya biashara ya utumwa
Niamini mimi,
Achana na hela za bahati, za waganga au za kurithishwa na kupewa, kwa uzoefu wangu hizo hela zikipotea ndo zimeenda huwa hazirudi.
Lakini kwa mtu mpambanaji kweli kweli hata kama akiteleza akapoteza kiasi kikubwa cha utajiri wake basi hela zitakumbuka njia yake siku moja na...
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ungezeko la gharama za vifurushi vya internet DATA.
Ebu tushauriane hapa njia zipi hasa zitasaidia kupunguza matumizi ya DATA.
Mimi huwa najiuunga Gb9.5 kifurushi cha mwezi ila mara zote huisha ndani ya wiki mbili tu.
Nimejaribu kupata apps ambazo...
Katika siku za karibuni Kituo cha mambo ya fedha na maendeleo kwenye sekta zisizosababisha uchafuzi (Green Finance & Development Center) katika chuo Kikuu cha Fudan mjini Shanghai, kilitangaza kuwa thamani ya uwekezaji wa China kwenye miradi ya kupitia pendekezo la “Ukanda mmoja, Njia Moja”...
Wakati mgogoro wa Ukraine ukiendelea kwa mwaka mmoja na nusu sasa, huku nchi za magharibi zinaonekana kuendelea na nia yake ya kuchochea mgogoro huo na kutaka utatuliwe kwa njia ya kijeshi, China na nchi za Afrika zimeonekana kupendelea zaidi mgogoro huo kutatuliwa kwa njia ya amani, hasa...
Takriban watu 30 wamefariki dunia na wengine 100 kujeruhiwa baada ya Treni kuacha njia kusini mwa Pakistan, msemaji wa polisi amethibitisha.
Mabehewa kadhaa ya Hazara Express yalipinduka karibu na kituo cha reli cha Sahara huko Nawabshah, takriban kilomita 275 (maili 171) kutoka mji mkubwa...
Nawahakikishia hivyo, kwa sababu kati ya watu waliofanya tafiti kuhusu utawala wa JPM na uliopo sasa, miongoni mwao na mimi nimefanyia utafiti huo
Nasema ukweli wa moyo! Sio kanda ya ziwa tu, pwani na hata kasikazini, na nchi nzima kwa ujumla
watanzania wanahasira mno na ccm kwa uongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.